Nchi yetu haina dini: huyu mgombea anayezunguka na 'viongozi' wa dini wakimnadi, anapeleka wapi taifa letu?

Dr Akili

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
5,313
Reaction score
4,751
Nchi yetu haina dini ila kila mtu anaruhusiwa kuabudu dini yo yote apendayo. Hii ni kwa mjibu wa katiba ya nchi yetu.

Tangia aanze kampeni zake mgombea huyu amekuwa akiambatana na askofu mmoja wa kanisa fulani anayeitwa Askofu Mwamakula na sheikh mmoja anayeitwa Sheikh Katimba. Katika mikutano yake yote ya kampeni viongozi hawa wawili wa kidini, wakiwa wamevaa mavasi yao ya dini wamekuwa wakipanda jukwaani kumnadi mgombea huyu wakitumia mistari ya bibilia takatifu na korani takatifu kumwombea kura mgombea wao na kuwaponda wagombea wengine.

Juzi huko Karagwe baada ya mgombea kushindwa kufika kwa wakati kwenye mkutano ambao ulikuwa umeandaliwa, viongozi hawa walimpigia kampeni peke yao. Jee hii ni haki? Si kukiuka katiba ya nchi? Wanataka kulipeleka wapi taifa letu? Kwa nini huyu mgombea na hawa viongozi wa dini wasichukuliwe hatua stahiki kwa kukiuka katiba? Kama wanataka kufanya siasa za majukwaani kwa nini wasifuate utaratibu kama alivyofanya Gwajima?

Angalia hapa chini kuanzia dakika ya 3:15

Mwingine huyu hapa akiwa amevalia majoho yake ya kanisa akiwa kwenye jukwaa la kampeni la kisiasa akimnadi mgombea huyu huyu.

Na yule anayanajisi makanisa na misikiti unamuongelea vipi?
Tundu Lissu atawayambisha mpaka msahau kwenu wapi
Kanyaga twende Lissu
**** kwani hujasikia viongozi wa dini wana maombi makubwa juu ya TL Mungu azidi kumlinda na kumchunga!
Fuatilia kwa makini utaona picha video kwa social media... uwe umeandaa ndoo ya kujaza michozi
 
Kama nchi yetu haina dini kwanini sifa za kuiondoa corona zinakwenda kwa yule aliyehamasisha maombi ya siku tatu kila mtu kwa dini yake?
Tunaposema nchi haina dini tuna maanisha serikali yake haina dini. Nyumba za ibada hususani misikiti na makanisa zinakatazwa kutumika kama sehemu za kufanyia kampeni hizi za uchaguzi. Sasa hiki chama kinazunguka na kanisa lake na msikiti wake kikifanyia kampeni. Hili halikubaliki na ni uvunjifu wa sheria za nchi.

Matokeo yake tumeshuhudia watu wakipigana mapanga msikitini huko Zanzibar. Msajili wa vyama vya siasa na NEC wanapaswa kuchukua hatua kuepusha mambo haya! Maadili ya mchakato wa uchaguzi lazima yazingatiwe.
 
Nchi yetu haina dini ila kila mtu anaruhusiwa kuabudu dini yo yote apendayo. Hii ni kwa mjibu wa katiba ya nchi yetu.

Tangia aanze kampeni zake mgombea huyu amekuwa akiambatana na askofu mmoja wa kanisa fulani anayeitwa Askofu Mwamakula na sheikh mmoja anayeitwa Sheikh Katimba. Katika mikutano yake yote ya kampeni viongozi hawa wawili wa kidini, wakiwa wamevaa mavasi yao ya dini wamekuwa wakipanda jukwaani kumnadi mgombea huyu wakitumia mistari ya bibilia takatifu na korani takatifu kumwombea kura mgombea wao na kuwaponda wagombea wengine.

Juzi huko Karagwe baada ya mgombea kushindwa kufika kwa wakati kwenye mkutano ambao ulikuwa umeandaliwa, viongozi hawa walimpigia kampeni peke yao. Jee hii ni haki? Si kukiuka katiba ya nchi? Wanataka kulipeleka wapi taifa letu? Kwa nini huyu mgombea na hawa viongozi wa dini wasichukuliwe hatua stahiki kwa kukiuka katiba? Kama wanataka kufanya siasa za majukwaani kwa nini wasifuate utaratibu kama alivyofanya Gwajima?

Angalia hapa chini kuanzia dakika ya 3:15

Mwingine huyu hapa akiwa amevalia majoho yake ya kanisa akiwa kwenye jukwaa la kampeni la kisiasa akimnadi mgombea huyu huyu.

Aaaaaah sawa, vipi kuhusu uhuru wa kuabudu?

Lissu hana haki ya kuombewa?

Mbona jiwe anageuza altar kuwa jukwaa la siasa?
 
Nchi yetu haina dini ila kila mtu anaruhusiwa kuabudu dini yo yote apendayo. Hii ni kwa mjibu wa katiba ya nchi yetu.

Tangia aanze kampeni zake mgombea huyu amekuwa akiambatana na askofu mmoja wa kanisa fulani anayeitwa Askofu Mwamakula na sheikh mmoja anayeitwa Sheikh Katimba. Katika mikutano yake yote ya kampeni viongozi hawa wawili wa kidini, wakiwa wamevaa mavasi yao ya dini wamekuwa wakipanda jukwaani kumnadi mgombea huyu wakitumia mistari ya bibilia takatifu na korani takatifu kumwombea kura mgombea wao na kuwaponda wagombea wengine.

Juzi huko Karagwe baada ya mgombea kushindwa kufika kwa wakati kwenye mkutano ambao ulikuwa umeandaliwa, viongozi hawa walimpigia kampeni peke yao. Jee hii ni haki? Si kukiuka katiba ya nchi? Wanataka kulipeleka wapi taifa letu? Kwa nini huyu mgombea na hawa viongozi wa dini wasichukuliwe hatua stahiki kwa kukiuka katiba? Kama wanataka kufanya siasa za majukwaani kwa nini wasifuate utaratibu kama alivyofanya Gwajima?

Angalia hapa chini kuanzia dakika ya 3:15

Mwingine huyu hapa akiwa amevalia majoho yake ya kanisa akiwa kwenye jukwaa la kampeni la kisiasa akimnadi mgombea huyu huyu.

Mbona yule mwingine anatembea na wasanii kila anapokwenda? Kwani serikali ina sanaa!
 
Mara kwa mara nimemsikia Magufuli akisisitiza tuombe sana Mungu na tumtangulize Mungu kwenye kila jambo. Lisu anatekeleza agizo la rais.
 
Tunaposema nchi haina dini tuna maanisha serikali yake haina dini. Nyumba za ibada hususani misikiti na makanisa zinakatazwa kutumika kama sehemu za kufanyia kampeni hizi za uchaguzi. Sasa hiki chama kinazunguka na kanisa lake na msikiti wake kikifanyia kampeni. Hili halikubaliki na ni uvunjifu wa sheria za nchi. Matokeo yake tumeshuhudia watu wakipigana mapanga msikitini huko Zanzibar. Msajili wa vyama vya siasa na NEC wanapaswa kuchukua hatua kuepusha mambo haya! Maadili ya mchakato wa uchaguzi lazima yazingatiwe.
Hujamjibu aliyekuuliza maombi ya Alhadi Mussa na kundi lake walipoamua kuhubiri mafanikio ya Magufuli na kuhimiza achaguliwe tena.
 
Aulizwe magu kwanza, lissu anazunguka na viongozi wa dini ili wamwombee, ili msijemrushia mapepo. Nampongeza sana sheikh katimba, na wale maaskofu
 
Tunaposema nchi haina dini tuna maanisha serikali yake haina dini. Nyumba za ibada hususani misikiti na makanisa zinakatazwa kutumika kama sehemu za kufanyia kampeni hizi za uchaguzi. Sasa hiki chama kinazunguka na kanisa lake na msikiti wake kikifanyia kampeni. Hili halikubaliki na ni uvunjifu wa sheria za nchi. Matokeo yake tumeshuhudia watu wakipigana mapanga msikitini huko Zanzibar. Msajili wa vyama vya siasa na NEC wanapaswa kuchukua hatua kuepusha mambo haya! Maadili ya mchakato wa uchaguzi lazima yazingatiwe.
Hakuna udini hapa jamani. Hata wakati wa kuapisha biblia au koran hutumika. Rais amezungukia misikiti na makanisa na kuhutubia mara nyingi. Je, naye ana udini?

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Tunaposema nchi haina dini tuna maanisha serikali yake haina dini. Nyumba za ibada hususani misikiti na makanisa zinakatazwa kutumika kama sehemu za kufanyia kampeni hizi za uchaguzi. Sasa hiki chama kinazunguka na kanisa lake na msikiti wake kikifanyia kampeni. Hili halikubaliki na ni uvunjifu wa sheria za nchi. Matokeo yake tumeshuhudia watu wakipigana mapanga msikitini huko Zanzibar. Msajili wa vyama vya siasa na NEC wanapaswa kuchukua hatua kuepusha mambo haya! Maadili ya mchakato wa uchaguzi lazima yazingatiwe.
Mkuu huna hoja, mgombea ana dini yake, rais mtarajiwa lissu anaheshimu dini zote, ndo maana anazunguka akiwa na viongozi wa dini zote za kikristo na kiislamu.nampongeza sana lissu...
 
CCM mmebanwa kweli kweli (in jiwe's voice).
Hivi madaraja, sgr, madege na stiglers havina msaada tena kwenu?
 
Mbona hukunyenyua Domo lako wakati mgombea wenu alipokusanya viongozi wa dini alipokuwa Bariadi na Musoma na Bukoba na CHATO?
 
Nchi yetu haina dini ila kila mtu anaruhusiwa kuabudu dini yo yote apendayo. Hii ni kwa mjibu wa katiba ya nchi yetu.

Tangia aanze kampeni zake mgombea huyu amekuwa akiambatana na askofu mmoja wa kanisa fulani anayeitwa Askofu Mwamakula na sheikh mmoja anayeitwa Sheikh Katimba. Katika mikutano yake yote ya kampeni viongozi hawa wawili wa kidini, wakiwa wamevaa mavasi yao ya dini wamekuwa wakipanda jukwaani kumnadi mgombea huyu wakitumia mistari ya bibilia takatifu na korani takatifu kumwombea kura mgombea wao na kuwaponda wagombea wengine.

Juzi huko Karagwe baada ya mgombea kushindwa kufika kwa wakati kwenye mkutano ambao ulikuwa umeandaliwa, viongozi hawa walimpigia kampeni peke yao. Jee hii ni haki? Si kukiuka katiba ya nchi? Wanataka kulipeleka wapi taifa letu? Kwa nini huyu mgombea na hawa viongozi wa dini wasichukuliwe hatua stahiki kwa kukiuka katiba? Kama wanataka kufanya siasa za majukwaani kwa nini wasifuate utaratibu kama alivyofanya Gwajima?

Angalia hapa chini kuanzia dakika ya 3:15

Mwingine huyu hapa akiwa amevalia majoho yake ya kanisa akiwa kwenye jukwaa la kampeni la kisiasa akimnadi mgombea huyu huyu.

Kweli CCM mmechanganyikiwa. Mtaongea upupu wote mwaka huu😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom