Nchi yetu haina dini: huyu mgombea anayezunguka na 'viongozi' wa dini wakimnadi, anapeleka wapi taifa letu?

Nchi yetu haina dini ila kila mtu anaruhusiwa kuabudu dini yo yote apendayo. Hii ni kwa mjibu wa katiba ya nchi yetu.

Tangia aanze kampeni zake mgombea huyu amekuwa akiambatana na askofu mmoja wa kanisa fulani anayeitwa Askofu Mwamakula na sheikh mmoja anayeitwa Sheikh Katimba. Katika mikutano yake yote ya kampeni viongozi hawa wawili wa kidini, wakiwa wamevaa mavasi yao ya dini wamekuwa wakipanda jukwaani kumnadi mgombea huyu wakitumia mistari ya bibilia takatifu na korani takatifu kumwombea kura mgombea wao na kuwaponda wagombea wengine.

Juzi huko Karagwe baada ya mgombea kushindwa kufika kwa wakati kwenye mkutano ambao ulikuwa umeandaliwa, viongozi hawa walimpigia kampeni peke yao. Jee hii ni haki? Si kukiuka katiba ya nchi? Wanataka kulipeleka wapi taifa letu? Kwa nini huyu mgombea na hawa viongozi wa dini wasichukuliwe hatua stahiki kwa kukiuka katiba? Kama wanataka kufanya siasa za majukwaani kwa nini wasifuate utaratibu kama alivyofanya Gwajima?

Angalia hapa chini kuanzia dakika ya 3:15

Mwingine huyu hapa akiwa amevalia majoho yake ya kanisa akiwa kwenye jukwaa la kampeni la kisiasa akimnadi mgombea huyu huyu.

Angalia tbc usiku

Kuna kipindi maalum kabisa uone askofu na Shekhe wake wanavyopiga kampen
 
Babu yenu viongozi wa dini kila anakopita wanasimama na kumpigia kampeni lkn hayo huoni, umeona ya lissu tu
 
Hivi sahihi ni kusema nchi haina dini (wakati zipo) au kusema serikali ndo haina dini (make kila dini ruksa)...??
Kwako dokta...
 
Nchi yetu haina dini ila kila mtu anaruhusiwa kuabudu dini yo yote apendayo. Hii ni kwa mjibu wa katiba ya nchi yetu.

Tangia aanze kampeni zake mgombea huyu amekuwa akiambatana na askofu mmoja wa kanisa fulani anayeitwa Askofu Mwamakula na sheikh mmoja anayeitwa Sheikh Katimba. Katika mikutano yake yote ya kampeni viongozi hawa wawili wa kidini, wakiwa wamevaa mavasi yao ya dini wamekuwa wakipanda jukwaani kumnadi mgombea huyu wakitumia mistari ya bibilia takatifu na korani takatifu kumwombea kura mgombea wao na kuwaponda wagombea wengine.

Juzi huko Karagwe baada ya mgombea kushindwa kufika kwa wakati kwenye mkutano ambao ulikuwa umeandaliwa, viongozi hawa walimpigia kampeni peke yao. Jee hii ni haki? Si kukiuka katiba ya nchi? Wanataka kulipeleka wapi taifa letu? Kwa nini huyu mgombea na hawa viongozi wa dini wasichukuliwe hatua stahiki kwa kukiuka katiba? Kama wanataka kufanya siasa za majukwaani kwa nini wasifuate utaratibu kama alivyofanya Gwajima?

Angalia hapa chini kuanzia dakika ya 3:15

Mwingine huyu hapa akiwa amevalia majoho yake ya kanisa akiwa kwenye jukwaa la kampeni la kisiasa akimnadi mgombea huyu huyu.

Yupi ambaye ni bora, mwenye hofu ya Mungu ambaye anadhihirisha hilo, ama yule mwenye kutegemea kinga yake kupitia zindiko la wazee wa kimila wa Gamboshi?
 
Ila viongozi wadini wakisifia mtawala safi, wakisifia upinzani dhambi, eti? Acheni uwoga na njaa zenu
 
Vipi Kuhusu Askofu Gwajima si mmempa nafasi ya kugombea ubunge? Tuwakumbushe pia Mna Sheikh Shafifu majimi yeye aligombea Tanga.. Kama mnamtaka Askofu Mwamakula semeni mapema
 
Nchi yetu haina dini ila kila mtu anaruhusiwa kuabudu dini yo yote apendayo. Hii ni kwa mjibu wa katiba ya nchi yetu.

Tangia aanze kampeni zake mgombea huyu amekuwa akiambatana na askofu mmoja wa kanisa fulani anayeitwa Askofu Mwamakula na sheikh mmoja anayeitwa Sheikh Katimba. Katika mikutano yake yote ya kampeni viongozi hawa wawili wa kidini, wakiwa wamevaa mavasi yao ya dini wamekuwa wakipanda jukwaani kumnadi mgombea huyu wakitumia mistari ya bibilia takatifu na korani takatifu kumwombea kura mgombea wao na kuwaponda wagombea wengine.

Juzi huko Karagwe baada ya mgombea kushindwa kufika kwa wakati kwenye mkutano ambao ulikuwa umeandaliwa, viongozi hawa walimpigia kampeni peke yao. Jee hii ni haki? Si kukiuka katiba ya nchi? Wanataka kulipeleka wapi taifa letu? Kwa nini huyu mgombea na hawa viongozi wa dini wasichukuliwe hatua stahiki kwa kukiuka katiba? Kama wanataka kufanya siasa za majukwaani kwa nini wasifuate utaratibu kama alivyofanya Gwajima?

Angalia hapa chini kuanzia dakika ya 3:15

Mwingine huyu hapa akiwa amevalia majoho yake ya kanisa akiwa kwenye jukwaa la kampeni la kisiasa akimnadi mgombea huyu huyu.

Hivi kumbe viongozi wa dini ni maadui wa ccm?
Mbona yule mgombea mkuu anakuwaga mnyenyekuvu sana akiwa mbele yao na kuwaaminisha watu kuwa katika mambo yote ni kumtanguliza Mungu? kumbe Mungu akitangulizwana wapinzani ni dhambi?

Kule Arusha kulikuwepo a kongamano lililokuwa limeandaliwa na radio safina, na lilikuwa lifanyike siku ya jumamosi, siku hiyo Waziri mkuu alikuwa Arusha na alikuwa na mkutano wa kampeni uwanja wa relini. Kwa kuofia kukosa watu, maana watu wengi wangelienda kisongo kwenye kongamano lililo andaliwa na safina redio, ccm waliwarubuni viongozi wa safina wakabadilisha tarehe ya kongamano, badala ya kufanyika siku ya jumamosi, likafanyika siku ya jumapili na Waziri mkuu alihudhuria hilo kongamano.

Kule mbeya mkuu wa koa aliwakusanya viongozi wa dini na alipiga kameni na kuwaomba viongozi wa dini waipigie debe ccm.

Gwajima juzi kakusanya viongozi wa dini zaidi ya 70 ili wamsaidie kampeni.
 
Tulia dawa iwaingia, wee nenda Kawe kwa mgombea wako mkasaidiane kusaka misukule mitaani.
 
Umeamua uedit kbs clip zako😀😀😀😀😀✌️✌️✌️✌️✌️✌️
 
Tunaposema nchi haina dini tuna maanisha serikali yake haina dini. Nyumba za ibada hususani misikiti na makanisa zinakatazwa kutumika kama sehemu za kufanyia kampeni hizi za uchaguzi. Sasa hiki chama kinazunguka na kanisa lake na msikiti wake kikifanyia kampeni. Hili halikubaliki na ni uvunjifu wa sheria za nchi.

Matokeo yake tumeshuhudia watu wakipigana mapanga msikitini huko Zanzibar. Msajili wa vyama vya siasa na NEC wanapaswa kuchukua hatua kuepusha mambo haya! Maadili ya mchakato wa uchaguzi lazima yazingatiwe.
Ibada zote alizohudhuria Magufuli kwa miaka mitano ziligeuzwa mikutano ya siasa!.......unasemaje juu ya hilo?
 
Mbona Magufuli alipokuwa anachangisha harambee ya kujenga Msikiti kanisani huku weweseka wew Kibwetele Mataga? Maji mtaita mma ninyi mapimbi mwaka huu. Uonevu sasa baaathii

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Nchi yetu haina dini ila kila mtu anaruhusiwa kuabudu dini yo yote apendayo. Hii ni kwa mjibu wa katiba ya nchi yetu.

Tangia aanze kampeni zake mgombea huyu amekuwa akiambatana na askofu mmoja wa kanisa fulani anayeitwa Askofu Mwamakula na sheikh mmoja anayeitwa Sheikh Katimba. Katika mikutano yake yote ya kampeni viongozi hawa wawili wa kidini, wakiwa wamevaa mavasi yao ya dini wamekuwa wakipanda jukwaani kumnadi mgombea huyu wakitumia mistari ya bibilia takatifu na korani takatifu kumwombea kura mgombea wao na kuwaponda wagombea wengine.

Juzi huko Karagwe baada ya mgombea kushindwa kufika kwa wakati kwenye mkutano ambao ulikuwa umeandaliwa, viongozi hawa walimpigia kampeni peke yao. Jee hii ni haki? Si kukiuka katiba ya nchi? Wanataka kulipeleka wapi taifa letu? Kwa nini huyu mgombea na hawa viongozi wa dini wasichukuliwe hatua stahiki kwa kukiuka katiba? Kama wanataka kufanya siasa za majukwaani kwa nini wasifuate utaratibu kama alivyofanya Gwajima?

Angalia hapa chini kuanzia dakika ya 3:15

Mwingine huyu hapa akiwa amevalia majoho yake ya kanisa akiwa kwenye jukwaa la kampeni la kisiasa akimnadi mgombea huyu huyu.

Mungu yupo mkuu, Jambo lolote huanza na mungu na humalizika na mungu ,so sioni ubaya kwa mgombea yoyote kutembea na viongozi wa dini
 
Hivi sahihi ni kusema nchi haina dini (wakati zipo) au kusema serikali ndo haina dini (make kila dini ruksa)...??
Kwako dokta...
Hapa tunaongelea secular government (serikali kutokuwa na dini) kama ilivyo matakwa ya katiba ya nchi yetu.

Maana ya secular government ni utenganisho wa tasisi za serikali na watu waliokabidhiwa au wanaotarajia kukabidhiwa madaraka ya uongozi wa taasisi za serikali kwa upande mmoja na taasisi za kidini na viongozi wa kidini kwa upande mwingine.

Secularism in political terms is the principle of the separation of government institutions and persons mandated to represent the state from religious institutions and religious dignitaries.

Dhana hii ngumu kwa baadhi ya watu kuielewa ukiwamo wewe. Hao religious dignitaries wawili anaozunguka nao Tundu Lissu wakimnadi kwa kutumia vitabu itakatifu vya Bibilia na Korani wanavunja katiba pamoja na huyo mgombea wao. Huyo anayejiita Askofu Mwamakula hana mamlaka ya wakristo wote wa Tanzania. Na huyo anayejiita Sheikh Katambi hana mamlaka ye yote kwa waislamu wote wa Tanzania. Viongozi wakuu wenye mamlaka haya Tanzania wapo na wanajulikana - hususani kwa upande wa waislamu yupo Mufti Mkuu, kwa wakristo wa Roman Catholic kuna Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), wakristo wa Anglikhan wana Askofu Mkuu. Hawa wakina Mwamakula na Katambi ni waganga njaa tu na matapeli ambao wasipodhibitiwa wanaweza kutuletea vurugu.

Suala la viongozi kuombea dua nchi yetu au mikutano yetu ni suala tofauti na hiki wanachofanya hawa akina Mwamakula na Katambi. Na dua hizi hufanywa na viongozi wa dini wa maeneo yapofanyikia mikutano hii. Huwa ni dua za kumuomba Mwenyezi Mungu ili mikutano hiyo ifanyike kwa busara na amani. Hawa wakina Mwamakula na Katambi hawana juridiction na maeneo hayo.
 
Mungu yupo mkuu, Jambo lolote huanza na mungu na humalizika na mungu ,so sioni ubaya kwa mgombea yoyote kutembea na viongozi wa dini
Inavunja principle of a secular government.
 
Tujibu na yule anaetembea na walevi wacheza viuno na bolingo tena kwenye majukwaa,vipi,eti mjumbe yule mgombea vipi.yaani amewakusanya wavuta mziki wa tanzania nzima mapka wanapigana ngwala majukwaani.

Yaani Baharia Tundu Lisu anavuka maji ya shingo mchana kweupe,CCM hooei,itikia Hooi.
 
Back
Top Bottom