Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
Maadam hakuna sheria iliyovunjwa tulieni huko huko tukutane 28 mwezi wa kumi, Tutwpomrudisha magufuli chato na basi la Kiazi kitamu.
Huyo Mwamakula naye ayavue hayo majoho yake ya dini akapande majukwaa ya siasa kuomba kura bila kutumia bibilia takatifu kama alivyofanya Gwajima. Hiyo ni haki yake kama ni mtanzania.Vipi Kuhusu Askofu Gwajima si mmempa nafasi ya kugombea ubunge? Tuwakumbushe pia Mna Sheikh Shafifu majimi yeye aligombea Tanga.. Kama mnamtaka Askofu Mwamakula semeni mapema
Nchi yetu haina dini ila kila mtu anaruhusiwa kuabudu dini yo yote apendayo. Hii ni kwa mjibu wa katiba ya nchi yetu.
Tangia aanze kampeni zake mgombea huyu amekuwa akiambatana na askofu mmoja wa kanisa fulani anayeitwa Askofu Mwamakula na sheikh mmoja anayeitwa Sheikh Katimba. Katika mikutano yake yote ya kampeni viongozi hawa wawili wa kidini, wakiwa wamevaa mavasi yao ya dini wamekuwa wakipanda jukwaani kumnadi mgombea huyu wakitumia mistari ya bibilia takatifu na korani takatifu kumwombea kura mgombea wao na kuwaponda wagombea wengine.
Juzi huko Karagwe baada ya mgombea kushindwa kufika kwa wakati kwenye mkutano ambao ulikuwa umeandaliwa, viongozi hawa walimpigia kampeni peke yao. Jee hii ni haki? Si kukiuka katiba ya nchi? Wanataka kulipeleka wapi taifa letu? Kwa nini huyu mgombea na hawa viongozi wa dini wasichukuliwe hatua stahiki kwa kukiuka katiba? Kama wanataka kufanya siasa za majukwaani kwa nini wasifuate utaratibu kama alivyofanya Gwajima?
Angalia hapa chini kuanzia dakika ya 3:15
Mwingine huyu hapa akiwa amevalia majoho yake ya kanisa akiwa kwenye jukwaa la kampeni la kisiasa akimnadi mgombea huyu huyu.

Mkuu Dr akili, naamini mkuu itakua naakili kubwa Kama lissu, tafadhali fanya kweli October mpe Kura mh lissu ,Asante kwa kula yako mkuuInavunja principle of a secular government.
Hapa tunaongelea secular government (serikali kutokuwa na dini) kama ilivyo matakwa ya katiba ya nchi yetu.
Lissu anazidi kuaribu.
haaa!!,,,punguza munkari tukutane kwenye ballot box tuonyeshane umwamba nani atapata kura nyingi kati ya Kibaraka na dalali wa mabeberu Lissu Vs Kipenzi cha wa Tanzania John Pombe Magufuli.Kuaribu ndio nn we nguchiro????
Lissu hakutaka kubagua anasafiri na Askofu Mwamakula na Sheikh Katimba ili kuwakilisha Watanzania wa dini zetu kubwa mbili Nchini.
Wakati huo huo Dr ZWAZWA kwa UNAFIKI wako hukuhoji Viongozi hawa wa dini wanaounga mkono mapambio.
Uchaguzi 2020 - Mkutano wa Viongozi wa Dini wa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu!
Hawaombei mikutano yake bali wanamwombea kura za wakristo na waislam wakitumia aya za bibilia na korani! Ama kweli uchaguzi huu ni wa kihistoria. Lakini Polepole kaiweka vizuri kwamba huyu mtu memory disc yake haiko sawa. Tusije kushangaa baada ya uchaguzi tukamkuta akiokota makopo akiwa mtupu.Ana haki ya kuzunguka na viongozi wa dini ili wawe wanaombea mikutano yake,
Na yule mgombea mchungaji alielikimbia kanisa na kuuweka chini unabii kwa ajili ya makate wa siasa unamuongeleaje?Nchi yetu haina dini ila kila mtu anaruhusiwa kuabudu dini yo yote apendayo. Hii ni kwa mjibu wa katiba ya nchi yetu.
Tangia aanze kampeni zake mgombea huyu amekuwa akiambatana na askofu mmoja wa kanisa fulani anayeitwa Askofu Mwamakula na sheikh mmoja anayeitwa Sheikh Katimba. Katika mikutano yake yote ya kampeni viongozi hawa wawili wa kidini, wakiwa wamevaa mavasi yao ya dini wamekuwa wakipanda jukwaani kumnadi mgombea huyu wakitumia mistari ya bibilia takatifu na korani takatifu kumwombea kura mgombea wao na kuwaponda wagombea wengine.
Juzi huko Karagwe baada ya mgombea kushindwa kufika kwa wakati kwenye mkutano ambao ulikuwa umeandaliwa, viongozi hawa walimpigia kampeni peke yao. Jee hii ni haki? Si kukiuka katiba ya nchi? Wanataka kulipeleka wapi taifa letu? Kwa nini huyu mgombea na hawa viongozi wa dini wasichukuliwe hatua stahiki kwa kukiuka katiba? Kama wanataka kufanya siasa za majukwaani kwa nini wasifuate utaratibu kama alivyofanya Gwajima?
Angalia hapa chini kuanzia dakika ya 3:15
Mwingine huyu hapa akiwa amevalia majoho yake ya kanisa akiwa kwenye jukwaa la kampeni la kisiasa akimnadi mgombea huyu huyu.
haaa!!,,,punguza munkari tukutane kwenye ballot box tuonyeshane umwamba nani atapata kura nyingi kati ya Kibaraka na dalali wa mabeberu Lissu Vs Kipenzi cha wa Tanzania John Pombe Magufuli.
Nchi haina dini ila watu wanaweza kuwa na dini. Hiyo picha inaonesha watu wana dini. Haioneshi nchi ina dini: nchi ni katiba, hivyo onesha kifungu cha katiba kinachosema nchi ina dini au inaongozwa na dini fulani fulani.HAKIKA NCHI YETU HAINA DINIView attachment 1581561