Nchi yetu haina dini ila kila mtu anaruhusiwa kuabudu dini yo yote apendayo. Hii ni kwa mjibu wa katiba ya nchi yetu.
Tangia aanze kampeni zake mgombea huyu amekuwa akiambatana na askofu mmoja wa kanisa fulani anayeitwa Askofu Mwamakula na sheikh mmoja anayeitwa Sheikh Katimba. Katika mikutano yake yote ya kampeni viongozi hawa wawili wa kidini, wakiwa wamevaa mavasi yao ya dini wamekuwa wakipanda jukwaani kumnadi mgombea huyu wakitumia mistari ya bibilia takatifu na korani takatifu kumwombea kura mgombea wao na kuwaponda wagombea wengine.
Juzi huko Karagwe baada ya mgombea kushindwa kufika kwa wakati kwenye mkutano ambao ulikuwa umeandaliwa, viongozi hawa walimpigia kampeni peke yao. Jee hii ni haki? Si kukiuka katiba ya nchi? Wanataka kulipeleka wapi taifa letu? Kwa nini huyu mgombea na hawa viongozi wa dini wasichukuliwe hatua stahiki kwa kukiuka katiba? Kama wanataka kufanya siasa za majukwaani kwa nini wasifuate utaratibu kama alivyofanya Gwajima?
Angalia hapa chini kuanzia dakika ya 3:15
Mwingine huyu hapa akiwa amevalia majoho yake ya kanisa akiwa kwenye jukwaa la kampeni la kisiasa akimnadi mgombea huyu huyu.
Yupi ambaye ni bora, mwenye hofu ya Mungu ambaye anadhihirisha hilo, ama yule mwenye kutegemea kinga yake kupitia zindiko la wazee wa kimila wa Gamboshi?Nchi yetu haina dini ila kila mtu anaruhusiwa kuabudu dini yo yote apendayo. Hii ni kwa mjibu wa katiba ya nchi yetu.
Tangia aanze kampeni zake mgombea huyu amekuwa akiambatana na askofu mmoja wa kanisa fulani anayeitwa Askofu Mwamakula na sheikh mmoja anayeitwa Sheikh Katimba. Katika mikutano yake yote ya kampeni viongozi hawa wawili wa kidini, wakiwa wamevaa mavasi yao ya dini wamekuwa wakipanda jukwaani kumnadi mgombea huyu wakitumia mistari ya bibilia takatifu na korani takatifu kumwombea kura mgombea wao na kuwaponda wagombea wengine.
Juzi huko Karagwe baada ya mgombea kushindwa kufika kwa wakati kwenye mkutano ambao ulikuwa umeandaliwa, viongozi hawa walimpigia kampeni peke yao. Jee hii ni haki? Si kukiuka katiba ya nchi? Wanataka kulipeleka wapi taifa letu? Kwa nini huyu mgombea na hawa viongozi wa dini wasichukuliwe hatua stahiki kwa kukiuka katiba? Kama wanataka kufanya siasa za majukwaani kwa nini wasifuate utaratibu kama alivyofanya Gwajima?
Angalia hapa chini kuanzia dakika ya 3:15
Mwingine huyu hapa akiwa amevalia majoho yake ya kanisa akiwa kwenye jukwaa la kampeni la kisiasa akimnadi mgombea huyu huyu.
Nchi yetu haina dini ila kila mtu anaruhusiwa kuabudu dini yo yote apendayo. Hii ni kwa mjibu wa katiba ya nchi yetu.
Tangia aanze kampeni zake mgombea huyu amekuwa akiambatana na askofu mmoja wa kanisa fulani anayeitwa Askofu Mwamakula na sheikh mmoja anayeitwa Sheikh Katimba. Katika mikutano yake yote ya kampeni viongozi hawa wawili wa kidini, wakiwa wamevaa mavasi yao ya dini wamekuwa wakipanda jukwaani kumnadi mgombea huyu wakitumia mistari ya bibilia takatifu na korani takatifu kumwombea kura mgombea wao na kuwaponda wagombea wengine.
Juzi huko Karagwe baada ya mgombea kushindwa kufika kwa wakati kwenye mkutano ambao ulikuwa umeandaliwa, viongozi hawa walimpigia kampeni peke yao. Jee hii ni haki? Si kukiuka katiba ya nchi? Wanataka kulipeleka wapi taifa letu? Kwa nini huyu mgombea na hawa viongozi wa dini wasichukuliwe hatua stahiki kwa kukiuka katiba? Kama wanataka kufanya siasa za majukwaani kwa nini wasifuate utaratibu kama alivyofanya Gwajima?
Angalia hapa chini kuanzia dakika ya 3:15
Mwingine huyu hapa akiwa amevalia majoho yake ya kanisa akiwa kwenye jukwaa la kampeni la kisiasa akimnadi mgombea huyu huyu.
Ibada zote alizohudhuria Magufuli kwa miaka mitano ziligeuzwa mikutano ya siasa!.......unasemaje juu ya hilo?Tunaposema nchi haina dini tuna maanisha serikali yake haina dini. Nyumba za ibada hususani misikiti na makanisa zinakatazwa kutumika kama sehemu za kufanyia kampeni hizi za uchaguzi. Sasa hiki chama kinazunguka na kanisa lake na msikiti wake kikifanyia kampeni. Hili halikubaliki na ni uvunjifu wa sheria za nchi.
Matokeo yake tumeshuhudia watu wakipigana mapanga msikitini huko Zanzibar. Msajili wa vyama vya siasa na NEC wanapaswa kuchukua hatua kuepusha mambo haya! Maadili ya mchakato wa uchaguzi lazima yazingatiwe.
Mungu yupo mkuu, Jambo lolote huanza na mungu na humalizika na mungu ,so sioni ubaya kwa mgombea yoyote kutembea na viongozi wa diniNchi yetu haina dini ila kila mtu anaruhusiwa kuabudu dini yo yote apendayo. Hii ni kwa mjibu wa katiba ya nchi yetu.
Tangia aanze kampeni zake mgombea huyu amekuwa akiambatana na askofu mmoja wa kanisa fulani anayeitwa Askofu Mwamakula na sheikh mmoja anayeitwa Sheikh Katimba. Katika mikutano yake yote ya kampeni viongozi hawa wawili wa kidini, wakiwa wamevaa mavasi yao ya dini wamekuwa wakipanda jukwaani kumnadi mgombea huyu wakitumia mistari ya bibilia takatifu na korani takatifu kumwombea kura mgombea wao na kuwaponda wagombea wengine.
Juzi huko Karagwe baada ya mgombea kushindwa kufika kwa wakati kwenye mkutano ambao ulikuwa umeandaliwa, viongozi hawa walimpigia kampeni peke yao. Jee hii ni haki? Si kukiuka katiba ya nchi? Wanataka kulipeleka wapi taifa letu? Kwa nini huyu mgombea na hawa viongozi wa dini wasichukuliwe hatua stahiki kwa kukiuka katiba? Kama wanataka kufanya siasa za majukwaani kwa nini wasifuate utaratibu kama alivyofanya Gwajima?
Angalia hapa chini kuanzia dakika ya 3:15
Mwingine huyu hapa akiwa amevalia majoho yake ya kanisa akiwa kwenye jukwaa la kampeni la kisiasa akimnadi mgombea huyu huyu.
Hapa tunaongelea secular government (serikali kutokuwa na dini) kama ilivyo matakwa ya katiba ya nchi yetu.Hivi sahihi ni kusema nchi haina dini (wakati zipo) au kusema serikali ndo haina dini (make kila dini ruksa)...??
Kwako dokta...
Hujui maana ya secular state.Mbona Magufuli alipokuwa anachangisha harambee ya kujenga Msikiti kanisani huku weweseka wew Kibwetele Mataga? Maji mtaita mma ninyi mapimbi mwaka huu. Uonevu sasa baaathii
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app