Nchi yetu haina dini: huyu mgombea anayezunguka na 'viongozi' wa dini wakimnadi, anapeleka wapi taifa letu?

Maadam hakuna sheria iliyovunjwa tulieni huko huko tukutane 28 mwezi wa kumi, Tutwpomrudisha magufuli chato na basi la Kiazi kitamu.
 
Vipi Kuhusu Askofu Gwajima si mmempa nafasi ya kugombea ubunge? Tuwakumbushe pia Mna Sheikh Shafifu majimi yeye aligombea Tanga.. Kama mnamtaka Askofu Mwamakula semeni mapema
Huyo Mwamakula naye ayavue hayo majoho yake ya dini akapande majukwaa ya siasa kuomba kura bila kutumia bibilia takatifu kama alivyofanya Gwajima. Hiyo ni haki yake kama ni mtanzania.

Jamani tuache kuchanganya dini na siasa; tutaivuruga nchi yetu. Vivyo hivyo tusiweke ukabila kwenye siasa. Nchi zilizofanya hivyo hususani majirani wetu wa Kenya tunajua madhara wanayoyapata.
 
Castory, Castory
 
Miaka mitano tumemshuhudia Jiwe akijutubia makanisani yeye mwenyewe hadivwengine pia wamemfananisha na Yesu! Nikukumbushe tu ya kwamba Askofu Gwajima na Alhadi shehe wa mkoa wa Darisalama munae huko kwenu.
 
Ana haki ya kuzunguka na viongozi wa dini ili wawe wanaombea mikutano yake, isije ikavurugwa na yule mgombea wa chama tawala aliewahi kukusanya wachawi wote wa gamboshi ,ili wawafanyie uchawi wa kuwadhuru wote watakao jitokeza kuwania nafasi ya Urais.
Mgombea wa chama tawala hana hofu ya MUNGU kabisa,wachawi wanakusanyika na kutangaza hadharani kudhulu washindani wake kisiasa,anashindwa hata kuwakemea!! MUNGU atampiga pigo kali kabla ya tarehe ya kupiga kura.
 
Hapa tunaongelea secular government (serikali kutokuwa na dini) kama ilivyo matakwa ya katiba ya nchi yetu.

Unajikoroga sasa... Bando lako na unachokitetea ni vitu viwili tofauti...
Nchi ina dini... Serikali ndo haina dini...
Sasa kama nchi ina dini hakuna namna utawakwepa viongozi wa dini kwenye shughuli za nchi...
Ila tatizo linakuja (kama mlivozoea huko ccm) pindi mnapochanganya shughuli za serikali na zile za dini...
Serikali ya ccm inawaamrisha viongozi wa dini kuacha misingi ya dini ya kutetea haki, upendo, amani na umoja ili wasimamie "amani" pamoja na utengano...

Stand for the truth even if you gonna stand alone!!
 
Kuaribu ndio nn we nguchiro????
haaa!!,,,punguza munkari tukutane kwenye ballot box tuonyeshane umwamba nani atapata kura nyingi kati ya Kibaraka na dalali wa mabeberu Lissu Vs Kipenzi cha wa Tanzania John Pombe Magufuli.
 
Ana haki ya kuzunguka na viongozi wa dini ili wawe wanaombea mikutano yake,
Hawaombei mikutano yake bali wanamwombea kura za wakristo na waislam wakitumia aya za bibilia na korani! Ama kweli uchaguzi huu ni wa kihistoria. Lakini Polepole kaiweka vizuri kwamba huyu mtu memory disc yake haiko sawa. Tusije kushangaa baada ya uchaguzi tukamkuta akiokota makopo akiwa mtupu.
 
Na yule mgombea mchungaji alielikimbia kanisa na kuuweka chini unabii kwa ajili ya makate wa siasa unamuongeleaje?

Au ndio katika azma na mikakati yake na ya chama kuja kuvunja miskiti na madrasa na kuibadilisha na kuwa Sunday School kama alivyo ahidi madhabahuni ?

Na yule Dada anamchapa za uso tu saivi anatweta ulimi nje Mxieussssszzzzzz!!!

Mtatubeba mwaka huu bampa to bampa kisayansi zaidi
 
Ni kawaida kwa mbuzi jike kumuhofia beberu mana anaijua shughuli yake
haaa!!,,,punguza munkari tukutane kwenye ballot box tuonyeshane umwamba nani atapata kura nyingi kati ya Kibaraka na dalali wa mabeberu Lissu Vs Kipenzi cha wa Tanzania John Pombe Magufuli.
 
Na yule mgombea mchungaji alielikimbia kanisa na kuuweka chini unabii kwa ajili ya makate wa siasa unamuongeleaje?
Ndivyo inavyotakiwa kufanyika. Kama wanaona siasa inalipa nao wafanye kama alivyofanya mwenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…