Uchaguzi 2020 Nchi yetu inakwenda kumpata Rais mpya kabisa kutoka kwenye chama kipya kabisa

Mifano ya dini Imeingia mpaka kwenye siasa.

Je, T. Lissu anafanana na Daudi??

T.Lissu anatabia ya Daudi??

Asante kwa Ukumbusho wa Matendo Makuu ya Mungu.

Lakini T. Lissu hawezi kuwa rais wa Tanzania.
 
Endelea kuota tu, hakuna cha Upinzani kilicho tayari kushika dola kwa miongo kadhaa ijayo. Hao kina Lissu, Mbowe na genge lao ni wachumia tumbo, wazandiki na mawaka wa mabeberu. Wananchi hawawezi kuhatarisha maisha ya vizazi vyao, kwa kulipa kura hilo genge la wahuni.
 
Nakwambia tena jiandae tu. Lissu ndo Raisi wako 2020-2025
Weka akiba ya maneno. Ndoto zako haziwezi timia bila mifumo. Chama cha Mbowe, kinayo mifumo sumu kwa ustawi wa Taifa la Tanzania. Endeleeni kula ruzuku na michango ya wabunge ingawa ndio ya mwisho mwisho,huku mkilewa faru John.
 
Wenye macho ya kinabii tumeshaona kila kitu.
 
Hoja mfu zimeshafeli....hebu piga magoti kwanza kama Rais wako
 
Weka akiba ya maneno. Ndoto zako haziwezi timia bila mifumo. Chama cha Mbowe, kinayo mifumo sumu kwa ustawi wa Taifa la Tanzania. Endeleeni kula ruzuku na michango ya wabunge ingawa ndio ya mwisho mwisho,huku mkilewa faru John.
Mkuu kama humpendi Lissu hama nchi anakwenda kushika nchi
 
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu [emoji2][emoji2]

Na lissu akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
Lissu kampiga spana mtu hadi anagalagala chini anapiga magoti hovyo hovyo. Sijui waganga ndio walimdanganya.
 
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert [emoji3][emoji3]
Lissu kampiga spana mtu hadi anagalagala chini anapiga magoti hovyo hovyo. Sijui waganga ndio walimdanganya.
 
Rais Magufuli ni kipenzi cha Watanzania, huyo msaliti wa Nchi mrudisheni ubeligiji
Huko ubelgiji alikwenda mwenyewe? Kuna usariti kama wa kuiba trilion 1.5 kisha kumtoa kafara CAG?
 
Weka akiba ya maneno. Ndoto zako haziwezi timia bila mifumo. Chama cha Mbowe, kinayo mifumo sumu kwa ustawi wa Taifa la Tanzania. Endeleeni kula ruzuku na michango ya wabunge ingawa ndio ya mwisho mwisho,huku mkilewa faru John.
CCM endeleeni kula ruzuku na kuchota pesa Hazina kienyeji mwisho wenu pindi mkiwa chama cha upinzani mtauona, mfumo wa sumu ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani
 
Wasaliti wa Nchi mwaka huu mtajua kuwa usaliti ni laana

Tutawafundisha
Hakuna usariti kama kutafuna 10% ununuzi wa Ndege kwa cash, usariti wa kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge ni usariti Hatari kwa pesa za walipa kodi
 
Ila tuseme ukwel jaman, upinzani mna roho ngumu sana
 
Watu mnaoandikaga vtu kama hv..sjui hwa nawafkiriaje...sjui inakua unaandika kwa kuhadaa au unakua serious kabisa..
Hauamini ila inakwenda kutimia, kama ni mwanaccm ingia au tafuta group la WhatsApp soma comments na yale watu wanayoandika ndipo utaelewa.

Vinginevyo nikwambie tu, mfumo upo tayari kuperuzi kila kituo kupokea kura zote na hakuna mtu kuiba kura labda mnavyoandaa jeshi na vijana wa jkt kusaidia ccm, tunaona usiku hapa bagamoyo mnavyopakia vifaa vya kijeshi kupeleka Zanzibar.

Ila jambo la kuzingatia ni hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, "hata kamba ukata jiwe".
 
Ila kuna Majina mengine yanaendana na uhalisia! Mtu anaitwa Tobo,Basi anataka Matobo yatumike pia!? Ebu atuache kwanza tuna Ugeni Kutoka Malawi,yeye aendelee kupiga Misele Kariakoo!!
Ugeni toka Malawi una uhusiano gani na madhambi ya msukuma tokea chato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…