Uchaguzi 2020 Nchi yetu inakwenda kumpata Rais mpya kabisa kutoka kwenye chama kipya kabisa

Uchaguzi 2020 Nchi yetu inakwenda kumpata Rais mpya kabisa kutoka kwenye chama kipya kabisa

Kitendo cha Tundu kuonyesha umma wa watanzania tuu kwamba Amstadam ndio kila kitu kwake kilitosha kabisa kummaliza kwenye sanduku la kura

Matokeo ya 28 ndio yatamuonyesha wazi kwamba yeye hana tofauti na mfanyabiashara wa nyamachoma alieamua kwenda kuuza kitimoto msikitini
Eti na wewe umeandika??
 
Matendo ya ccm kwa wapinzani ni matendo mabaya yasiyo na maana huku ccm wakijidanganya kuwa pengine wamefaulu kuzima upinzani wakati upinzani huwa upo moyoni mwa watu
 
Pata Ofa ya kitabu cha UJASUSI  kwa 25,000__ badala ya bei halisi ya 80,000__    ( 800 X 640 ).jpg
 
Tanzania ni kisiwa cha wavumilivu wakubwa ingekuwa ni Nchi ingine mda huu kungekuwa na vita

Huo tunaweza sema SI UVUMILIVU tena baali UKONDOO!!!
Usitegemee Mabeberu ya CCM yakuletee Haki,Uhuru na Maendeleo kwenye kisahani!! Uhuru na Haki lazima vipiganiwe!
 
Wakati Fulani daudi alikumbana na wakati mgumu sana mbele ya mfalme Sauli pale Sauli alipogundua Daudi ndiye anaependwa sana na Mungu na amepakwa mafuta kuwa mfalme wa Israeli badala yake. Alipanga kumuua kabla ya kutimiza ndoto zake lakini haikuwezekana.

Na mwisho wa siku yeye mwenyewe sauli alikufa kabla hajamuua Daudi.

Na mwisho wa siku Daudi akawa mfalme mahali pake katika Israeli na kuliongoza taifa la Israeli katika mafanikio makubwa kiuchumi kwa sababu tu daudi alimsikiliza Mungu katika namna ya kuongoza watu katika mafanikio yao na haki siku zote aliitanguliza mbele na ndio maana alipendwa sana na wananchi wake.

Kwenye nchi yetu kuna jambo linaenda kutokea na wale wasioamini mpaka washuhudie kwa macho wataona kama alivyoona Tomaso.

Kila Mtu aliye wake na asiye wake anakwenda kumpigia kura na hii ni kutokana na maono aliyopewa katika taifa hili.

Amini Usiamini lakini ndicho kitakachoenda kutokea.

Watu wanaoamini katika ulimwengu wa roho ule usioonekana kwa macho ya kawaida wala kusikika kwa masikio ya kawaida wananielewa nilichosema.
Na Magu jana kajifunga goli yan, Imagine analeta Rais wa Malawi aliyekataa kuibiwa kura ndo awe mgeni katikati ya kampeni za Uchaguzi
 
Back
Top Bottom