Uchaguzi 2020 Nchi yetu inakwenda kumpata Rais mpya kabisa kutoka kwenye chama kipya kabisa

Eti na wewe umeandika??
 
Matendo ya ccm kwa wapinzani ni matendo mabaya yasiyo na maana huku ccm wakijidanganya kuwa pengine wamefaulu kuzima upinzani wakati upinzani huwa upo moyoni mwa watu
 
Tanzania ni kisiwa cha wavumilivu wakubwa ingekuwa ni Nchi ingine mda huu kungekuwa na vita

Huo tunaweza sema SI UVUMILIVU tena baali UKONDOO!!!
Usitegemee Mabeberu ya CCM yakuletee Haki,Uhuru na Maendeleo kwenye kisahani!! Uhuru na Haki lazima vipiganiwe!
 
Na Magu jana kajifunga goli yan, Imagine analeta Rais wa Malawi aliyekataa kuibiwa kura ndo awe mgeni katikati ya kampeni za Uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…