Nchi za Africa ili ziendelee, futa dini zote wote tuwe wapagani. Sisitiza kazi tu.

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Hizi dini ni ushamba na umbumbumbu wa hali ya juu na zinatufanya maskini wa kutupwa.

Imagine unatafita pesa kwa jasho halafu unaenda kumtajirisha let say mwamposa au padre anaye shinda bar na malaya na we unaaninj kabisa kwamba pesa yako imeliwa na Mungu.
 
Kwani umelazimishwa na mtu?Achana nazo.
 
Hizi dini ni ushamba na umbumbumbu wa hali ya juu na zinatufanya maskini wa kutupwa.

Imagine unatafita pesa kwa jasho halafu unaenda kumtajirisha let say mwamposa au padre anaye shinda bar na malaya na we unaaninj kabisa kwamba pesa yako imeliwa na Mungu.
Zikifutwa faraja tutapata wapi sasa? Unajua raha ya kuimba nyimbo za sifa na kupigiwa kinanda? Tuache tuuziwe faraja na matumaini mkuu
 
Wapiga kura wetu
 
Kwa taarifa yako wenye dini ni wachache sana. Matendo yetu mengi yandhiirisha hatuna dini. Haya basi hata tukifuta dini zote tuna tabia za asili kama mwafrika ambazo hatuwezi kuziacha. Niambie kama kuna dini inendekeza corruptipn, uzinzi, uchawi, kulogana, uvivu, wizi, wizi wakura, ne mengine machafu tu ambayo ndiyo yanatufanya tusiendelee. Hapo hakuna cha udini wala nini ni uafrika wetu wenyewe una shida.
 
Zikifutwa faraja tutapata wapi sasa? Unajua raha ya kuimba nyimbo za sifa na kupigiwa kinanda? Tuache tuuziwe faraja na matumaini mkuu
Akili za binadamu zinahitaji kuwa na matumaini !
Zikikosa matumaini huwa ni Hatari !
 
Kwa taarifa yako wenye dini ni wachache sana. Matendo yetu mengi yandhiirisha hatuna dini. Haya basi hata tukifuta dini zote tuna tabia za asili kama mwafrika ambazo hatuwezi kuziacha. Niambie kama kuna dini inendekeza corruptipn, uzinzi, uchawi, kulogana, uvivu, wizi, wizi wakura, ne mengine machafu tu ambayo ndiyo yanatufanya tusiendelee. Hapo hakuna cha udini wala nini ni uafrika wetu wenyewe una shida.
Kweli !
 
Hizi dini ni ushamba na umbumbumbu wa hali ya juu na zinatufanya maskini wa kutupwa.

Imagine unatafita pesa kwa jasho halafu unaenda kumtajirisha let say mwamposa au padre anaye shinda bar na malaya na we unaaninj kabisa kwamba pesa yako imeliwa na Mungu.
Nakubaliana 100% ...kazi tu, wahisani wasitoe misaada na ukiiba ni kunyongwa tu...tumezoea vitu virahisirahisi tu
 
hahah haiti walifanya hivyo walikataa Christianity wakachukuwa voodo, leo hii ni poorest country ni northern hemisphere, cha kufanya ni kuupuka uislamu na kuukumbatia Ukristo (western) kwa 100% hapo utashangaa baraka, maendeleo na haki zitakavyokuja, afrika imenufaika zaidi na uwepo wa Ukristo klk kinyume chake, ushahidi upo wazi kila mahali …
 
Dini ni kwa ajili ya watu maskini na wajinga, ila zina msaada kwa serikali kwa kuwapa wananchi matumaini uchwara ya utajiri wa kufikirika mbinguni.

Huku wajanja wachache wakifaidi michango, sadaka, fungu la kumi na kula mema ya nchi hapahapa duniani.

Wanasiasa wanajua wanachi wakifocus kwenye uzima wa milele mbinguni, Hawawezi kuwabana kuhusu matumizi ya kodi zao hapa duniani.
 
Kwa taarifa yako wenye dini ni wachache sana. Matendo yetu mengi yandhiirisha hatuna dini. Haya basi hata tukifuta dini zote tuna tabia za asili kama mwafrika ambazo hatuwezi kuziacha. Niambie kama kuna dini inendekeza corruptipn, uzinzi, uchawi, kulogana, uvivu, wizi, wizi wakura, ne mengine machafu tu ambayo ndiyo yanatufanya tusiendelee. Hapo hakuna cha udini wala nini ni uafrika wetu wenyewe una shida.

umesema ukweli, watanzagiza wanachanganya Ukristo na mambo yao ya kimila na jadi ya kichawi, tanzagiza wanaoishi kufwata falsafa ya Kristo hawafiki hata 5% ya wanaojiita wakristo, makonda anajiita Mkristo halafu anaongelea mambo ya kulogana unaona kabisa kwamba anachanganya ujadi na mila zake za kichawi na Ukristo, Mkristo anayeamini katika Ukristo hawezi kuongelea mambo ya Uchawi na kulogana.

bottom line watanzagiza wengi ni wapagani ingawaje wanajiita wakristo, hawauelewi Ukristo ingawaje wanajiita Wakristo, kama tungeishi kwa kufwata mafundisho ya Kikristu kama nchi tungekuwa mbali sana kama nchi na jamii kwa maana Ukristo unafundisha haki, heshima, amani na upendo, ukifwata Amri 10 za Mungu kama jamii na nchi lazima utafika mbali …
 
Acheni wivu. Hulka ya mtanzania Ni wizi, hata anayelalama kuwa nchi inaibiwa ukimchunguza unagundua naye Ni mwizi vilevile isipokuwa tunazidiana kulingana na urefu wa kamba za watu.

Hiyo dini Ni lini ilienda kupiga kura? Naamini watanzania kuhusu suala la kodi hilo halina ubishi coz niwalipaji wazuri tu. Wakati mwingine wanajiongeza kujenga hata shule na mazahanati kwa pesa zao zakuchangishana Kama mazwazwa vile kumbe Ni mambumbumbu 😆😆

Shida ipo kwenye siasa huku na hulka ya mtanzania. Wapo viongozi waliopita ambao walikuwa na uwezo mkubwa wakujenga ushawishi ktk jamii na ikaitika na ambao wangeweza kujenga hulka ya mtz kutoka tulivyo Sasa hadi tunapotaka kwenda. Bahati mbaya Sana wenye uwezo Kama huo kwa Sasa Wala hawana hata mpango wa kuingia kwenye siasa. Na walio kwenye mfumo kwa Sasa hakuna hata mmoja mwenye uwezo.
 
Hizi dini ni ushamba na umbumbumbu wa hali ya juu na zinatufanya maskini wa kutupwa.

Imagine unatafita pesa kwa jasho halafu unaenda kumtajirisha let say mwamposa au padre anaye shinda bar na malaya na we unaaninj kabisa kwamba pesa yako imeliwa na Mungu.
Wivu mbaya sana, mbona wewe unashona viatu na kubrashi viatu hapa posta hatukuonei wivu??? Pumbavu jinga kabisa!
 
Back
Top Bottom