Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Ukiangalia nchi zote za afrika zilisubiria kosa kwanza likafikia tamati ndio waanze kulitatua.
Ukilinganisha na wenzetu kukionekana kuna dalili ya makosa uwahi haraka kulitatua ,Ndio maana kila siku kompyuta na vifaa vyetu zinaomba mabadiliko ya kufanyiwa mabadiliko.
Serikali za afrika nyingi zimeharibu nchi zao,mfano kule nigeria kulikuwa na kiongozi aliamisha mabilioni ya pesa nchi za nje na nchi ikawa imekosa peaa mwisho wa siku mda kwenda ndio wanaomba kurudishiwa.
Rwanda na burundi makosa yalikuwa yasha onekana tena sana ila baada kufikia tamati ndio wametatua.
Sudani kosa lilianza mda mrefu kama ilivyo Ethiopia ila tunasubiri kufika tamati.
Zimbabwe mpaka kumtoa mugabe ni kosa lishafika tamati,leo south afrika kuja kufika mwezi 12 mtaniambia na uzi wekeni pin 📌.
Na hapa tanzania tunasubiria tamati ambayo itaanza ndani yao.