Nchi za Afrika tunadharauliana wenyewe kwa wenyewe. Hii si sawa

😬😬😎
 
Eti Bank taller 😆😆..Huyo ni Dr.Patricia AfdB county Manager wa Tanzania..

Huyo mwenye boot sijajia ni nani 🤣😂
 
Huyo mama mpaka amekaa kwa hiyo nafasi dunia nzima inajua hujuma alizozifanya kumpoteza Rais wake.

Alikua na dhamira ya ukombozi kwa taifa letu na kuwa mfano kwa mataifa mengine.
 
Huyo mama mpaka amekaa kwa hiyo nafasi dunia nzima inajua hujuma alizozifanya kumpoteza Rais wake.

Alikua na dhamira ya ukombozi kwa taifa letu na kuwa mfano kwa mataifa mengine.
😜😜😝😝😁😁😁😁😁 Imebidi nicheke tuu
 
Hao ni sukuma gang mkuu,wanamueleza Mama kwa vitendo jinsi anavyopigwa vita kila kona . Ama kweli sukuma gang wametawala sehemu nyingi.
haya magang yako mangapi?tuelewane humu ndani ili tuyajue sababu ni gang mmoja tu linalojulikana na kushambuliwa.tukiyajua mengine itakuwa vzr ili hoja zetu ziweze kubalance.
 
Mlisaidiaje Ghana kupata ukombozi wakati hiyo nchi ilipata uhuru kabla ya Tanganyika?
mkuu uhuru wao ulikuwa wa bendera siku hizi wanasema uhuru wa michongo na siyo uhuru kamili.
 
too much of anything is harmful!
safari za muhimu kwa Mama ni Scandinavia, US, China, Canada, Turkey, France, Arabuni na Canada kwenye pesa na wawekezaji, kwingineko Afrika anazurura tu na Marais wenzake wote wameshamjua amepata ulimbukeni na wameshamdharau!

urais wenyewe wa kubet au mchongo pesa! atulie!!

akiabika na kudharaulika Mama inawarudia wabongo wote wa Diaspora!! uzunguni huwa kawaida Rais wako akizingua majirani zako wazungu huwa wanakucheka na kukutania sana!

hili ni fundisho kwa ile taasisi yake kuacha kuwaza per diem zao za nje ya nchi na kumshauri Mama atulie bongo kwake hata mwaka mmoja kuzunguka mikoani kujua shida za wananchi na kujibu maswali yao ya papo kwa papo kama Mwendazake!!

wabongo tukipewa bajeti ya pesa ya safari zote za Mama nje ya nchi tutasema bora Mwendazake angefufuka!! Karl Marx anasema ukitaka kujifunza kitu chochote anza na kuangalia mpunga ni kiasi umeliwa, nani amekula na nani hajala na mgogoro utajifungua!

So sad!
 
Ndani ya CCM yapo mengi kila uchaguzi yanaibuka mapya,sema kwa sasa chadema wanashambulia sukuma gang pekee wakidhani ndilo adui yao mkubwa
haya magang yako mangapi?tuelewane humu ndani ili tuyajue sababu ni gang mmoja tu linalojulikana na kushambuliwa.tukiyajua mengine itakuwa vzr ili hoja zetu ziweze kubalance.
 
Mwaka huu mikutano inafanyika Accra ,iko live saizi majadiliano yanaendelea..

Mwendazake alikuwa hawezi enda kwa sababu za lugha [emoji38][emoji38]
shikeni moja shida ilikuwa mashine ya moyo au lugha???

msiwe kama malaya mlevi kila mwanaume mwenye gari ni wake.
 
Kifupi wamemdharau yeye na alio ambatana nao, kiujumla wametudharau mpaka raia. Inasikitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…