Nchi za Afrika za Francophonie na Common wealth zinalipa Trillion 3000 kila mwaka kwa Ufaransa na Uingereza kama fidia ya faida za ukoloni

Tutajie hizo nchi mbili zilizogoma

Haya yote yalifanyika Katika nchi ya Africa na ni siri? (hiyo nchi haijulikani)? Je hayo maji yalitumika na kama yalitumika hali za hao raia vipi si walikufa wote au?

Kwangu hii naona ni ngumu kumesa
Hii ipo kwenye Historia Olevel, nakumbuka ni mojawapo ya Guinea. Ufaransa aling'oa kila kitu.
 
Nilishasema toka mwanzo, sisi wa Commonwealth tunakamuliwa vilivyo kupitia mikopo ya world bank, sikiliza ushahidi huu juu ya world bank hapo chini.

View: https://www.instagram.com/reel/DEXSe7YPB_O/?igsh=Z2tzNGhwbDNycDFy
 
Tutajie hizo nchi mbili zilizogoma

Haya yote yalifanyika Katika nchi ya Africa na ni siri? (hiyo nchi haijulikani)? Je hayo maji yalitumika na kama yalitumika hali za hao raia vipi si walikufa wote au?

Kwangu hii naona ni ngumu kumesa

Moja ya hizo nchi ni Guinea
 
wazungu wasengerema sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…