Haya yote yalifanyika Katika nchi ya Africa na ni siri? (hiyo nchi haijulikani)? Je hayo maji yalitumika na kama yalitumika hali za hao raia vipi si walikufa wote au?
Commonwealth akiwa na maana mojawapo ya Nchi zinazolipa ni Tanzania.Mleta mada alete ushahidi kama alivyofanya kwa Nchi za Francophne.Hiyo wala haikuwa siri kulikuwa na mkataba kabisa.
Ameendelea kudai anatayarisha watu wenye BP
Sasa haoni ni muda wa kuleta ushahidi au ilikuwa ni kuongeza tu chumvi ili habari ionekane inatuhusu?
Haya yote yalifanyika Katika nchi ya Africa na ni siri? (hiyo nchi haijulikani)? Je hayo maji yalitumika na kama yalitumika hali za hao raia vipi si walikufa wote au?
Kwa sasa naandika kwa kifupi sana, ila nitaleta andika kamili kesho au baadae.
Nitaanza na Francophone Africa. mnafahamu kwamba Ufaransa iliwasainisha makoloni yake yote mkataba unaoitwa ‘Agreement for the continuation of colonialism’ kabla hajawapa ‘uhuru feki’?
Msingi wa mkataba huu ni kwamba Ufaransa anadai alipwe kwanza fidia ya maendeleo yote ya kiutawala na miundo mbinu ambayo aliwekeza kwenye nchi hizo ili aweze kuondoka.
Kuna nchi mbili ziligoma kusaini , kilichowakuta kiliwaogopesha makoloni mengime yote na wakasaini. Wale waliogoma, Ufaransa aliondoka , lakini alichukua kila kilicho chake ambacho kinahamishika, vile ambavyo havihamishiki walivichoma moto vyote, waling’oa reli, walichoma moto majengo yote ya kiutawala, walichoma moto maghala yote ya chakula, walitia sumu visima vyote, waliharibu kila kitu! Ndio wakaondoka, kuona dhahama hiyo, wote waliobaki walisaini.
Kupitia mkataba huo wa siri wa kinyonyaji, nchi za Francophone Africa wanalipa Dollar Billioni 500 kila mwaka kwa Ufaransa, na sharti kuu ni iwe siri , wananchi wasiambiwe.
Marais wengi wapya wa nchi hizo kila walipoingia madarakani walikutana na mkataba huu, na hawakuamini walichokiona, na wakagoma kulipa, kila aliyegoma aliuwawa au kupinduliwa. Angalia histora ya Marais wa nchi hizo, utashangaa, wengi sana wameuwawa na kupinduliwa.
Burkinafaso mfano, walishamuuwaga Thomas Sankara, hata huyu Rais wao wa sasa, huu mkataba ulimuumiza sana roho, na akawafukuza wafaransa na kusema wazi kabisa , haogopi kufa, na hata majaribio ya mapinduzi wameshamfanyia majaribio zaidi ya 10, na bado wanaendelea kumuwinda. Ameina bora akatafuta alliance na Urusi, na wameingia military pact ya kumlinda kwa malipo kidogo. Inshort huyu Dogo kawaambia Ufaransa lije jua ije mvua, halipi hiyo pesa!! Na kawatimua nchini kwake!
Huo mkataba nitauleta na nitauchimbua msharti yake yalivyo makali, inaumiza sana. Dollar billion 500 kila mwaka wale mbwa wanavuna, inauma sana!
===========================
1.) D.R.C CONGO - Has seen decades of violence especially in the north-east - French speaking 2.) C.A.R (Central African republic) - Has recently undergone a cope de tat - French speaking 3.) MALI - Recently was taken over by rebels in the Northen part, french troops intervened - French speaking...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.