Nchi za Afrika za Francophonie na Common wealth zinalipa Trillion 3000 kila mwaka kwa Ufaransa na Uingereza kama fidia ya faida za ukoloni

Kwa mfano kabla ya uhuru wakoloni wangeondoka na kila kitu chao walichokijenga kuanzia miji majengo madaraja barabara viwanda mashamba mashule vyuo tuanze upya je tungeweza kujijenga?
 
Kwa mfano kabla ya uhuru wakoloni wangeondoka na kila kitu chao walichokijenga kuanzia miji majengo madaraja barabara viwanda mashamba mashule vyuo tuanze upya je tungeweza kujijenga?
Havikuwa vyao, maana vilijengwa kwa kodi za makoloni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…