FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #241
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni uwongo kwa asilimia 100.Uwezekano wa uwepo wa akisemacho mtoa mada ni 99%
Umesoma ushahidi mbalimbali uliowekwa kwenye uzi?Huu ni uwongo kwa asilimia 100.
Nchi ambayo inafahamika waling'oa reli ni Guine ya SekotoureNdio maana nikasema, naanza na Francophonie, nikimaliza nitakuja Commonwealth. Lengo ni kuwaandaa kisaikolojia kwanza.., maana wengine wana B.P humu
Havikuwa vyao, maana vilijengwa kwa kodi za makoloni.Kwa mfano kabla ya uhuru wakoloni wangeondoka na kila kitu chao walichokijenga kuanzia miji majengo madaraja barabara viwanda mashamba mashule vyuo tuanze upya je tungeweza kujijenga?