Mkataba ni siri ya watawala ili wananchi wasijue, wewe utaupata wapi kapuku mwenzangu wewe?Ndio maana nikasema, naanza na Francophonie, nikimaliza nitakuja Commonwealth. Lengo ni kuwaandaa kisaikolojia kwanza.., maana wengine wana B.P humu
Watu bilioni 1.5 wanafanyakazi usiku na mchana, kwa miaka zaidi ya 60 ya uhuri, na bado hatuna hata ambulance tu za kueleweka ni shida.., pesa zote zinaenda wapi? Commomwealth sisi mtego wetu upo IMF na World bank.., kataa kukopa pesa uone kitakachokupata,uliza Djibouti walifanywa nini baada ya kugoma kukopa. Yaani. Unakopa Trillion 2 kwenye makaratasi, mkopo wenyewe hauji, ila unatakiwa ulipe Trillion5 na riba, mnamuonea mama wa watu bure kumuuliza pesa alizokopa zimeenda wapi, mnamuonea bure! Hakuna anaependa kufa jamani, huo ushujaa alikuwa nao jiwe tu! Tuombe sana aje mwingine atakaekuwa tayari kufa, kama Burkinafaso walivyompata yuke dogo..Hadithi za kwenye kahawa hizi! Trillion 3000? Afrika haiwezi kuwa na hiyo hela!
Tutoeni CCM madarakani pesa mtaziona! Hela wanachukua akina rizmoko!Watu bilioni 1.5 wanafanyakazi usiku na mchana, kwa miaka zaidi ya 60 ya uhuri, na bado hatuna hata ambulance tu za kueleweka ni shida.., pesa zote zinaenda wapi?
Wa DP world mliupata wapi?Mkataba ni siri ya watawala ili wananchi wasijue, wewe utaupata wapi kapuku mwenzangu wewe?
Madini ya uranium yanayotoka pale Niger kwenda ufaransa kwa mwaka unajua yanagharimu kiasi gani?. Ukilijua hilo utajua sio lazima utoe hela ili ulipe deni.Fake news, hizo nchi kwanza hazina uwezo wa kugenerate hizo dollar billioni 500 kwa mwaka za kulipa kadeni na bado zijiendeshe
Hakuna Siri sa ivi duniani kwenye ulimwengu wa kidijitali, labda uniambie hua wanalipana hizo pesa kwenye magunia, ila kama ni transactions za kibenk ingekua ishajulikana kitambo tu,
Btw, nchi Gani hizo mbili ambapo wafaransa walifanya ivo?
Guinea chini ya Sekou Toure mwaka 1958 walikiona cha mtema kuniFake news, hizo nchi kwanza hazina uwezo wa kugenerate hizo dollar billioni 500 kwa mwaka za kulipa kadeni na bado zijiendeshe
Hakuna Siri sa ivi duniani kwenye ulimwengu wa kidijitali, labda uniambie hua wanalipana hizo pesa kwenye magunia, ila kama ni transactions za kibenk ingekua ishajulikana kitambo tu,
Btw, nchi Gani hizo mbili ambapo wafaransa walifanya ivo?
Hii kitu ipo,miaka miwili nyuma nilimsikia baruani muhuza kupitia radio U-FM akihojiwa kuhusu haya mapinduzi hasa ya nchi za Afrika Magharibi na alisema wazi kabisa juu ya hiyo fidia inayolipwa kwa mfaransa kila mwaka ndyo chanzo cha hayo mapinduziTutajie hizo nchi mbili zilizogoma
Haya yote yalifanyika Katika nchi ya Africa na ni siri? (hiyo nchi haijulikani)? Je hayo maji yalitumika na kama yalitumika hali za hao raia vipi si walikufa wote au?
Kwangu hii naona ni ngumu kumesa
Dollar bilioni 500 ni mara mbili ya GDP ya hizo cfa members wote, that alone makes this argument voidGuinea chini ya Sekou Toure mwaka 1958 walikiona cha mtema kuni
Kwenye makaratasi ila kwenye uhalisia memba mmoja tu anazidi hizo pesa huoni hao wazungu wananeemeka kupitia waafrika wakati huo huo waafrika wenyewe mlo mmoja wengi kupata kwa papatuDollar bilioni 500 ni mara mbili ya GDP ya hizo cfa members wote, that alone makes this argument void
Chanzo cha hii habari. Siri imevuja vipi?Kwa sasa naandika kwa kifupi sana, ila nitaleta andika kamili kesho au baadae.
Nitaanza na Francophone Africa. mnafahamu kwamba Ufaransa iliwasainisha makoloni yake yote mkataba unaoitwa ‘Agreement for the continuation of colonialism’ kabla hajawapa ‘uhuru feki’?
Msingi wa mkataba huu ni kwamba Ufaransa anadai alipwe kwanza fidia ya maendeleo yote ya kiutawala na miundo mbinu ambayo aliwekeza kwenye nchi hizo ili aweze kuondoka.
Kuna nchi mbili ziligoma kusaini , kilichowakuta kiliwaogopesha makoloni mengime yote na wakasaini. Wale waliogoma, Ufaransa aliondoka , lakini alichukua kila kilicho chake ambacho kinahamishika, vile ambavyo havihamishiki walivichoma moto vyote, waling’oa reli, walichoma moto majengo yote ya kiutawala, walichoma moto maghala yote ya chakula, walitia sumu visima vyote, waliharibu kila kitu! Ndio wakaondoka, kuona dhahama hiyo, wote waliobaki walisaini.
Kupitia mkataba huo wa siri wa kinyonyaji, nchi za Francophone Africa wanalipa Dollar Billioni 500 kila mwaka kwa Ufaransa, na sharti kuu ni iwe siri , wananchi wasiambiwe.
Marais wengi wapya wa nchi hizo kila walipoingia madarakani walikutana na mkataba huu, na hawakuamini walichokiona, na wakagoma kulipa, kila aliyegoma aliuwawa au kupinduliwa. Angalia histora ya Marais wa nchi hizo, utashangaa, wengi sana wameuwawa na kupinduliwa.
Burkinafaso mfano, walishamuuwaga Thomas Sankara, hata huyu Rais wao wa sasa, huu mkataba ulimuumiza sana roho, na akawafukuza wafaransa na kusema wazi kabisa , haogopi kufa, na hata majaribio ya mapinduzi wameshamfanyia majaribio zaidi ya 10, na bado wanaendelea kumuwinda. Ameina bora akatafuta alliance na Urusi, na wameingia military pact ya kumlinda kwa malipo kidogo. Inshort huyu Dogo kawaambia Ufaransa lije jua ije mvua, halipi hiyo pesa!! Na kawatimua nchini kwake!
Huo mkataba nitauleta na nitauchimbua msharti yake yalivyo makali, inaumiza sana. Dollar billion 500 kila mwaka wale mbwa wanavuna, inauma sana!
Kwanini French speaking African nations ndio zina vita tu?
1.) D.R.C CONGO - Has seen decades of violence especially in the north-east - French speaking 2.) C.A.R (Central African republic) - Has recently undergone a cope de tat - French speaking 3.) MALI - Recently was taken over by rebels in the Northen part, french troops intervened - French speaking...www.jamiiforums.com
1. Benki kuu za nchi hizo zinatakiwa (sio ombi, ni amri) kuweka asilimia 50% ya hazina yake yote katika benki za ufaransa.Wanatoa wapi hayo mapesa?