Nchi za Afrika za Francophonie na Common wealth zinalipa Trillion 3000 kila mwaka kwa Ufaransa na Uingereza kama fidia ya faida za ukoloni

Uliwahi kuona wapi mtu anakupa uhuru kwa makubaliano tu ya mdomo bila kumwaga damu? Ya commonwealth tuyaache kwanza, maana wengine mna BP humu, tuache tu.., tujadili ya Francophonie kwa sasa
Tupe na ya Commonwealth maana ndo yanatuhusu .Hayo ya francophone hayatuhusu.
 
We uko nyuma sana mbona
 
😳😳😳😳🤣🤣🤣 Yaan anahaki ya kuzitumia bila ruhusa, lakini atarudisha ama ndio hvyo Tena. Kwakweli uhuru ulikuwa changa la macho tu
 
Pesa hailipwi kwa pesa tu.., kuna malipo ya hali na mali pia..,
More allegations and assumptions

Kwenye Deni la kulipwa Kila mwaka umekua na exacts figures, kwenye kujibu hizo nchi zinapataje hizo pesa ambazo ni maradufu ya GDP zake, unaanza kuleta story


Hakukatai kua Hawa jamaa bado wanaendeleza ukoloni kwa kusign shady deals lakini sio kwa extent unayoisema wewe
 
Weka uthibitisho na ushahidi usiopinguka kimantiki hapa.

Hayo mambo ya siri hata mimi naweza kukwambia mimi ni baba yako ila ni siri mama yako hajakwambia tu.
 
Msingi wa mkataba huu ni kwamba Ufaransa anadai alipwe kwanza fidia ya maendeleo yote ya kiutawala na miundo mbinu ambayo aliwekeza kwenye nchi hizo ili aweze kuondoka.
Na yeye alizochuma kutoka kwenye hizo nchi kipindi anazitawala halipii?

Ungeweka na chanzo cha hizi taarifa
 
😳😳😳😳🤣🤣🤣 Yaan anahaki ya kuzitumia bila ruhusa, lakini atarudisha ama ndio hvyo Tena. Kwakweli uhuru ulikuwa changa la macho tu
Ukitaka akurudishie, unatakiwa uende ukazikope, yaani pesa zako mwenyewe , ila ukienda kudraw ni kama unakopeshwa, na utalipa kwa riba ya kibiashara… na huruhusiwi kukopa zaidi ya 20% ya pesa zako katika mwaka mmoja. Na wakati huo huo, France ana haki ya kuzizungushia kwenye biashara yeyote na kuziwekeza lwe ye masoko ya hisa popote duniani, na faida zote za uwekezaji ni za Ufaransa!
 
Nakusihi sana utakapouleta huo mkatabaa na uchambuzi wake iwe ni kwa lugha ya kiswahili kwa faida ya walio wengi. Nakuombea Mungu akulinde na kukutunza. Amina.
 
Hivi ni utani ama kweli. Mbona naona ni kama jambo lisilowezekana. Sasa huko kwenye umoja wa Africa viongozi Huwa wanakutana kujadili nini kama unyonyaji ni mkubwa hivyo
 
Pesa hizo hulipwa kwa rasilimali pia, ambazo wao kwa sababu wanazozijua wao hawataki kuzijumlisha kwenye GDP.., hivyo in relairy GDP ya hizo nchi ni kubwa sana kama utajumlisha rasilimali zinazochotwa kiharamu na kupelekwa uFaransa
 
Pesa hizo hulipwa kwa rasilimali pia, ambazo wao kwa sababu wanazozijua wao hawataki kuzijumlisha kwenye GDP.., hivyo in reality GDP ya hizo nchi ni kubwa sana kama utajumlisha rasilimali zinazochotwa kiharamu na kupelekwa uFaransa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…