kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
mkataba unavunjwaje na RAIS kwann hatatangazia Dunia mana yeye atakufa mkataba haufi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe na ya Commonwealth maana ndo yanatuhusu .Hayo ya francophone hayatuhusu.Uliwahi kuona wapi mtu anakupa uhuru kwa makubaliano tu ya mdomo bila kumwaga damu? Ya commonwealth tuyaache kwanza, maana wengine mna BP humu, tuache tu.., tujadili ya Francophonie kwa sasa
We uko nyuma sana mbonaFake news, hizo nchi kwanza hazina uwezo wa kugenerate hizo dollar billioni 500 kwa mwaka za kulipa kadeni na bado zijiendeshe
Hakuna Siri sa ivi duniani kwenye ulimwengu wa kidijitali, labda uniambie hua wanalipana hizo pesa kwenye magunia, ila kama ni transactions za kibenk ingekua ishajulikana kitambo tu,
Btw, nchi Gani hizo mbili ambapo wafaransa walifanya ivo?
Acha uswahili jibu hoja kwa hojaWe uko nyuma sana mbona
Pesa hailipwi kwa pesa tu.., kuna malipo ya hali na mali pia..,Dollar bilioni 500 ni mara mbili ya GDP ya hizo cfa members wote, that alone makes this argument void
Kumbe data zipo kabisa mtandaoni, watu hawataki tu kusoma![]()
14 African Countries Forced by France to Pay Colonial Tax For the Benefits of Slavery and Colonization
I have never posted an article on LinkedIn, or for that matter, any other social media. I recently received the attached article, which, if true or even partially true, is absolutely appalling.www.linkedin.com
😳😳😳😳🤣🤣🤣 Yaan anahaki ya kuzitumia bila ruhusa, lakini atarudisha ama ndio hvyo Tena. Kwakweli uhuru ulikuwa changa la macho tu1. Benki kuu za nchi hizo zinatakiwa (sio ombi, ni amri) kuweka asilimia 50% ya hazina yake yote katika benki za ufaransa.
Na serikali ya ufaransa ina haki zote za kutumia pesa hizo bila ruhusa kutoka nchi husika.
Pia ndio maana pesa zao (nchi nyingi Afrika magharibi: Senegal, ivory coast, mali, benin, niger, burkina faso etc) zinaitwa CFA Franc.
2. Right of First Refusal.
Ufaransa kama koloni lao la zamani wana haki ya kukataa kwanza kwa uwekezaji wowote ule unatakiwa kufanywa katika nchi hizo.
Mfano;
Benin kagundua kuwa ana madini ya urani(uranium) katika ardhi yake, taarifa inabidi ziwafikie serikali ya ufaransa kwanza, nayo itangazie makampuni ya uchimbaji madini kuhusu hiyo fursa. Kama makampuni na serikali itaona hiyo fursa haina tija kwao, wataikataa, hapo sasa ndio serikali ya Benin inaweza tangaza fursa hiyo kwa nchi wawekezaji wengine ambao si wafaransa.
Kwa ufupi ni kwamba, ufaransa kajibinafsishia hizo nchi milele.
More allegations and assumptionsPesa hailipwi kwa pesa tu.., kuna malipo ya hali na mali pia..,
Weka uthibitisho na ushahidi usiopinguka kimantiki hapa.Kwa sasa naandika kwa kifupi sana, ila nitaleta andika kamili kesho au baadae.
Nitaanza na Francophone Africa. mnafahamu kwamba Ufaransa iliwasainisha makoloni yake yote mkataba unaoitwa ‘Agreement for the continuation of colonialism’ kabla hajawapa ‘uhuru feki’?
Msingi wa mkataba huu ni kwamba Ufaransa anadai alipwe kwanza fidia ya maendeleo yote ya kiutawala na miundo mbinu ambayo aliwekeza kwenye nchi hizo ili aweze kuondoka.
Kuna nchi mbili ziligoma kusaini , kilichowakuta kiliwaogopesha makoloni mengime yote na wakasaini. Wale waliogoma, Ufaransa aliondoka , lakini alichukua kila kilicho chake ambacho kinahamishika, vile ambavyo havihamishiki walivichoma moto vyote, waling’oa reli, walichoma moto majengo yote ya kiutawala, walichoma moto maghala yote ya chakula, walitia sumu visima vyote, waliharibu kila kitu! Ndio wakaondoka, kuona dhahama hiyo, wote waliobaki walisaini.
Kupitia mkataba huo wa siri wa kinyonyaji, nchi za Francophone Africa wanalipa Dollar Billioni 500 kila mwaka kwa Ufaransa, na sharti kuu ni iwe siri , wananchi wasiambiwe.
Marais wengi wapya wa nchi hizo kila walipoingia madarakani walikutana na mkataba huu, na hawakuamini walichokiona, na wakagoma kulipa, kila aliyegoma aliuwawa au kupinduliwa. Angalia histora ya Marais wa nchi hizo, utashangaa, wengi sana wameuwawa na kupinduliwa.
Burkinafaso mfano, walishamuuwaga Thomas Sankara, hata huyu Rais wao wa sasa, huu mkataba ulimuumiza sana roho, na akawafukuza wafaransa na kusema wazi kabisa , haogopi kufa, na hata majaribio ya mapinduzi wameshamfanyia majaribio zaidi ya 10, na bado wanaendelea kumuwinda. Ameina bora akatafuta alliance na Urusi, na wameingia military pact ya kumlinda kwa malipo kidogo. Inshort huyu Dogo kawaambia Ufaransa lije jua ije mvua, halipi hiyo pesa!! Na kawatimua nchini kwake!
Huo mkataba nitauleta na nitauchimbua msharti yake yalivyo makali, inaumiza sana. Dollar billion 500 kila mwaka wale mbwa wanavuna, inauma sana!
Kwanini French speaking African nations ndio zina vita tu?
1.) D.R.C CONGO - Has seen decades of violence especially in the north-east - French speaking 2.) C.A.R (Central African republic) - Has recently undergone a cope de tat - French speaking 3.) MALI - Recently was taken over by rebels in the Northen part, french troops intervened - French speaking...www.jamiiforums.com
Na yeye alizochuma kutoka kwenye hizo nchi kipindi anazitawala halipii?Msingi wa mkataba huu ni kwamba Ufaransa anadai alipwe kwanza fidia ya maendeleo yote ya kiutawala na miundo mbinu ambayo aliwekeza kwenye nchi hizo ili aweze kuondoka.
Ungeweka na chanzo cha hizi taarifaKwa sasa naandika kwa kifupi sana, ila nitaleta andika kamili kesho au baadae.
Nitaanza na Francophone Africa. mnafahamu kwamba Ufaransa iliwasainisha makoloni yake yote mkataba unaoitwa ‘Agreement for the continuation of colonialism’ kabla hajawapa ‘uhuru feki’?
Msingi wa mkataba huu ni kwamba Ufaransa anadai alipwe kwanza fidia ya maendeleo yote ya kiutawala na miundo mbinu ambayo aliwekeza kwenye nchi hizo ili aweze kuondoka.
Kuna nchi mbili ziligoma kusaini , kilichowakuta kiliwaogopesha makoloni mengime yote na wakasaini. Wale waliogoma, Ufaransa aliondoka , lakini alichukua kila kilicho chake ambacho kinahamishika, vile ambavyo havihamishiki walivichoma moto vyote, waling’oa reli, walichoma moto majengo yote ya kiutawala, walichoma moto maghala yote ya chakula, walitia sumu visima vyote, waliharibu kila kitu! Ndio wakaondoka, kuona dhahama hiyo, wote waliobaki walisaini.
Kupitia mkataba huo wa siri wa kinyonyaji, nchi za Francophone Africa wanalipa Dollar Billioni 500 kila mwaka kwa Ufaransa, na sharti kuu ni iwe siri , wananchi wasiambiwe.
Marais wengi wapya wa nchi hizo kila walipoingia madarakani walikutana na mkataba huu, na hawakuamini walichokiona, na wakagoma kulipa, kila aliyegoma aliuwawa au kupinduliwa. Angalia histora ya Marais wa nchi hizo, utashangaa, wengi sana wameuwawa na kupinduliwa.
Burkinafaso mfano, walishamuuwaga Thomas Sankara, hata huyu Rais wao wa sasa, huu mkataba ulimuumiza sana roho, na akawafukuza wafaransa na kusema wazi kabisa , haogopi kufa, na hata majaribio ya mapinduzi wameshamfanyia majaribio zaidi ya 10, na bado wanaendelea kumuwinda. Ameina bora akatafuta alliance na Urusi, na wameingia military pact ya kumlinda kwa malipo kidogo. Inshort huyu Dogo kawaambia Ufaransa lije jua ije mvua, halipi hiyo pesa!! Na kawatimua nchini kwake!
Huo mkataba nitauleta na nitauchimbua msharti yake yalivyo makali, inaumiza sana. Dollar billion 500 kila mwaka wale mbwa wanavuna, inauma sana!
Ukitaka akurudishie, unatakiwa uende ukazikope, yaani pesa zako mwenyewe , ila ukienda kudraw ni kama unakopeshwa, na utalipa kwa riba ya kibiashara… na huruhusiwi kukopa zaidi ya 20% ya pesa zako katika mwaka mmoja. Na wakati huo huo, France ana haki ya kuzizungushia kwenye biashara yeyote na kuziwekeza lwe ye masoko ya hisa popote duniani, na faida zote za uwekezaji ni za Ufaransa!😳😳😳😳🤣🤣🤣 Yaan anahaki ya kuzitumia bila ruhusa, lakini atarudisha ama ndio hvyo Tena. Kwakweli uhuru ulikuwa changa la macho tu
Na yeye alizochuma kutoka kwenye hizo nchi kipindi anazitawala halipii?
Ungeweka na chanzo cha hizi taarifa
Nakusihi sana utakapouleta huo mkatabaa na uchambuzi wake iwe ni kwa lugha ya kiswahili kwa faida ya walio wengi. Nakuombea Mungu akulinde na kukutunza. Amina.Kwa sasa naandika kwa kifupi sana, ila nitaleta andika kamili kesho au baadae.
Nitaanza na Francophone Africa. mnafahamu kwamba Ufaransa iliwasainisha makoloni yake yote mkataba unaoitwa ‘Agreement for the continuation of colonialism’ kabla hajawapa ‘uhuru feki’?
Msingi wa mkataba huu ni kwamba Ufaransa anadai alipwe kwanza fidia ya maendeleo yote ya kiutawala na miundo mbinu ambayo aliwekeza kwenye nchi hizo ili aweze kuondoka.
Kuna nchi mbili ziligoma kusaini , kilichowakuta kiliwaogopesha makoloni mengime yote na wakasaini. Wale waliogoma, Ufaransa aliondoka , lakini alichukua kila kilicho chake ambacho kinahamishika, vile ambavyo havihamishiki walivichoma moto vyote, waling’oa reli, walichoma moto majengo yote ya kiutawala, walichoma moto maghala yote ya chakula, walitia sumu visima vyote, waliharibu kila kitu! Ndio wakaondoka, kuona dhahama hiyo, wote waliobaki walisaini.
Kupitia mkataba huo wa siri wa kinyonyaji, nchi za Francophone Africa wanalipa Dollar Billioni 500 kila mwaka kwa Ufaransa, na sharti kuu ni iwe siri , wananchi wasiambiwe.
Marais wengi wapya wa nchi hizo kila walipoingia madarakani walikutana na mkataba huu, na hawakuamini walichokiona, na wakagoma kulipa, kila aliyegoma aliuwawa au kupinduliwa. Angalia histora ya Marais wa nchi hizo, utashangaa, wengi sana wameuwawa na kupinduliwa.
Burkinafaso mfano, walishamuuwaga Thomas Sankara, hata huyu Rais wao wa sasa, huu mkataba ulimuumiza sana roho, na akawafukuza wafaransa na kusema wazi kabisa , haogopi kufa, na hata majaribio ya mapinduzi wameshamfanyia majaribio zaidi ya 10, na bado wanaendelea kumuwinda. Ameina bora akatafuta alliance na Urusi, na wameingia military pact ya kumlinda kwa malipo kidogo. Inshort huyu Dogo kawaambia Ufaransa lije jua ije mvua, halipi hiyo pesa!! Na kawatimua nchini kwake!
Huo mkataba nitauleta na nitauchimbua msharti yake yalivyo makali, inaumiza sana. Dollar billion 500 kila mwaka wale mbwa wanavuna, inauma sana!
Kwanini French speaking African nations ndio zina vita tu?
1.) D.R.C CONGO - Has seen decades of violence especially in the north-east - French speaking 2.) C.A.R (Central African republic) - Has recently undergone a cope de tat - French speaking 3.) MALI - Recently was taken over by rebels in the Northen part, french troops intervened - French speaking...www.jamiiforums.com
Hivi ni utani ama kweli. Mbona naona ni kama jambo lisilowezekana. Sasa huko kwenye umoja wa Africa viongozi Huwa wanakutana kujadili nini kama unyonyaji ni mkubwa hivyoUkitaka akurudishie, unatakiwa uende ukazikope, yaani pesa zako mwenyewe , ila ukienda kudraw ni kama unakopeshwa, na utalipa kwa riba ya kibiashara… na huruhusiwi kukopa zaidi ya 20% ya pesa zako katika mwaka mmoja. Na wakati huo huo, France ana haki ya kuzizungushia kwenye biashara yeyote na kuziwekeza lwe ye masoko ya hisa popote duniani, na faida zote za uwekezaji ni za Ufaransa!
Pesa hizo hulipwa kwa rasilimali pia, ambazo wao kwa sababu wanazozijua wao hawataki kuzijumlisha kwenye GDP.., hivyo in relairy GDP ya hizo nchi ni kubwa sana kama utajumlisha rasilimali zinazochotwa kiharamu na kupelekwa uFaransaMore allegations and assumptions
Kwenye Deni la kulipwa Kila mwaka umekua na exacts figures, kwenye kujibu hizo nchi zinapataje hizo pesa ambazo ni maradufu ya GDP zake, unaanza kuleta story
Hakukatai kua Hawa jamaa bado wanaendeleza ukoloni kwa kusign shady deals lakini sio kwa extent unayoisema wewe
Pesa hizo hulipwa kwa rasilimali pia, ambazo wao kwa sababu wanazozijua wao hawataki kuzijumlisha kwenye GDP.., hivyo in reality GDP ya hizo nchi ni kubwa sana kama utajumlisha rasilimali zinazochotwa kiharamu na kupelekwa uFaransaMore allegations and assumptions
Kwenye Deni la kulipwa Kila mwaka umekua na exacts figures, kwenye kujibu hizo nchi zinapataje hizo pesa ambazo ni maradufu ya GDP zake, unaanza kuleta story
Hakukatai kua Hawa jamaa bado wanaendeleza ukoloni kwa kusign shady deals lakini sio kwa extent unayoisema wewe
Kwahiyo hujaona mfano mwingine? Kuwa na adabu jukwaani.Weka uthibitisho na ushahidi usiopinguka kimant8ki hapa.
Hayo mambo ya siri hata mimi naweza kukwambia mimi ni baba yako ila ni siri mama yako hajakwambia tu.