Nchi za Afrika za Francophonie na Common wealth zinalipa Trillion 3000 kila mwaka kwa Ufaransa na Uingereza kama fidia ya faida za ukoloni

Sasa Maji huko Mpanda yataathitije maji ya moto Pangani na Wami Ruvu??

Wakati mwingine hizo ni story za Mitaani tu sawa na Rashid mwenye Mbio kama ya Punda
 
Ndugu mshapishaji wa andiko tafadhali naomba kujua baadhi ya nchi zilizogoma kusaini huo mkataba hapo mwanzo kabisa hadi hao wakoloni wakapatwa na hasira za kuchoma moto mali zao na kuweka sumu katika visima!, nitajie hizo nchi tafadhali nataka niangalie hali zao kiuchumi kwa kipindi hiki zipo vipi 🙏 ASANTE.
 
mifumo ya kiutawala ya kifaransa ndio inayotoa njia za kuuana na kupinduana mala kwa mala. Mfano mifumo ya majimbo kwa nchi zetu hizi changa zenye utajili mwingi ni hatari sana hasa ukilinganisha na akili zetu za mtu mweusi mwenye uwezo mdogo wa akili ambao bado haujatoka kwenye sokwe/primitive.

mifumo ya majimbo inahitajika kwenye jamii zilizokomaa kiakili na kisiasa. na sio kwa akili ya mtu mweusi.
 
Ubongo wako ni mdogo sana hata panzi ana afadhali! Dealing with low IQ creatures is wastage of time
Peleka uwongo wako huko. Wewe ndo una low IQ kama kuku. Watanzania siyo wale wa zama za kuambiwa Kuna Rashidi mwenye mboro kubwa mtaani.

Eti Hilo shimo maji yakimwagika nje yataathiri maji ya Tanzania nzima. Kwani huko chini yanashindwa nini kuyaathiri kama ndivyo.
 
Cheki Guinea ya Sekou Toure ya 1958
 
Guinnea ambayo kesho itatufunga
 
Kwani raslimali za kiafrika zinanufaisha africa. Ohhh shit niga just use a small part of hen's brain to think please.
Hii mikopo mara chanjo mnakuja kudaiwa madeni ya yetu Africa yakoje. Africa ni tajiri mno kwani madini na resources zake zinawasaidia nini waafrika.
Jamaa si wanazichukua huku tukiachiwa small portion of percentage.
Gesi si tulitoa kwa mktaba bwerere ili tu kumuokoa prince asihukumiwe china.
Yaani huu mfumo wa nchi ni WA kijinga mno yaani mtu mmoja na udhaifu anatoa maamuzi ya Nation's fate.
Kwani lazima muwalipe casha
 
Kumbe Warusi wamekodiwa na hizo nchi kufanya shughuli za Ulinzi?....Bora tu wangeendelea kuwapa hiyo kandarasi ya ulinzi Wafaransa.
 
Wakati tunasubiri hizo nondo zako mpya, na kuongezea na hi. Kwenye hizo nchi za Francophone (ziondoe zile za Kiarabu kama Morocco, Algeria nk ) chunguza ni zipi zina Central banks. Majibu yake yatakushangaza sana
 
Sasa Mfaransa hakuwa kwenye hizo nchi kutoa ulinzi, alikuwa pale kulinda maslahi yake kuhakikisha dollar bilioni 500 in cash and in kind inalipwa, anaegoma anauwawa au kupinduliwa..; jeuri ya kuwafukuza WaFaransa wameitoa kwa mRusi, amewahakikishia ulinzi kwa malipo kiduchu..
 
Story mwanzo mwisho. Hakuna uthibitisho wowote wa kisomi. Source niamini mimi bro.
 
Story mwanzo mwisho. Hakuna uthibitisho wowote wa kisomi. Source niamini mimi bro.
Labda ungeanza na Guinea ya Sekou Toure mwaka 1958, anzia hapo kutafuta udhibitisho.

Baada ya hapo nenda ubalozi wowote wa Ufaransa hapa Afrika uwauloze ni namna gani mfumo wa CFA unavyofanya kazi.

Baada ya hapo nenda kaulize hizo nchi za CFA ni ngapi zina Centrial banks, na kama hazina, nani anahifafhi reserve zao, fanya research kuhusu hayo halafu lete mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…