Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Wemenishangaa tu kuwa huo uzushi nimetoa kijiwe gani cha kahawa. Weka ushahidi hapa ndugu mjumbe. Hii ni JF SIYO FB.Labda ungeanza na Guinea ya Sekou Toure mwaka 1958, anzia hapo kutafuta udhibitisho.
Baada ya hapo nenda ubalozi wowote wa Ufaransa hapa Afrika uwauloze ni namna gani mfumo wa CFA unavyofanya kazi.
Baada ya hapo nenda kaulize hizo nchi za CFA ni ngapi zina Centrial banks, na kama hazina, nani anahifafhi reserve zao, fanya research kuhusu hayo halafu lete mrejesho
Anachosema mleta mada Ni kweliHaya yote yalifanyika Katika nchi ya Africa na ni siri? (hiyo nchi haijulikani)? Je hayo maji yalitumika na kama yalitumika hali za hao raia vipi si walikufa wote au?
Kwangu hii naona ni ngumu kumesa
Taja hizo nchi mbili zilizofanyiwa ukatili na ufaransa.Anachosema mleta mada Ni kweli
Wemenishangaa tu kuwa huo uzushi nimetoa kijiwe gani cha kahawa. Weka ushahidi hapa ndugu mjumbe. Hii ni JF SIYO FB.
Case studies: Guinea and Algeria Guinea Conakry The passage towards independence of Guinea and Algeria was traumatic in different ways. Algerian nationalists had to fight a bitter war against French white settlers and the French army. Other French colonies - Togo, Senegal, Mali, Benin, Haute Volta (later Burkina Faso), Cote d'Ivoire, Chad, Central African Republic, Gabon and Mauritania - accepted the French umbrella, and arrived at independence relatively smoothly. Madagascar's path to independence was violent. It underwent a major insurrection in 1947 which slid into a guerilla war in the course of which over 90,000 people were killed by the French. By 1956, all French colonies in West Africa had internal self-government and majority rule. But this related only to domestic policy as France retained controlled over military and foreign affairs as well as economic planning. In 1958, President de Gaulle offered a choice to Africans in West Africa: "Oui" or yes to a partnership with the French which was essentially paternalistic, or "Non" which meant total independence and the breaking of all links with France, and all support. Guinea alone under Sekou Toure voted for a total break with France. Guinea and Sekou Toure paid the price for saying no. The French left en masse, depriving the country of all technical expertise and worse, removing all key government files, even ripping out office telephones. Sekou Toure responded defiantly. To general applause in the black Diaspora and the Eastern bloc he brought the country to independence in 1959. Algeria Algeria was the only French colony in Africa occupied by a white settler population. Known as the pieds noires they numbered nearly a million. They took the most fertile 23 per cent of the country's farmland, leaving seven million Algerians with the rest. The French government clung to the idea that Algeria was France. The Algerians were determined to be independent. The result was violence on an appalling scale, with widespread indiscriminate killing and torture of civilians. Troops were even brought in from other parts of Africa to fight on the side of the French. In 1960, after six years of conflict, the French Government finally gave in and started to negotiate. In 1962, Ahmed Ben Bella, leader of one of the main factions fighting the French, led the country to independence. A Senegalese view of the Algerian War of independence "Fighting African people on behalf of the Europeans doesn't mean that I'm not proud of being black. I'm very proud of being black. But what I want to make clear is that I had no choice. As a French soldier, I had to obey the orders. I fought my African brothers, simply because I didn't have a choice. I was under the orders of the French army. When we first arrived in Algeria, the Algerians didn't want to shoot us, because we were black people - we were their brothers. But when they realised that we were obliged to fight them, they didn't hesitate to shoot at us. I lost many of my friends and relatives in Algeria. And even now sometimes, when I sleep at night, I can see them in my nightmares - just the way I'm seeing you. This is a very painful situation. I an old man here in Dakar who walks the streets saying, "I'm going mad, I'm going mad", because it's still a nightmare. In 1956, the French were also fighting the Vietnamese; people who fought that battle, even now are still having nightmares. Even when they are not sleeping, they too feel they are going mad. So it is a very painful experience. I regret a lot of things of course, because I lost many of my friends and relatives in the war, and because I had to kill many people. One of my friends and I were going on patrol and he was shot down by an Algerian and he was killed. That shocked me. We were recruited on the same day. We went into the field for training together. After that, we came back here to Dakar then went on to France, to Marseilles. After Marseilles we went to Strasbourg, and from Strasbourg we left for Algeria. And when we arrived in Algeria, we were in the same company and his bed was over mine. I was sleeping under him. And he was killed when we were patrolling together. When I just returned from Algeria, I used to see the fighting quite often in my dreams. I used to have nightmares. And even when I look at my photos, those sad memories come back to my mind and I'm sad. But since I've been a civilian for a long time, I'm used to thinking of those sad images without being affected by them." - Isidore Mandiouban. Former soldier in the French army. |
|
GUINEA Konakry, ALGERIATaja hizo nchi mbili zilizofanyiwa ukatili na ufaransa.
Waliachiana mwadui kimya kimya!Kwa hiyo na sisi serikali yetu ya nchi ya Tanganyika inamlipa Mwingereza aliyetutwala kwa dhamana baada ya vita kuu ya 2?
Kwenye article uliyoweka sijaona sehemu ilipoandikwa kuwa Wafaransa waling'oa reli,kuchoma majengo ya utawala na kuweka sumu kwenye visima vya maji kama ulivyodai kwenye thread yako.GUINEA Konakry, ALGERIA
arricle imeelezea kwa ujumla, haiwezi kuelezea kila specific detail. Expand reasearch yako mwenyewe juu ya tukio hiko la 1958 ili kujua hadi majina ya watu waliouwawa kama unataka.Kwenye article uliyoweka sijaona sehemu ilipoandikwa kuwa Wafaransa waling'oa reli,kuchoma majengo ya utawala na kuweka sumu kwenye visima vya maji kama ulivyodai kwenye thread yako.
Weka ushahidi wa madai hayo na nchi gani yalifanyika.
Tunawalipa IMF na World BankSisi Tanzania tunamlipa nani maana hatukutawaliwa na Waingereza bali wao walipewa dhamana tu ya kutulinda baada ya vita kuu ya 2 ya dunia.
Hizo nchi atazitaja mleta mada, kama ametia Chumvi atajua yeye.Taja hizo nchi mbili zilizofanyiwa ukatili na ufaransa.
Nasisi Mama Aende Kwa Korea au kwa Putin Ili Tulipe kidogo kusudi Tujitoe kwenye Hayo Mahela Yote.
Guinea ya Sekou Toure na AlgeriaHizo nchi atazitaja mleta mada, kama ametia Chumvi atajua yeye.
Nilichomaanisha mimi Ni kwamba zile nchi zilizotawaliwa na France bado mpaka sasa, tangu miaka ya 1960, zinaendelea kuilipa France percentage flani kutoka ktk total budget ya kila Mwaka.
Maputo ilihalibiwa na Wareno na walivyo wapuuzi wakaingia mkataba wa mitambo ya umeme na Kaburu miaka hiyo eti umeme unaenda SA ndio wanawagawia Mozambique nadhani Rais aliepita ndio alivunja huo ujinga na kuwaambia SA wao watauziwa kwa kiwango wauzaji wanachotaka mpaka ikapelekea SA kuteteleka Umeme maana miaka mingi walikua wanachukua bure hapo Cabora bassa dam.Usiende Mbali Tanzania hii kuna Mgodi umejazwa maji na kutiwa SUMU. Wakoloni walikasirika kufurushwa. Wamekuja Waturuki na Wachina wameushindwa wametoa ripoti kwamba maji na Sumu yaliyojazwa kwenye huo Mgodi ukiyavuta kuja Nchi kavu yataathiri vyanzo vyote vya Nchi kavu na watu watapoteza Maisha.
Mgodi Upo Mpanda Mjini Mkoa wa Katavi eneo la Kampuni. Reli ya kutoka Tabora Mpanda inaishia ndani ya Mlima/Handaki la Mgodi huo wa Dhahabu. Afrika tumeonewa sana na makaburu.