Nchi za Afrika zinajidhalilisha sana, kulikuwa na haja gani Afrika Kusini kuishtaki Israel mahakama ya ICJ?

Hiki kizungu ndio unaona umeongea points kumbe uhovyo

Israhell iliwaambia raia wakimbilie kusini kule ndio salama ikawatwanga huko huko halaf mnawasingizia hamas
Hakuna kizungu chochote hapo. Hiyo ni English. Nenda shule ukajifunze hujachelewa. Magaidi wa HAMAS walioenda Kusini pamoja na Wapalestina raia wema ni mpango wa HAMAS wa kuwatumia kama HUMAN SHIELDS. Matokeo yake ndiyo hayo.
 
Hakuna kizungu chochote hapo. Hiyo ni English. Nenda shule ukajifunze hujachelewa. Magaidi wa HAMAS walioenda Kusini pamoja na Wapalestina raia wema ni mpango wa HAMAS wa kuwatumia kama HUMAN SHIELDS. Matokeo yake ndiyo hayo.
Sina tena lakujifunza kuhusu hiko kilugha cha watu cha mchongo

Sasa kama raia wema wameenda kule mbona bado wanashambuliwa na magaidi wa kizayuni
 
Sina tena lakujifunza kuhusu hiko kilugha cha watu cha mchongo

Sasa kama raia wema wameenda kule mbona bado wanashambuliwa na magaidi wa kizayuni
Soma tena na tena na tena na tena na tena na tena na tena na tena na tena hatimaye utaelewa. Usichoke.
 
Kamkamateni Ramaphosa kama mmeumia kukamnyonge
President CR is a dead 🐍, ANC imemfia, President Zuma ameunda chama kinachochota wanachama na wapiga kura wa ANC!,kabla ya President Ramaphosa kupigana na ya kwake yanayomzidia anajifanya ana uwezo wa kupigania ya middle east, ni mpuuzi tu,ananikumbusha President x kutoka nchi x ambaye alitumia muda mwingi kupigania ya nje kabla ya kujenga nchi yake, Kenya wanahitaji e visa kuingia SA, Tanzania mmmmm
 
Umenena vyema.
 
Uliyouliza yote ndio Russia anafanya,au mpaka nikuletee ushahidi?
Kuna watu hawaelewi vitu lakin wanacomment ujinga
Kilichosababisha Putin kushtakiwa na hii mahakama ni kwasababu aliwahamisha watoto wa Ukrain kwenda urusi hiyo ndio sababu na sio kwamba aliwaua na walijitetea kwamba wamewaondoa watoto kwenye eneo la vita

Urusi haipigani na raia inapigana na jeshi na mostly ya mabom yanayorushwa yanalenga military facilities

Kingine je mahaka hiyo inapata wap nguvu ya kumshtaki mtu asie kua mwanachama wao, Israel ina haki ya kushtakiwa kwasababu ni mwanachama wa mahakama hiyo

Israel anachofanya anataka kuifuta gaza ndio maana hii vita ina miez 3 lakin idadi ya vifo na uharibifu ni kubwa sana kulinganishana vita vya Urusi na Ukraine yenye miaka 2


Leta ushahidi
 
Russia anaporusha makombora unataka kusema watu hawafi,majengo ya Ukraine hayabomolewi hivi uharibu uliofanywa kule Bakmut hukuona mauaji yahalaiki kule Bucha hukuona?
Acha kujitoa ufahamu bakmut raia waliamishwa walio baki kule ni jeshi kwa jeshi

Anachoshitakiwa nacho Israel sio majengo ni roho za watu
 
Unajua ni makubaliano gani kati ya Urusi na Ukraine walikubaliana huko Minsk na wakasini ila ukraine akavunja makubaliano hayo

Tena mbele ya mashaidi kama France, Uk na USA na wao ndio waliomdanganya ukrain avunje mkataba

Ulitegemea Urusi afanye nn?

Kila nchi duniani ipo tayar kufanya chochote kulinda interest zake
 
Narudia tena ANC kutoka madarakani pale musahau kwasasa

Tuupe muda kazi yake
 
Wanajidhalilisha kwa nani?
 
Sio kweli

Huijui historia ya chanzo Cha machafuko, hayajaanza juzi ni wazunguwayahudi kuchukua Kwa nguvu ardhi ya waparestina
waarab wanapambana msisome ila wao wanaifuata elimu ulaya na America , ili waje wawaambie ujinga wowote na nyie mfuate , Mara mliwapokea mara walikuja wakapola kwa nguvu , kwahiyo hujui Uingereza ndo alikuwa mkolon hapo alipowapa uhuru akaamua Waarab wapewe eneo kubwa likaitwa Palestina na Wayaudi wapewe eneo dogo likaitwa Israel , Mlilala baada ya kujenga nchi mkajikita kwenye kujiimalisha kivita , wenzenu wamejenga nchi wamekuwa level moja na wazungu , sasa hv mnawaita wazungu , Waarab ni maf ya kuku kichwan hamnazo
 
Waafrika walio wengi ni wanafiki sana,mfano ni huyu afrika kusini.
Unafiki wao upo wapi au wewe ndiyo mnafiki.
Kila moja wenu mnaolalamika kuhusu Sudan mnaweza kupeleka malalamiko yenu kwa Prosecutor wa ICC. Pelekeni na ushahidi.

Raha ya ICC ni iko kama Tanpol. Mtu yeyote anaweza kupeleka malalamiko. Lakini wanayafanyia kazi yale wanaona yanafaa kupelekwa Mahakamani.

Acha kullia lia JF unaweza kupeleka kesi dhini ya Urusi andaa ushaidi wako siyo kushida JF na kuwapa lawama za kibwege South Africa.
 
Hayo ni madai ya israel lakini what happened on the ground ni tofauti, waliua na kutumia dummy bombs kila sehemu na hata matamshi ya viongozi wao na makamanda wao wa kijeshi yaliwekwa uchi jana icj, kila kitu walichofanya kuthibitisha mauaji yao kwa raia yaliwekwa wazi na kwa ushahidi.
most international law professors kutoka vyuo vikubwa duniani wamesifia hoja za southafrica na presentation yao as extra ordinary
Southafrica wameiheshimisha africa
 
Malalamiko ya wananchi ni kawaida kwenye kila nchi ila heshima ya southafrica imekuwa kwa tukio la jana
 
Siyo madai ya Israel.

Msemaji wa kwanza wa SA accuses Israel of GENOCIDAL CONDUCT na msemaji wa pili accuses Israel of GENOCIDAL INTENT kwenye presentations zao. In my view the same accusations apply to HAMAS CONDUCT and INTENT on October 7th, 2023. Hiyo ndiyo point yangu. Kama unapinga mchango wangu hilo ni jambo lingine kabisa na unaweza kujielekeza hivyo.
 
Sasa hapo tunarudi kwenye international law, hamas siyo state ni kikundi cha watu kwahiyo huwezi kuwapeleka icj rather individual anapelekwa icc, icj ni kwa states only , na alichofanya hamas ni ugaidi ila sio genocide , genocide ni kuangamiza race ya watu fulani wapotee ulimwenguni ndio kitu ambacho israel anafanya
Halafu hamas hana nguvu hizo yeye yupo under occupation anachofanya ni kufurukuta na kupinga uonezi ambao umekuwa ukifanyika for the past 50 years haukuanza oct 7
 
Ww ndo umejidhalilisha South Africa wanajua madhara walioyapitia ya mfumo wa kibaguzi ..uliyopo Israel ambao hata ww ukienda wanakushangaa na ukiristu wako ..

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Aliyeandika hii article Ana mawazo ya kijinga sana. South Africa ina haki ya kutetea na kuchukuwa hatuwa ikiona haki ya binadabu inavunjwa.. Watoto, wazee na watu wasiokuwa na hatia wanauwawa huku dunia inaon. Wewe ukiwa mmojawapo. Ona AIBU kuiita Africa ya kusini wanafiki. Mtu YEYOTE anayeona binadabu mwenzie akionewa na kukaa kimya bila ya kutetea naye anakuwa ni mmoja wa waoneaji. Watanzania tubadilike. Kukaa kimya na kufumbia vitendo Kama hivi viovu, huo ndiyo unafiki na uoga wa kijinga. Tetea haki wakati wowote. Mutetee hata adui yako akionewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…