Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ok njoo tufanye mazoezi πKwakweli inabidi tuwaambie ligi irudiweπππππ
Kama wanaangalia birth rate iko wapi Ethiopia, iko wapi Kenya.Wanaangalia birth rate [emoji28]
Waliwachungulia wakiwa wanaofanya mtihani?π€Top 10 sexually active African countries
1)- Burkina Fasoπ§π«
2)- Cameroon π¨π²
3)- Uganda πΊπ¬
4)- Gabon π¬π¦
5)- Zambia πΏπ²
6)- Senegal πΈπ³
7)-Nigeria π³π¬
8)-Sao Tome Principe πΈπΉ
9)-Republic of Congo π¨π¬
10)-Tanzania πΉπΏ
Source: Top 10 sexually active African countries
Jiandae nakuja tupige tiziππOk njoo tufanye mazoezi π
Yani hata tukitiana kutwa mara 3 kama paracetamol, waganda hatuwafikii wale mbwa wanapenda kutiana balaaTafiti za kiwaki hizo
Hivi washatembelea usukumani waone moto wanaopeleka watani zangu?!! Kwanza wanawake 20 kwa mume mmoja, km King Mswati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawajatutendea haki kabisa sijapentraaaaaaa
At least tungekuwa wa pili[emoji57] yaani sisi wa kushindwa na Uganda kweliii?!!!!!
Warudie teena research zao shenzy kabisaaa
πPumbavu kabisa... Tanzania Namba 10... aibu hii... Mamlaka itazame hili jambo
Inabidi na washangiliaji wawepoJiandae nakuja tupige tiziππ
Sawasawa π€£π€£πInabidi na washangiliaji wawepo
Twende 'out' basii, tukapate 'vibe' ya alhamisiSawasawa π€£π€£π
Tangulia nakujaπππTwende 'out' basii, tukapate 'vibe' ya alhamisi
Wa mwisho atakuwa wa kwanzaTop 10 sexually active African countries
1)- Burkina Fasoπ§π«
2)- Cameroon π¨π²
3)- Uganda πΊπ¬
4)- Gabon π¬π¦
5)- Zambia πΏπ²
6)- Senegal πΈπ³
7)-Nigeria π³π¬
8)-Sao Tome Principe πΈπΉ
9)-Republic of Congo π¨π¬
10)-Tanzania πΉπΏ
Source: Top 10 sexually active African countries
Wewe jamani dahπππππ€£π€£π€£πWa mwisho atakuwa wa kwanza
πππ unapenda nikuagizie kinywaji ganiTangulia nakujaπππ
Chochote tu kinacholeta mshawashaπππππ unapenda nikuagizie kinywaji gani
π€£π€£π€£π€£π€£weekend imeanza leoChochote tu kinacholeta mshawashaππ
π π usije kulalamika umeliwa kimasiharaChochote tu kinacholeta mshawashaππ
....nyuzi za ki-masihara katika nchi hizi zilihusika kwenye utafiti.Wanaangalia birth rate π
Hapana. Zambia ni kweli wanatuzidi kwa kupenda ngono. Ukienda Zambia huchelewi kuona wenyeji wakikufukuzia kama kuku na utaonq wnavyolalana hovyo kama kuku.Hii ni uongo bwana ..bongo ndio namba Moja .