Nchi za Afrika zinazoongoza kufanya mapenzi

Nchi za Afrika zinazoongoza kufanya mapenzi

Waziri wa ngono anasemaje??kama wizara imemshinda ajiuzulu haya nimambo yakiwaki yaani swala lakuingizana TU vidudu ndo tuwe wakumi why???
 
Top 10 sexually active African countries

1)- Burkina Faso🇧🇫

2)- Cameroon 🇨🇲

3)- Uganda 🇺🇬

4)- Gabon 🇬🇦

5)- Zambia 🇿🇲

6)- Senegal 🇸🇳

7)-Nigeria 🇳🇬

8)-Sao Tome Principe 🇸🇹

9)-Republic of Congo 🇨🇬

10)-Tanzania 🇹🇿

Source: Top 10 sexually active African countries
Bongo tozo ndo zimetushusha rank aiseeh
 
Ila Tanzania kuna vijana wa hovyo nimenyoosha mikono asee anywayz tujitahidi kuongeza kas pelekeaneni moto had tupande angalau had 2 au 3 mwakani
 
Tukose bandari na hiki chepesi tukose... hongera rickboy na Zero IQ mmetupambania sana hatimaye nafasi ya kumi. Bila nyie hakika tungeshika nafasi ya 20. Pongezi pia kwa serikali sikivu ya mama samia suruhu hasani. Hakika hamasa yake ni kubwa kutufanya tuingie kumi bora hakika mama wewe unaupiga mwingi
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]doh
 
Vigezo gani vimetumikaa?? Napinga hii list sio sahihi.
[emoji1241] lazima iwe Top 3, no matter what.

Mikiki yote ile nayo imiliki, kuulilia kotee kulee, nimeshindwa kuwakilisha nchi yangu,? Hapanaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jinga [emoji2]
 
Top 10 sexually active African countries

1)- Burkina Faso🇧🇫

2)- Cameroon 🇨🇲

3)- Uganda 🇺🇬

4)- Gabon 🇬🇦

5)- Zambia 🇿🇲

6)- Senegal 🇸🇳

7)-Nigeria 🇳🇬

8)-Sao Tome Principe 🇸🇹

9)-Republic of Congo 🇨🇬

10)-Tanzania 🇹🇿

Source: Top 10 sexually active African countries
Nusu Ya nchi hizo zinazoongoza Kwa mizagamuano Africa zimetopea katika umaskini uliokithitiri.
 
Back
Top Bottom