Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Tumekosa kombe na hata medali pia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja, wakirudia mchuano nashauri watupeleke mimi na wewe tukawakilishe nchi yetu vyede...[emoji39]
Nishaanza pata wivu nataka kwenye NIDA tupigwa picha pamoja ili wasije niibia penzi zangu View attachment 2679148
[emoji23][emoji23][emoji23] sijaamini badooKwel!
Kazi kwelikweli 🤣🤣🤣Jirani utawaweza kausha damu wa JF [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ili mradi tu nae nimjibu aone siku yake imeenda poa yaani tafrani humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahNjoo nikukaze mrembo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena nakupakia mkongo nakupiga style zote ushindwe wewe kuulilia, sijui utaanza na sauti ya ngapi [emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo unakuja niandae zana za kazi?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli inabidi tuwaambie ligi irudiwe😃😂😂😂😂Tatizo hujaja kutoa ushirikiano, tungefanya mazoezi pamoja najua mwishowe tungechukua ushindi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jirani utawaweza kausha damu wa JF [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ili mradi tu nae nimjibu aone siku yake imeenda poa yaani tafrani humu
Wangoniii kabla michuano haijaanza, wao wako final tayariii.Wakarudie tafiti na km vipi waeke michuano tupeleke team yetu, wakaone mbivu na mbichi ebooooh!!
Wameniuzi sisi wa kushindwa na Uganda?! Wakati wahaya tu peke yao wanarudi na kombe, hapo bado wasukuma, hatujawaleta wasambaa mapenzi yalikozaliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu watuwache na tumekataa kwa nguvu zote hizi tafiti
Hahahah 🤣🤣🤣🤣🤣Wangoniii kabla michuano haijaanza, wao wako final tayariii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] au mama atupe bendera tuende tukaiwakilishe nchi kwenye hio ligi hatuwezi dharaulika hivi hawa waliofanya tafiti waletwe watuonyeshe njia waliotumia kusanya data za hizo tafiti yao
Kwan uongo dear?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wala hujadanganya bestie 😂😂🙈Kwan uongo dear?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nn kifanyike ili uamin[emoji23][emoji23][emoji23] sijaamini badoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wangoniii kabla michuano haijaanza, wao wako final tayariii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaa kabisaa uduguuuuuNyie tena??? Pesa zinafikishwa sio mke [emoji1787][emoji1787][emoji1787]