Nchi za Afrika zinazoongoza kufanya mapenzi

Nchi za Afrika zinazoongoza kufanya mapenzi

Top 10 sexually active African countries

1)- Burkina Faso🇧🇫

2)- Cameroon 🇨🇲

3)- Uganda 🇺🇬

4)- Gabon 🇬🇦

5)- Zambia 🇿🇲

6)- Senegal 🇸🇳

7)-Nigeria 🇳🇬

8)-Sao Tome Principe 🇸🇹

9)-Republic of Congo 🇨🇬

10)-Tanzania 🇹🇿

Source: Top 10 sexually active African countries
MazaFanta walai, yaani hata huku tunashika namba 10?
 
Jamani baby mbona umeniita kwa sauti sana!!

Haya nimefika laaziz sema mswita swita wangu [emoji8][emoji8]

Huyo anataka kiki, sasa mimi nataka nimpe na bonus ya mkuyenge [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio ukali sweetie ni hili penzi naona linapata upinzani Sana Kama Dp world na bandari
 
Top 10 sexually active African countries

1)- Burkina Faso🇧🇫

2)- Cameroon 🇨🇲

3)- Uganda 🇺🇬

4)- Gabon 🇬🇦

5)- Zambia 🇿🇲

6)- Senegal 🇸🇳

7)-Nigeria 🇳🇬

8)-Sao Tome Principe 🇸🇹

9)-Republic of Congo 🇨🇬

10)-Tanzania 🇹🇿

Source: Top 10 sexually active African countries
Tz kushika nafasi ya 10 hili napinga kwa nguvu zote
 
Tafiti za kiwaki hizo
Hivi washatembelea usukumani waone moto wanaopeleka watani zangu?!! Kwanza wanawake 20 kwa mume mmoja, km King Mswati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hawajatutendea haki kabisa sijapentraaaaaaa

At least tungekuwa wa pili[emoji57] yaani sisi wa kushindwa na Uganda kweliii?!!!!!

Warudie teena research zao shenzy kabisaaa
Sindo hapo Sasa yani hii tafiti niyakupigwa huku Tz watu wanapelekeana Moto sio poa connection kibao na bado wanatunyima nafasi ya kwanza
 
Unaona sasa,yaan unajidhirisha kabisa ulivyo dume afu unatengeneza I'd ya kike ili iweje

Pambana dogo achana na utapeli wa kimtandao

Nimewasanua wana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah!! Wewe nishakuona unataka nipewe ban

Sasa umewashtua wana gani? Kwanza mbona humu hakuna wanaume wenye pesa, mmojawapo ukiwepo wewe!!

Bas sawa nimekupa ushindi sababu humu fake I’d ata wewe mwenyewe hatukujui uhalisia wako kwendraaaaaaa
 
Jirani unapenda kujitoa ufahamu jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...wewe sikuwezi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji119][emoji119]

Jirani utawaweza kausha damu wa JF [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ili mradi tu nae nimjibu aone siku yake imeenda poa yaani tafrani humu
 
Sindo hapo Sasa yani hii tafiti niyakupigwa huku Tz watu wanapelekeana Moto sio poa connection kibao na bado wanatunyima nafasi ya kwanza

Wakarudie tafiti na km vipi waeke michuano tupeleke team yetu, wakaone mbivu na mbichi ebooooh!!

Wameniuzi sisi wa kushindwa na Uganda?! Wakati wahaya tu peke yao wanarudi na kombe, hapo bado wasukuma, hatujawaleta wasambaa mapenzi yalikozaliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hebu watuwache na tumekataa kwa nguvu zote hizi tafiti
 
Naunga mkono hoja, wakirudia mchuano nashauri watupeleke mimi na wewe tukawakilishe nchi yetu vyede...😋
 
Wakarudie tafiti na km vipi waeke michuano tupeleke team yetu, wakaone mbivu na mbichi ebooooh!!

Wameniuzi sisi wa kushindwa na Uganda?! Wakati wahaya tu peke yao wanarudi na kombe, hapo bado wasukuma, hatujawaleta wasambaa mapenzi yalikozaliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hebu watuwache na tumekataa kwa nguvu zote hizi tafiti
[emoji23][emoji23][emoji23] au mama atupe bendera tuende tukaiwakilishe nchi kwenye hio ligi hatuwezi dharaulika hivi hawa waliofanya tafiti waletwe watuonyeshe njia waliotumia kusanya data za hizo tafiti yao
 
Achana nao baby, wachomoe km inawauma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nishaanza pata wivu nataka kwenye NIDA tupigwa picha pamoja ili wasije niibia penzi zangu
Screenshot_20230705-114835~2.jpg
 
Back
Top Bottom