Nchi za Afrika zinazotembelewa na watalii kwa wingi

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Top most visited African countries by Tourists


1)- Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ 13.2 million visitors

2)- Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ 11.3 million visitors

3)- South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ 11.5 million visitors

4)- Tunisia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ 8.3 million visitors

5)- Zimbabwe ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ 6.3 million visitors

6)- Cรดte dโ€™Ivoire ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ

7) - Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ

8)- Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช

9)- Mauritius ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡บ

10)- Eswatini ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ

NOTE: Only the figures for the first 5 countries are available

Source: Medium.com
 
Miaka yote, Tanzania haijwahi kuwa kwenye top 5. Tanzania haina ubunifu, vivutio vyake vya utalii havijaboreshwa, hivyo kukosa mvuto. Yaani mtalii aje achungulie tu mikia ya twiga, simba na fisi, kisha akalale!!

Vivutio vyetuni too simple, hakina package.

Nenda hata Brazil kusiko hatana mbuga ya wanyama, lakini ile package mtalii anayopewa for relaxation, atatamani aende kila mwaka.
 
NOTE: Only the figures for the first 5 countries are available
Hizo 6 hadi 10 futa basi kama hamna figures kamili, Uganda yenye Tembo na Sokwe tupu bila bahari haiwezi kuizidi Tanzania yenye mbuga kibao na wanyama wa kila aina kwa idadi ya watalii. Na kama huna figure kamili umejuaje ipi ni namba 6 na ipi ni namba 10!??..., wakati mwingine ni bora kusoma vitu sehemu ukaviacha hukohuko kuliko kukimbilia kuvipaste sehemu nyingine.
 
Hiyo source ya hovyo
 
Takwimu hupingwa kwa takwimu acheni uropokaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ