gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
wanyama na mbuga pekee haitoshi kuleta watalii wengi.zanzibar inapata watalii wengi kuliko bara ulishajiuliza kwanini?Hizo 6 hadi 10 futa basi kama hamna figures kamili, Uganda yenye Tembo na Sokwe tupu bila bahari haiwezi kuizidi Tanzania yenye mbuga kibao na wanyama wa kila aina kwa idadi ya watalii. Na kama huna figure kamili umejuaje ipi ni namba 6 na ipi ni namba 10!??..., wakati mwingine ni bora kusoma vitu sehemu ukaviacha hukohuko kuliko kukimbilia kuvipaste sehemu nyingine.