Nchi za Afrika zinazotembelewa na watalii kwa wingi

Nchi za Afrika zinazotembelewa na watalii kwa wingi

Nchi ya Zanzibar ni namba ngapi kutembelewa na wageni...?
 
Top most visited African countries by Tourists


1)- Morocco [emoji1173] 13.2 million visitors

2)- Egypt [emoji1093] 11.3 million visitors

3)- South Africa [emoji1221] 11.5 million visitors

4)- Tunisia [emoji1249] 8.3 million visitors

5)- Zimbabwe [emoji1269] 6.3 million visitors

6)- Côte d’Ivoire [emoji1081]

7) - Uganda [emoji1254]

8)- Kenya [emoji1139]

9)- Mauritius [emoji1164]

10)- Eswatini [emoji1235]

NOTE: Only the figures for the first 5 countries are available

Source: Medium.com
Hizi takwimu zina walakini. Yaani Eswatin inaizidi Botswana? Hata ingeizidi Zanzibar tu zingekuwa za uongo
 
Miaka yote, Tanzania haijwahi kuwa kwenye top 5. Tanzania haina ubunifu, vivutio vyake vya utalii havijaboreshwa, hivyo kukosa mvuto. Yaani mtalii aje achungulie tu mikia ya twiga, simba na fisi, kisha akalale!!

Vivutio vyetuni too simple, hakina package.

Nenda hata Brazil kusiko hatana mbuga ya wanyama, lakini ile package mtalii anayopewa for relaxation, atatamani aende kila mwaka.
Eti makonda atarekebisha watalii watakuja kama njugu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
HAISHANGAZI...Tz hamna sekta yakimkakatihatamoja tunaweza kujisifu Afrika maana ELIMU yetu ni hovyo sana!!
UKIONA nchi walimu wanashinda njaa kazini juwa hamna nchi hapo, wajinga watakuambia tumejenga madarasa ya covidiiii!! Nosense hatuwezi endelea bila ELIMU,ELIMU,ELIMU...
 
Top most visited African countries by Tourists


1)- Morocco 🇲🇦 13.2 million visitors

2)- Egypt 🇪🇬 11.3 million visitors

3)- South Africa 🇿🇦 11.5 million visitors

4)- Tunisia 🇹🇳 8.3 million visitors

5)- Zimbabwe 🇿🇼 6.3 million visitors

6)- Côte d’Ivoire 🇨🇮

7) - Uganda 🇺🇬

8)- Kenya 🇰🇪

9)- Mauritius 🇲🇺

10)- Eswatini 🇸🇿

NOTE: Only the figures for the first 5 countries are available

Source: Medium.com
Tunaona matokeo ya the royal tour!
 
Hizo 6 hadi 10 futa basi kama hamna figures kamili, Uganda yenye Tembo na Sokwe tupu bila bahari haiwezi kuizidi Tanzania yenye mbuga kibao na wanyama wa kila aina kwa idadi ya watalii. Na kama huna figure kamili umejuaje ipi ni namba 6 na ipi ni namba 10!??..., wakati mwingine ni bora kusoma vitu sehemu ukaviacha hukohuko kuliko kukimbilia kuvipaste sehemu nyingine.
Inakuwaje egypt inaizidi tz?
 
Royo Tour kama nchi tulikula hasara sana, genge fulani lilimdanganya mama kama kawaida.
Nakumbuka mama alituahidi atatutajia majina ya 'wafadhili' wa ile Roho tour ila mpaka leo kimyaa hajawataja!
 
Hadi nchi ya Zanzibar haipo japo wanatunza ustaarabu wao watu wasile wakifunga.Hii list basi siyo ya kweli.
 
Tanzania kodi ya Utalii iko juu sana. Wakati fulani nilipanda mlima Kili na nilipata wasaa wa kuzungumza na wageni mbalimbali, wengi walisema kodi ya, hapa sio rafiki.
 
Top most visited African countries by Tourists


1)- Morocco 🇲🇦 13.2 million visitors

2)- Egypt 🇪🇬 11.3 million visitors

3)- South Africa 🇿🇦 11.5 million visitors

4)- Tunisia 🇹🇳 8.3 million visitors

5)- Zimbabwe 🇿🇼 6.3 million visitors

6)- Côte d’Ivoire 🇨🇮

7) - Uganda 🇺🇬

8)- Kenya 🇰🇪

9)- Mauritius 🇲🇺

10)- Eswatini 🇸🇿

NOTE: Only the figures for the first 5 countries are available

Source: Medium.com
Nachojua Tanzania ipo top ten kati ya 8 had 10 hapo.kwa East africa uganda haizipiti Tanzania na kenay
 
Tanzania haijui kujitanga wanategemea wageni waliowahi kuja hapa nchini wakatutangaze kwa ndugu zao bure. Wamezoe kuvuna bila kupanda.

Hao wageni wenyewe wakifikia zanzibar msimu wa ramadhani wanatozwa dollar 500 za kula hadharani nani aje sasa.
 
Top most visited African countries by Tourists


1)- Morocco 🇲🇦 13.2 million visitors

2)- Egypt 🇪🇬 11.3 million visitors

3)- South Africa 🇿🇦 11.5 million visitors

4)- Tunisia 🇹🇳 8.3 million visitors

5)- Zimbabwe 🇿🇼 6.3 million visitors

6)- Côte d’Ivoire 🇨🇮

7) - Uganda 🇺🇬

8)- Kenya 🇰🇪

9)- Mauritius 🇲🇺

10)- Eswatini 🇸🇿

NOTE: Only the figures for the first 5 countries are available

Source: Medium.com
Toa ujinga wako hapa,Figures zote Duniani zinaiweka Tanzania namba 5 harafu wewe hujaiweka popote
 
Mbona hatuioni Tanzania wakati tunaelezwa kuwa unapigwa mwingi na watalii wameongezeka mara dufu.
 
Tanzania haijui kujitanga wanategemea wageni waliowahi kuja hapa nchini wakatutangaze kwa ndugu zao bure. Wamezoe kuvuna bila kupanda.
Shida ni siasa mbovu, uongozi mbovu na ignorance of foreign languages.
 
Back
Top Bottom