Nchi za Afrika zinazotembelewa na watalii kwa wingi

Mbona rwanda wanajitangaza sana na top ten awapo
 
Africa's Most Visited Countries (2023)

1. Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ - 14.9 million tourists

2. Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ - 14.5 million tourists

3. Tunisia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ - 9 million

4. South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ - 8.5 million

5. Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ - 2 million+

6. Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ - 1.797 million

7. Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช - 1.75 million

8. Zimbabwe ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ - 1.6 million

9. Rwanda ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ - 1.4 million

10. Mauritius ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡บ - 1.3 million

12. Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ - 1.27 million

13. Mozambique ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ - 1.2 million

14. Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ - 1.1 million

15. Cape Verde ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ป - 1 million
 
Nch nzuri sana hii....lakina tuna watawala wasioipenda kwa 100%.
 
Wamekuka na Filamu nyingine Tanzania Amazing. Labda itasaidia
 
Ni aibu kulingana na Rwanda ambao hawana vivutio zaidi ya Gorilla na mifupa ya mairie za Mauaji ya kimbaru. Tanzania tunavyo vivutio vyote
 
Tanzania ni ya kwanza rais wake kutalii nje ya nchi.kwa Sasa ni Nchi tatu tu duniani alizobakiza kuzitembelea lakini watalii kujaa nchini ni sifuri
 
South Africa na Eswatini najua sababu kwann Kuna watalii wengi hata mm navutiwa kwenda huko inshallah!!
 
Hii list mtakua mmetengeneza kwa kushirikiana na chadema na wakenya. Chukua hii hapa ndio ya kweli
 
Kama huku Arusha kulivyo kuchafu barabara mbaya kama hiyo ya kwenda hapo serena Arusha maeneo ya Tengeru

Mtalii gani yupo tayari kuja kutalii miji michafu yenye barabara mbovu na hatarishi kama Arusha
Serikali wao ni kodi tu wanajua kukusanya na kuzitumbua.
 
Yale mazuri yetu tuyaseme tu
Ingawa tu aweza Fanya vizuri zaidi tunashika namba tano

 
Umeiruka Tz maksudi
 
Hiv mkuu Zimbabwe ipi ibebe watalii 6.3M
 
Tanzania ni Ya tano
 
Royal Tour vipi?
 
Mikakati ya serikali ya Tanzania ni kushinda uchaguzi na kubaki madarakani mengine ni ya kwenu.Ata teuzi zimekaa kiufundi zaidi kimkakati zaidi sio kukuza uchumi bali ni kubaki madarakani forever.ahsante.
Haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ