Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Sawa YudaMsitoe takwimu za kuiaminisha dunia za uwongo juu ya nchi yetu.Ibilisi yuko kazini ndugu zangu watanzania.
Hizi takwimu zina walakini. Yaani Eswatin inaizidi Botswana? Hata ingeizidi Zanzibar tu zingekuwa za uongoTop most visited African countries by Tourists
1)- Morocco [emoji1173] 13.2 million visitors
2)- Egypt [emoji1093] 11.3 million visitors
3)- South Africa [emoji1221] 11.5 million visitors
4)- Tunisia [emoji1249] 8.3 million visitors
5)- Zimbabwe [emoji1269] 6.3 million visitors
6)- Cรดte dโIvoire [emoji1081]
7) - Uganda [emoji1254]
8)- Kenya [emoji1139]
9)- Mauritius [emoji1164]
10)- Eswatini [emoji1235]
NOTE: Only the figures for the first 5 countries are available
Source: Medium.com
Hiyo page na page nyingine inajiita zoom africa ni page za uongo, hupika takwimu.Hizi takwimu zimepikwa,
Hiyo page ni ya uongo.Hizi takwimu zina walakini. Yaani Eswatin inaizidi Botswana? Hata ingeizidi Zanzibar tu zingekuwa za uongo
Eti makonda atarekebisha watalii watakuja kama njuguMiaka yote, Tanzania haijwahi kuwa kwenye top 5. Tanzania haina ubunifu, vivutio vyake vya utalii havijaboreshwa, hivyo kukosa mvuto. Yaani mtalii aje achungulie tu mikia ya twiga, simba na fisi, kisha akalale!!
Vivutio vyetuni too simple, hakina package.
Nenda hata Brazil kusiko hatana mbuga ya wanyama, lakini ile package mtalii anayopewa for relaxation, atatamani aende kila mwaka.
Tunaona matokeo ya the royal tour!Top most visited African countries by Tourists
1)- Morocco ๐ฒ๐ฆ 13.2 million visitors
2)- Egypt ๐ช๐ฌ 11.3 million visitors
3)- South Africa ๐ฟ๐ฆ 11.5 million visitors
4)- Tunisia ๐น๐ณ 8.3 million visitors
5)- Zimbabwe ๐ฟ๐ผ 6.3 million visitors
6)- Cรดte dโIvoire ๐จ๐ฎ
7) - Uganda ๐บ๐ฌ
8)- Kenya ๐ฐ๐ช
9)- Mauritius ๐ฒ๐บ
10)- Eswatini ๐ธ๐ฟ
NOTE: Only the figures for the first 5 countries are available
Source: Medium.com
Inakuwaje egypt inaizidi tz?Hizo 6 hadi 10 futa basi kama hamna figures kamili, Uganda yenye Tembo na Sokwe tupu bila bahari haiwezi kuizidi Tanzania yenye mbuga kibao na wanyama wa kila aina kwa idadi ya watalii. Na kama huna figure kamili umejuaje ipi ni namba 6 na ipi ni namba 10!??..., wakati mwingine ni bora kusoma vitu sehemu ukaviacha hukohuko kuliko kukimbilia kuvipaste sehemu nyingine.
Nachojua Tanzania ipo top ten kati ya 8 had 10 hapo.kwa East africa uganda haizipiti Tanzania na kenayTop most visited African countries by Tourists
1)- Morocco ๐ฒ๐ฆ 13.2 million visitors
2)- Egypt ๐ช๐ฌ 11.3 million visitors
3)- South Africa ๐ฟ๐ฆ 11.5 million visitors
4)- Tunisia ๐น๐ณ 8.3 million visitors
5)- Zimbabwe ๐ฟ๐ผ 6.3 million visitors
6)- Cรดte dโIvoire ๐จ๐ฎ
7) - Uganda ๐บ๐ฌ
8)- Kenya ๐ฐ๐ช
9)- Mauritius ๐ฒ๐บ
10)- Eswatini ๐ธ๐ฟ
NOTE: Only the figures for the first 5 countries are available
Source: Medium.com
Tanzania haijui kujitanga wanategemea wageni waliowahi kuja hapa nchini wakatutangaze kwa ndugu zao bure. Wamezoe kuvuna bila kupanda.
Toa ujinga wako hapa,Figures zote Duniani zinaiweka Tanzania namba 5 harafu wewe hujaiweka popoteTop most visited African countries by Tourists
1)- Morocco ๐ฒ๐ฆ 13.2 million visitors
2)- Egypt ๐ช๐ฌ 11.3 million visitors
3)- South Africa ๐ฟ๐ฆ 11.5 million visitors
4)- Tunisia ๐น๐ณ 8.3 million visitors
5)- Zimbabwe ๐ฟ๐ผ 6.3 million visitors
6)- Cรดte dโIvoire ๐จ๐ฎ
7) - Uganda ๐บ๐ฌ
8)- Kenya ๐ฐ๐ช
9)- Mauritius ๐ฒ๐บ
10)- Eswatini ๐ธ๐ฟ
NOTE: Only the figures for the first 5 countries are available
Source: Medium.com
Shida ni siasa mbovu, uongozi mbovu na ignorance of foreign languages.Tanzania haijui kujitanga wanategemea wageni waliowahi kuja hapa nchini wakatutangaze kwa ndugu zao bure. Wamezoe kuvuna bila kupanda.