wanyama na mbuga pekee haitoshi kuleta watalii wengi.zanzibar inapata watalii wengi kuliko bara ulishajiuliza kwanini?Hizo 6 hadi 10 futa basi kama hamna figures kamili, Uganda yenye Tembo na Sokwe tupu bila bahari haiwezi kuizidi Tanzania yenye mbuga kibao na wanyama wa kila aina kwa idadi ya watalii. Na kama huna figure kamili umejuaje ipi ni namba 6 na ipi ni namba 10!??..., wakati mwingine ni bora kusoma vitu sehemu ukaviacha hukohuko kuliko kukimbilia kuvipaste sehemu nyingine.
"Chema chajiuza, kibaya chajitembeza."Tanzania haijui kujitanga wanategemea wageni waliowahi kuja hapa nchini wakatutangaze kwa ndugu zao bure. Wamezoe kuvuna bila kupanda.
Nchi ya watu wa Zanzibar figure zake zipo ndani ya Nchi ya Tanganyika ambayo haina mwenyewe.Mkakati ni kuongeza idadi ya watalii wanaingia JMT kuingia kwa wingi Zanzibar kuliko Tanganyika.Nchi ya Zanzibar ni namba ngapi kutembelewa na wageni...?
Takwimu za lini hizi ndugu yanguTop most visited African countries by Tourists
1)- Morocco ๐ฒ๐ฆ 13.2 million visitors
2)- Egypt ๐ช๐ฌ 11.3 million visitors
3)- South Africa ๐ฟ๐ฆ 11.5 million visitors
4)- Tunisia ๐น๐ณ 8.3 million visitors
5)- Zimbabwe ๐ฟ๐ผ 6.3 million visitors
6)- Cรดte dโIvoire ๐จ๐ฎ
7) - Uganda ๐บ๐ฌ
8)- Kenya ๐ฐ๐ช
9)- Mauritius ๐ฒ๐บ
10)- Eswatini ๐ธ๐ฟ
NOTE: Only the figures for the first 5 countries are available
Source: Medium.com