Nchi za Afrika zipo kwa ajili ya upinzani wa vyama kuliko mambo mengine

Nchi za Afrika zipo kwa ajili ya upinzani wa vyama kuliko mambo mengine

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Hili suala kiukweli nchi za Afrika zimejikita kutokomeza upinzani wa vyama kuliko vitu vingine.

Poleni Uganda kwa matukio ya kigaidi. Nchi ya Uganda ni bora kupoteza pesa kwa ajili ya upinzani hata kutumia jeshi lakini kuliko kutafuta usalama wa yale yaliyotokea

Jambo moja la Afrika ni kama vyama tawala wanataka kubaki madarakani kwa njia yoyote sio kwa kusumbuka kwa maslahi ya kitaifa na wananchi wake.

Tusipoliangalia hili basi tutatumbue saratani inazidi kukua Afrika na mwisho wa siku itafika Afrika itakuwa ni historia iliyokwisha potea.

Nchi ambazo kwa sasa zipo tunaomba kueleza
 
Kwa hapa Tanzania waharibifu wa nchi ni chama changu CCM
 
Watu wako kwenye vyama kwaajili ya maslahi binafsi, ndio mana wana hama hama vyama. Mtu anahamia kule ambapo anaona ana chance ya kushinda.
 
Back
Top Bottom