Kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel hakifikii hata asilimia 3 ya uchumi wakeIsrael ni uchumi wa misaada.
Hapo ushaona Saudi Arabia kampita Israel.Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions
Kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel hakifikii hata asilimia 1 ya uchumi wake
Saudi Arabia ndio kinara lakini ni linchi likubwa sana karibu mara 100 ya Israel
Saudi Arabia $876.150
Israel $520
UAE $501.354
Egypt $438.348
Iran $367
Iraq $250.070
Qatar $236.257
Kuwait $118.271
Oman $110.127
Syria $77.460
Jordan $42.609
Bahrain $41.46
Yemen $28.134
Lebanon $19.008
Palestina 5
We kweli akili kisoda.Kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel hakifikii hata asilimia 3 ya uchumi wake
Ni sawa na Japan kuisaidia milioni 200 Tanzania ijenge vyoo
Unaongea nini wewe, unadhani nchi kuwa na uchumi mkubwa hadi iwe na mafuta tu ? hakuna kitu chenye thamani hii dunia kama akili.Hapo ushaona Saudi Arabia kampita Israel.
Tukija kwa Iran naweza sema ni taifa lenye nguvu za kiuchumi kuliko taifa lolote hapo middle east kwasababu licha ya vikwazo vya kiuchumi toka 1980 mpaka leo hii ni middle upper income country.
Jiulize kama Iran isingewekewa vikwazo ingekua wapi.
Israel ni nchi inayolelewa na haina uchumi imara kama udaivyo.
Vita ya miezi mitano tu imeiangusha kiuchumi Israel kuliko udhaniavyo.
Marekani inaisaidia Israel dola bilioni 3 kila mwaka sawa na shilingi trilioni 7.5, ni pesa nyingi sana kwetu tulipo mataifa masikini lakini kwa Israel ni ndogo sanaWe kweli akili kisoda.
Mabilioni ya dola yanayotolewa Israel kupanga bajeti ya taifa na bajeti ya ulinzi unasemaje kuwa ni ndogo??
Israel inapewa misaada unconditionally,yani kama ile miaada ingegeuka kuwa ni mikopo basi deni lake lisingekua himilivu kitaifa.
Ona ulivyo na akili finyu.Unaongea nini wewe, unadhani nchi kuwa na uchumi mkubwa hadi iwe na mafuta tu ? hakuna kitu chenye thamani hii dunia kama akili.
Israel ndio nchi inayoongozea kwa teknolojia ya kilimo duniani.
Israel inaongoza kwa kuwa na start ups nyingi zinazofanikiwa duniani kiasi kwamba inaitwa the startup nation.
israel inaongoza kwa teknolojia ya maji safi ya bombani wanayouzia hadi nchi za waarabu
kwa uchache tu
Pole sana.Marekani inaisaidia Israel dola bilioni 3 kila mwaka sawa na shilingi trilioni 7.5, ni pesa nyingi sana kwetu tulipo mataifa masikini lakini kwa Israel ni ndogo sana
Hio pesa haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel,
Kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel hakifikii hata asilimia 3 ya uchumi wake
Ni sawa na Japan kuisaidia milioni 200 Tanzania ijenge vyoo
Israel inaongoza kwa technolojia ya kilimo, wao ardhi kubwa ni jangwa huwezi kufananisha na nchi nyingine kama china, ujerumani, n.k. kuna ardhi kubwa ya kilimo.Ona ulivyo na akili finyu.
Kwani nimesema ni mafuta pekee yanamtajirisha Saudi Arabia??
Na kwani uongo kuwa Saudia amempita Israel kiuchumi??
Iran ina nyenzo nyingi za kiuchumi mafuta,madini,bidhaa za viwandani mbalimbali,silaha pia anauza n.k n.k.
Hayo yote unayotaja kuhusu technology ni bleeeh bleeeh bleeeh za kumfanya Israel aonekane yuko vizuri.
Mataifa yaliyo mbele kiteknolojia ya aina zozote yanajulikana.
Nenda China kuna TEKNOLOJIA BORA YA KILIMO AMBAYO ISRAEL HATA ROBO HAIFIKII.
Misri tu ilianza teknolojia ya kilimo cha jangwani kwa hekari ndogo kuzalisha mazao mengi way back hata Israel hajalifikiria hilo.
Hao Israel nikelele nyingi bila misaada itakuwa kama TZPole sana.
Jumla ya dola za kimarekani anazopewa Israel zinafikia takriban 9$ billion kwa mwaka.
Hizo pesa zina cover sehemu ya ulinzi na sehemu ya bajeti ya nchi.
Kama wewe unaona ni ndogo kwanini isingesema ikope inamudu kulipa na sio kupewa kama msaada??
Hivi unajua kuliwahi kutokea mvutano kuwa Israel ianze kujitegemea iache misaada kutoka USA ila Israel officials wengine walipinga wakisema muda bado???
Sasa hizo dola bilioni 9 ni kitu gani kwenye uchumi wa dola bilioni 520 ?Pole sana.
Jumla ya dola za kimarekani anazopewa Israel zinafikia takriban 9$ billion kwa mwaka.
Hizo pesa zina cover sehemu ya ulinzi na sehemu ya bajeti ya nchi.
Kama wewe unaona ni ndogo kwanini isingesema ikope inamudu kulipa na sio kupewa kama msaada??
Hivi unajua kuliwahi kutokea mvutano kuwa Israel ianze kujitegemea iache misaada kutoka USA ila Israel officials wengine walipinga wakisema muda bado???
Sasa hizo dola bilioni 9 ni kitu gani kwenye uchumi wa dola bilioni 520 ?Hao Israel nikelele nyingi bila misaada itakuwa kama TZ
Nimekuambia hiyo teknolojia unayosema alianza nayo Misri muda kabla hata ya Israel.Israel inaongoza kwa technolojia ya kilimo, wao ardhi kubwa ni jangwa huwezi kufananisha na nchi nyingine kama china, ujerumani, n.k. kuna ardhi kubwa ya kilimo.
Pia licha ya kuwa jangwani, Israel wana teknolojia za kupata maji safi mengi mara nne kuzidi uhitaji wao, maji mengine wanauzia nchi za waarabu,
Ukitaka kuamini hilo angalia nchi za kiarabu zinavyopata taabu kulima jangwani mpaka leo
Dola bilioni 520 interms ya mapato ama GDP???Sasa hizo dola bilioni 9 ni kitu gani kwenye uchumi wa dola bilioni 520 ?
Zinafika hata asilimia 2 ?
Ndio uweke hapa ni mabilioni kiasi gani?We kweli akili kisoda.
Mabilioni ya dola yanayotolewa Israel kupanga bajeti ya taifa na bajeti ya ulinzi unasemaje kuwa ni ndogo??
Israel inapewa misaada unconditionally,yani kama ile miaada ingegeuka kuwa ni mikopo basi deni lake lisingekua himilivu kitaifa.
Ameshataja muhusika juu na nishamtajia soma quotes za juu.Ndio uweke hapa ni mabilioni kiasi gani?
Ok kwa kuwa umekaza mshipa wacha nikutwange na facts.Nimekuambia hiyo teknolojia unayosema alianza nayo Misri muda kabla hata ya Israel.
Na Misri keshaiambukiza hiyo teknolojia Qatar na Kuwait.
Teknolojia za kilimo zipo za aina nyingi kijana,unayosemea wewe ni teknolojia ya kilimo cha jangwani ambayo China pia anaiweza na aliwahi ifanya miaka ya 1990 kwa kugeuza moja kati ya mji jangwa kuwa shamba kubwa la zabibu ambazo viwanda vingi vya wine hutumia zabibu kutoka hilo shamba.
Ukiambiwa hayo mashamba yalikua mji jangwa huwezi amini.
Ukija katika teknolojia zilizobaki za kilimo kwa China hufui dafu.
Kuhusu maji sijakataa.