Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Comment hii imekudhihirisha jinsi gani ulivyo kilaza wa kutupwa kiasi cha kushinda kutofautisha kati ya raia wa Israel na watu wenye asili ya kiyahudi.
Kwa hiyo ww ukiona myahudi basi ni Muisrael?
Hijui kuwa Wayahudi ambao ni raia wa Israel ni %30 tu ya wayahudi wote duniani?,hata ukienda Iran,Misri hata Morocco unawakuta?
Hao wayahudi unao wasema eti wana fanya kazi kwenye makampuni ya kimarekani ni wamarekani na sio waisrael.
Alafu unacho takiwa kujua ni kuwa asilimia kubwa ya wafanya kazi kwenye hayo makampuni makubwa uliyo yataja hapo ,ni Waajemi,wahindi, wajerumani ,na waasia ya mbili wayahudi ni wachache sana kwenye hayo makampuni.
Ongea utavyoongea lakini facts hazibadiliki.

Israel ishafahamika ni Tech Power house na Startup nation.

Marekani ndio ulingo wa dunia kiuchumi the land of opputunities na watu wenye asili ya wayahudi pamoja na uchache wao ndio wanaongoza kwa kutoa mabilionea wengi.

Hata waarabu wanaoishi Israel hawataki kurudi huko Gaza, Jordan, Syria, Egypt, Iran, n,k. huko hata wanawake hawaruhusiwi kuendesha magari.
 
Hata waarabu wanaoishi Israel wanakula maisha kuzidi huko Jordan, Syria, Egypt, Iran, n,k.
Leta hoja acha mipasho ya kike.
Kama ndo hivyo mbona Israel haimo hata kwenye nchi 10 bora ambazo raia wake wanaishi maisha bora,badala yake kuna nchi tatu za Kiarabu, yaani Qtaar, UAE na Saudia Arabia?
Kwa misaada na misamaha ya kodi anayo pewa Israel hata haya maendeleo aliyo nayo ni machache alitakiwa awe zaidi ya mara 2 ya alivyo sasa hivi.
Israel inafanya vizuri kwa baadhi ya mambo lakini acheni kuikuza na kuipa sifa isizo kuwa nazo.
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa COMMON SENSE, ni kwamba huna au umeumizwa na Israel kuwa na uchumi mkubwa kiasi akili zimekuruka ?

Hivi kwa akili ya kawaida kabisa nchi iliyozungukwa na maadui, muda wowote inarushiwa makombora inaingiaje kwenye list ya nchi yenye furaha ? wewe hapo tu ulipo ukiishi mtaa unatupiwa mawe mda wowote utakuwa na amani ?

Israel kungekuwa na amani isingekuwa mara mbili tu, ingekuwa ni mara 10, wala sio misaada hio ambayo haifikii hata asilimia 2 ya uchumi wao bali ni maarifa waliyonayo kutengeneza pesa

Hebu ona tu nchi kama Marekani hapo wayahudi ndio wanaikimbiza Listi ya mabilionea wakiwa ugenini, kungekuwa shwari peaceful huko nyumbani kwao ingekuwaje ?
 
Hao wamarekani ndio wanawatumia sana waisrael kwenye mambo ya Tech, makampuni kibao kama Intel, Microsoft, Google, Facebook, Apple, Cisco yana makao makuu marekani lakini yamejazana Israel kuweka ofisi za kugundua na kuboresha teknolojia (research and development).

Israel wanaipa elimu na skills thamani kubwa sana, sio vitu vya kubahatisha hivi
Makampuni makubwa duniani yana tabia ya kufungua shughuli za kikampuni sehemu mbalimbali duniani kwa sababu mbalimbali zinazo wasukuma kufanya hivyo.
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa COMMON SENSE, ni kwamba huna au umeumizwa na Israel kuwa na uchumi mkubwa kiasi akili zimekuruka ?

Hivi kwa akili ya kawaida kabisa nchi iliyozungukwa na maadui, muda wowote inarushiwa makombora inaingiaje kwenye list ya nchi yenye furaha ? wewe hapo tu ulipo ukiishi mtaa unatupiwa mawe mda wowote utakuwa na amani ?

Israel kungekuwa na amani isingekuwa mara mbili tu, ingekuwa ni mara 10.

Hebu ona tu nchi kama Marekani hapo wayahudi ndio wanaikimbiza Listi ya mabilionea wakiwa ugenini, kungekuwa shwari peaceful huko nyumbani kwao ingekuwaje ?
Ebu punguza upumbavu, akili ziniruke kwani Israel akiwa na uchumi mkubwa inanipa hasara gani au ww inakupa faida gani?
Ww umeleta mada ijadiliwe kwa hiyo na ndo tupo hapa tuna kutoa upumbavu ulio kujaa kichwani.

Nimesha kwambia kuwa uchumi wa Israel unabebwa na vitu vingi mno na mataifa mengi tena yenye uwezo ,nchi yeyote itakayo bebwa kama Israel na ikashindwa kuendelea basi hiyo nchi itakuwa imejaa wapumbavu walio pitiliza kuizidi hata Haiti.
Nimesha kwambia kuwa bidhaa za Israel zinaingia ndani ya Ulaya , Uingereza na Marekani bila ya kutozwa kodi sasa nchi ya aina hiyo itashindwaje kuendelea?
Huwezi kuilinganisha na zingine ambazo hazina ofa kama hizo.
Nime kutolea mfano Iran ina rundo la vikwazo na imeondolewa kwenye mfumo wa kifedha wa kimataifa wa SWIFT ,hapewi mkopo wowote kutoka IMF,au World bank lakini bado uchumi wake unaendelea kusavave.
Iwapo uchumi wa Israel ungekuwa unapitia yale inayo yapitia Iran na bado ukakua basi hapo Israel ingehitaji pongezi.
Iran mpaka sasa anatumia viwanda vyake vya ndani kukidhi mahitaji yake ya bidhaa kwa 80% kitu ambacho hata Marekani ameshindwa kukifanya.
Wakati Israel ni 48% bidhaa zingine anategemea kutoka nje,hali ya kuwa ana raia wachache sana ukilinganisha na Iran na ndio maana mashambulizi ya wahuthi dhidi ya meli za Israel yamesababisha mfumuko wa bei nchi Israel.

Mwaka 2023 Iran imekuwa ni taifa la pili kwa kuuza bidhaa nyingi za viwandani baada ya Uturuki.
Sasa Iran utailinganishaje na Israel inayo lelewa kama mtoto?

Hivi hapo mashariki ya kati kuna taifa lenye rundo la maadui kuizidi Iran?

Yaani Israel yenye maadui hakina Hizbulah na hamas uta mlinganisha Iran yenye maadui kama akina Marekani na washirika wake wa ulaya na hapo mashariki ya kati?

Alafu nime kuambia mataifa yenye maisha bora na sio mataifa yenye furaha , Maisha bora kwenye nchi fulani huwa yana pimwa kutokana na kipato cha mtu mmoja mmoja ndani ya nchi husika ,sasa hiyo Israel yako hata kwenye 15 bora hayumo wakati waarabu wana nchi zaidi ya 4.

Matajiri wa kiyahudi walioko Marekani sio wageni bali ni wamarekani mbona huelewi si kila muyahudi ni Muisrael na si kila Muisrael ni myahudi.

Na kama unataka kutumia watu wenye asili ya kiyahudi kuipaisha Israel basi hata Iran itafaidika juu ya hilo, maana ndani ya Marekani na Ulaya kumejaa matajiri,wanasayansi na maprofesa wenye asili ya kiajemi hao wote wakihamishia mitaji yao ndani ya Iran basi Iran itakuwa na uchumi mkubwa kuizidi Ufaransa.

Marekani ina matajiri ,wabunifu na wasomi kutoka kila jamii ,kuanzia Wahindi, wayahudi, Waajemi ,waasia walatini, waafrika,na wazungu kwa hiyo hoja yako ya kuwa Marekani inaendelea kisa jamii ya wayahudi haina mashiko.
Alafu myahudi pekee mwenye utajiri mkubwa ndani ya Marekani ni mmiliki wa kampuni ya Meta.
Muanzilishi wa kampuni kubwa na tajiri kuliko zote ndani ya Marekani naduniani yaani Apple ni Mmarekani mwenye asili ya kiarabu kutoka Syria.

Na unacho takiwa kujua ni kuwa Wayahudi wameanza kuingia ndani ya Marekani baada ya vita ya 2 ya dunia na kuikuta Marekani imesha endelea zamani kiteknolojia ,kwa hiyo hoja yako ya eti Marekani anaitegemea Israel ili aendelee ni hoja ya kipumbavu.
 
Ongea utavyoongea lakini facts hazibadiliki.

Israel ishafahamika ni Tech Power house na Startup nation.

Marekani ndio ulingo wa dunia kiuchumi the land of opputunities na watu wenye asili ya wayahudi pamoja na uchache wao ndio wanaongoza kwa kutoa mabilionea wengi.

Hata waarabu wanaoishi Israel hawataki kurudi huko Gaza, Jordan, Syria, Egypt, Iran, n,k. huko hata wanawake hawaruhusiwi kuendesha magari.
Unatanguliza hisia katika mambo yenye kuhitaji data.

Mabingwa wa teknolojia duniani wala hawapo Israel.
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa COMMON SENSE, ni kwamba huna au umeumizwa na Israel kuwa na uchumi mkubwa kiasi akili zimekuruka ?

Hivi kwa akili ya kawaida kabisa nchi iliyozungukwa na maadui, muda wowote inarushiwa makombora inaingiaje kwenye list ya nchi yenye furaha ? wewe hapo tu ulipo ukiishi mtaa unatupiwa mawe mda wowote utakuwa na amani ?

Israel kungekuwa na amani isingekuwa mara mbili tu, ingekuwa ni mara 10, wala sio misaada hio ambayo haifikii hata asilimia 2 ya uchumi wao bali ni maarifa waliyonayo kutengeneza pesa

Hebu ona tu nchi kama Marekani hapo wayahudi ndio wanaikimbiza Listi ya mabilionea wakiwa ugenini, kungekuwa shwari peaceful huko nyumbani kwao ingekuwaje ?
Kwako wewe furaha unaitafsiri vipi ? Tambua kwenye vita na migogoro hakuna furaha muda wowote hali inabadilika.
 
Makampuni makubwa duniani yana tabia ya kufungua shughuli za kikampuni sehemu mbalimbali duniani kwa sababu mbalimbali zinazo wasukuma kufanya hivyo.
Nchi nyingi wanaweka ofisi ziwe kama tawi la kutoa huduma au kuuza bidhaa,

Kwa Israel wanaweka ofisi zao ziwe vituo vya gunduzi na uboreshaji wa teknolojia (Research and development), Israel ni nchi inayosifika kwa vipaji vya kubuni, Israel ndio nchi inayoongoza kwa density kubwa ya start ups zinazobuni huduma / bidhaa, mfano mdogo windows maarufu kuwahi kutokea " windows xp" ilibuniwa huko na iliingiza mabilioni ya dola
 
Kwanza kabisa nakutwanga fact ya Kwanza, Israel sio matajiri kwa kusaidiwa, Israel wanaijua pesa, pesa ipo ndani ya damu, hata huko Ulaya walikopelekwa walinyimwa ardhi za kulima ilibidi wageukie mambo ya finance kama banks ziliwatajirisha sana .

Marekani ndio nchi inayongozea kwa mabilionea, Wamarekani wenye asili ya israel ndio wanaongoza kwa kuwa mabilionea wengi.

Kampuni kibao za Marekani zina matawi Israel kwenye vitengo vya Research and Development kwasababu waisrael wana kipaji kikubwa sana cha gunduzi na maboresho ya teknolojia.

Kiufupi ni kwamba hawa jamaa wanaogelea kwenye pesa hata wawe vitani

Hayo mengine ni propaganda tu, jamaa ni wanapiga kazi sio kitoto
OK hapa Ushaonesha swali lako halisi kule juu ulikua unakanyaga kanyaga tu.

Kujibu swali lako waarabu sio inferior kwa wayahudi linapokuja suala la utajiri.

Hapo Usa waarabu na Wairan kwenye sensa wanatambulika tu kama watu weupe, utasikia tajiri myahudi, tajiri mhindi ila kamwe hutasikia Arab Billionaire Usa,

Mfano Mzuri ni Steve Job, mpaka mtu akuambie uanze kuchimba chimbua ndio utajua kwamba alikua Mwarabu.

Mifano Michache nakupa, kinchi kidogo kama Lebanon kina Mabilionea zaidi ya 30
Screenshot_20240307-175047_Pixel Launcher.png

Mfano hapo mtu kakwambia kuna Billionaire anaitwa Tom Gore Switzerland ama Marekani kuna Billionaire anaitwa Richard Rainwater, huwezi kamwe kutambua huyo ni mwarabu hadi uwe informed kama hivi.

Bado waarabu wengine ambao wapo Royal family ambao hawahesabiwi kwenye hizi tafiti za Utajiri, mfano wa Familia za Kiarabu za Kifalme
-Saudi Royal family utajiri 1.4 Trilioni Usd
-Qatar Royal Family utajiri 335 Billion usd
-Kuwait Royal family utajiri 350 Billion usd
-Hapo Uae kuna Emirate kama 7 Abu dhabi, Dubai, etc na kila moja ukigusa ni 100-150B usd net worth.

According to Forbes Mabilionea wote wa Ki jews karibia 165 thamani yao kwa jumla ni usd 812 Billion. Source

So Royal Family Moja tu ya Saudia ina Hela kuliko Mabilionea wote wa jews Duniani je unajiskiaje ukipewa data kama hizi?
 
Ebu punguza upumbavu, akili ziniruke kwani Israel akiwa na uchumi mkubwa inanipa hasara gani au ww inakupa faida gani?
Ww umeleta mada ijadiliwe kwa hiyo na ndo tupo hapa tuna kutoa upumbavu ulio kujaa kichwani.

Nimesha kwambia kuwa uchumi wa Israel unabebwa na vitu vingi mno na mataifa mengi tena yenye uwezo ,nchi yeyote itakayo bebwa kama Israel na ikashindwa kuendelea basi hiyo nchi itakuwa imejaa wapumbavu walio pitiliza kuizidi hata Haiti.
Nimesha kwambia kuwa bidhaa za Israel zinaingia ndani ya Ulaya , Uingereza na Marekani bila ya kutozwa kodi sasa nchi ya aina hiyo itashindwaje kuendelea?
Huwezi kuilinganisha na zingine ambazo hazina ofa kama hizo.
Nime kutolea mfano Iran ina rundo la vikwazo na imeondolewa kwenye mfumo wa kifedha wa kimataifa wa SWIFT ,hapewi mkopo wowote kutoka IMF,au World bank lakini bado uchumi wake unaendelea kusavave.
Iwapo uchumi wa Israel ungekuwa unapitia yale inayo yapitia Iran na bado ukakua basi hapo Israel ingehitaji pongezi.
Iran mpaka sasa anatumia viwanda vyake vya ndani kukidhi mahitaji yake ya bidhaa kwa 80% kitu ambacho hata Marekani ameshindwa kukifanya.
Wakati Israel ni 48% bidhaa zingine anategemea kutoka nje,hali ya kuwa ana raia wachache sana ukilinganisha na Iran na ndio maana mashambulizi ya wahuthi dhidi ya meli za Israel yamesababisha mfumuko wa bei nchi Israel.

Mwaka 2023 Iran imekuwa ni taifa la pili kwa kuuza bidhaa nyingi za viwandani baada ya Uturuki.
Sasa Iran utailinganishaje na Israel inayo lelewa kama mtoto?

Hivi hapo mashariki ya kati kuna taifa lenye rundo la maadui kuizidi Iran?

Yaani Israel yenye maadui hakina Hizbulah na hamas uta mlinganisha Iran yenye maadui kama akina Marekani na washirika wake wa ulaya na hapo mashariki ya kati?

Alafu nime kuambia mataifa yenye maisha bora na sio mataifa yenye furaha , Maisha bora kwenye nchi fulani huwa yana pimwa kutokana na kipato cha mtu mmoja mmoja ndani ya nchi husika ,sasa hiyo Israel yako hata kwenye 15 bora hayumo wakati waarabu wana nchi zaidi ya 4.

Matajiri wa kiyahudi walioko Marekani sio wageni bali ni wamarekani mbona huelewi si kila muyahudi ni Muisrael na si kila Muisrael ni myahudi.

Na kama unataka kutumia watu wenye asili ya kiyahudi kuipaisha Israel basi hata Iran itafaidika juu ya hilo, maana ndani ya Marekani na Ulaya kumejaa matajiri,wanasayansi na maprofesa wenye asili ya kiajemi hao wote wakihamishia mitaji yao ndani ya Iran basi Iran itakuwa na uchumi mkubwa kuizidi Ufaransa.

Marekani ina matajiri ,wabunifu na wasomi kutoka kila jamii ,kuanzia Wahindi, wayahudi, Waajemi ,waasia walatini, waafrika,na wazungu kwa hiyo hoja yako ya kuwa Marekani inaendelea kisa jamii ya wayahudi haina mashiko.
Alafu myahudi pekee mwenye utajiri mkubwa ndani ya Marekani ni mmiliki wa kampuni ya Meta.
Muanzilishi wa kampuni kubwa na tajiri kuliko zote ndani ya Marekani naduniani yaani Apple ni Mmarekani mwenye asili ya kiarabu kutoka Syria.

Na unacho takiwa kujua ni kuwa Wayahudi wameanza kuingia ndani ya Marekani baada ya vita ya 2 ya dunia na kuikuta Marekani imesha endelea zamani kiteknolojia ,kwa hiyo hoja yako ya eti Marekani anaitegemea Israel ili aendelee ni hoja ya kipumbavu.
Sasa hizo ofa zilitokana na Nini mzee? Kwa Nini na sisi TZ tusipewe hizo offer? Oya mzungu hatoi sehemu isiyo na faida😁
 
Nchi nyingi wanaweja ofisi kama tawi la kutoa huduma au kuuza bidhaa,

Kwa Israel wanaweka ofisi zao ziwe vituo vya gunduzi na uboreshaji wa teknolojia (Research and development), Israel ni nchi inayosifika kwa vipaji vya kubuni, Israel ndio nchi inayoongoza kwa density kubwa ya start ups zinazobuni huduma / bidhaa, mfano mdogo windows maarufu kuwahi kutokea " windows xp" ilibuniwa huko na iliingiza mabilioni ya dola
Hizi taarifa zako unapatia wapi au unatoa tu kichwani mwako ?
 
OK hapa Ushaonesha swali lako halisi kule juu ulikua unakanyaga kanyaga tu.

Kujibu swali lako waarabu sio inferior kwa wayahudi linapokuja suala la utajiri.

Hapo Usa waarabu na Wairan kwenye sensa wanatambulika tu kama watu weupe, utasikia tajiri myahudi, tajiri mhindi ila kamwe hutasikia Arab Billionaire Usa,

Mfano Mzuri ni Steve Job, mpaka mtu akuambie uanze kuchimba chimbua ndio utajua kwamba alikua Mwarabu.

Mifano Michache nakupa, kinchi kidogo kama Lebanon kina Mabilionea zaidi ya 30 View attachment 2927244
Mfano hapo mtu kakwambia kuna Billionaire anaitwa Tom Gore Switzerland ama Marekani kuna Billionaire anaitwa Richard Rainwater, huwezi kamwe kutambua huyo ni mwarabu hadi uwe informed kama hivi.

Bado waarabu wengine ambao wapo Royal family ambao hawahesabiwi kwenye hizi tafiti za Utajiri, mfano wa Familia za Kiarabu za Kifalme
-Saudi Royal family utajiri 1.4 Trilioni Usd
-Qatar Royal Family utajiri 335 Billion usd
-Kuwait Royal family utajiri 350 Billion usd
-Hapo Uae kuna Emirate kama 7 Abu dhabi, Dubai, etc na kila moja ukigusa ni 100-150B usd net worth.

According to Forbes Mabilionea wote wa Ki jews karibia 165 thamani yao kwa jumla ni usd 812 Billion. Source

So Royal Family Moja tu ya Saudia ina Hela kuliko Mabilionea wote wa jews Duniani je unajiskiaje ukipewa data kama hizi?
Wikipedia: Chanzo kinachoaminika zaidi, wamarekani wayahudi ni takribani 30 % ya top 100 ya mabilionea wa state.

1709824976581.png

Hizo royal families za uarabuni kuzihesabia kwenye utajiri ni ngumu, wanajimilikisha rasili mali za nchi kuanzia mafuta, madini, n.k. ni kama nchi na vyote vilivyomo vinakuwa mali zao.
 
Labda wana uongozi unaotafuta confrontation bila sababu za msingi?
Mzozo wa Iran kuwekewa vikwazo una vyanzo vingi ikiwemo mapinduzi yaliyofanywa na serikali ya kiislam ya mapinduzi ya Iran toka 1979.
Pia kuna chanzo cha uundaji wa silaha.
 
Najua umebadili id, ile ya zamani umeweka kapuni na huu uzi uliwahi kuuanzisha na sasa umeanzisha tena ila nakujibu tena na uzi huu.

1. Hio asilimia 3 unayosema ni misaada ya Kijeshi tu, ndio around $3B kwa mwaka.

2. Israel inapokea misaada mingi sana ya Kiuchumi hasa kwa Mafia na watu wengine wanaokimbia Sheria Marekani. Kifupi hilo eneo ukibaka Usa unakimbilia hapo na mifano mingi. Vitu kama hivi hutaviona direct kwenye data.

3. Kampuni za Marekani legally ambazo zina invest Israel zinapewa misamaha ya Kodi ili zianzishe branch hapo

4. Bado kuna mambo mengine kama biashara haramu za viungo (Israel ni halali), inakadiriwa Figo moja ni kama milioni 200 mpaka 300, hivi viungo wanavuna kwa Wapalestina wanaowaua kila siku, wanawachuna Ngozi, wanatoa Pipe za Moyo, Figo na vinginevyo. Israel kanchi kadogo kenye watu milioni kadhaa kama storage kubwa ya vitu kama Ngozi kushinda Usa, India, China etc ma nchi yenye watu hadi Bilioni na upuuzi.

Kifupi Israel ni Genge la wauaji ambao wanafanya kazi chafu mahala mbalimbali duniani wamekutana pamoja kutengeneza nchi hapo.
Aiseh hatari sana,unaweza ukatuwekea takwimu kutoka kwenye chanzo Cha kuaminika juu ya hivi viungo
 
Ongea utavyoongea lakini facts hazibadiliki.

Israel ishafahamika ni Tech Power house na Startup nation.

Marekani ndio ulingo wa dunia kiuchumi the land of opputunities na watu wenye asili ya wayahudi pamoja na uchache wao ndio wanaongoza kwa kutoa mabilionea wengi.

Hata waarabu wanaoishi Israel hawataki kurudi huko Gaza, Jordan, Syria, Egypt, Iran, n,k. huko hata wanawake hawaruhusiwi kuendesha magari.
Katika teknolijia CHINA,JAPAN,INDIA NA KOREA ZITAENDELEA KUWA JUU ONDOA MAWAZO YA ISRAEL HAPO.
Hao waarabu unaosemea wewe umetaja mataifa yaliyo na mtikisiko wa kiuchumi unaosababishwa na vita na vikwazo vya kiuchumi.
Ila kuna QATAR,KUWAIT,BAHRAIN,UAE,SAUDI ARABIA,OMAN,TURKIYE hizi nchi zote zina maisha MAZURI KULIKO ISRAEL.
KAMA UNABISHA TULINGANISHE KUANZIA GDP,TUJE PER CAPITA PIA.
 
Wikipendia: Chanzo kinachoaminika zaidi, wamarekani wayahudi ni takribani 30 % ya top 100

View attachment 2927270

Hizo royal families za uarabuni kuzihesabia kwenye utajiri ni ngumu, wanajimilikisha rasili mali za nchi kuanzia mafuta, madini, n.k. ni kama nchi na vyote vilivyomo vinakuwa mali zao.
Waarabu wana pesa mzee.
Yani usifananishe waarabu na wayahudi.
 
Twende taratibu vita vya Israel na Hamas vimeharibu mlolongo gani wa kiteknolojia hapa duniani ? tuachane kwanza na uchumi tuanze na teknolojia
 
Back
Top Bottom