Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Ila wagalatia wanakimbilia Dubai kupig picha na Qatar πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…...israel uchumi wa kupaka rangi na wazungu wenzao nchi imedumaaπŸ˜…πŸ˜…
 
Hawa kinawauma mnoo wakisikia Israel yupo hapo alipo sabab ya juhudi akili na maarifa waliyo nayo wanatamani Israel iwe taifa duni kwenye kila nyanja.
unaongea kwa mihemko kiasi ca kuanza kudanganya kitoto, hili ni jukwa la great thinkers peleka huo uongo wako kwa watoto wako mkiwa sebleni

Weka chanzo
dini umekulevya , unatafuta mahali pa kushinda wakati jamaa thread yake ipo wazi , unaumia kusoma ubora wa Israel , na huu ndo ujinga wavaa vipedo wanafundishana , FULL CHUKI HAKUNA KUELEWA WALA HAWATAKI ELEWA LOLOTE ZURI LA KAFIR


Ubora wa israeli uko hapa , kwa maneno ya magazeti yao wenyewe wayahudi , soma link hapo chini

Kwa Uchumi wa maboga inaongoza

https://blogs.timesofisrael.com/israel-is-the-gayest-country-on-earth/
 
Hiyo commitment imewasaidia nini. Israel kakaaa hapo toka 1948. Mmechukua hatua gani. Waarabu wanabaguana kimatabaka. Kuna nchi za kiarabu hazitaki wakimbizi kutoka Palestina. Kuswali swala tano na kujazana kujifunza kiarabu haisaidii. Kazanieni shule watoto wasome. Tukiseme tubishane kidini matokeo yake yatakuwa Mungu wa Wayahudi ana nguvu kuliko Mungu wa waislamu. Hii hapa chini ni video ya mtoto wa kiongozi wa Hamas akisema kuwa hata wapalestina wanabaguana wao kwa wao. πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡
 

Attachments

  • rapidsave.com_mosab_hassan_yousef_son_of_a_hamas_founder-rrwhealhdgsc1.mp4
    18.6 MB
Dah maneno ya maana kabisaa haya lakini waarab weusi kutoka mchambawima, makunduchi watabisha
 
Dah maneno ya maana kabisaa haya lakini waarab weusi kutoka mchambawima, makunduchi watabisha
Tatizo watanzania hatusafiri, Ukikutana na waaarabu wanakuambia kabisa bora western countries kuliko nchi zao. Na wengi wao waliofanikiwa kimaisha ni waislamu kimazoea. Lakini wameu-dilute uislamu na uzungu. Ndio maana wamefanikiwa ukisikiliza stori za uarabuni utashangaa. Nashangaa hawa jamaa tumewapa hadi bandari.
 
Israel wanajua matumizi sahihi ya pesa na sio Anasa
 

kwani wakristo hawabaguani ?? Tatizo lako unachanganya uislamu na uarabu wakati ni vitu viwili tofauti.

kwani unafikiri hao wakimbizi kutoka israeli wanatakiwa na wazungu wa Ulaya ??

Mungu wa waislamu na wayahudi na wakristo ni mmoja tu ni Allah , ukitaka ushahidi nitakuwekea


View: https://youtube.com/shorts/j7C36kQJrNo?si=ONyXrFY8d5I7AgH0


View: https://youtube.com/shorts/Cc1SqQDJn9E?si=8ZcpX-AquADq2SDv
 
Mimi sibishani kidini nabishana kwa facts na ukweli. Ukienda marekani na Ulaya kuna matajiri na watu wakubwa katika jamii ambao ni wahindi, waislamu na hata wachina. Hawa watu wana dini na tamaduni tofauti. Huko Uarabuni hata siku moja hauwezi kukuta mtu aiye mwarabu wa ukoo au tabaka fulani yupo juu. Mimi sijaja kubishana kidini. Tukibishana kidini wayahudi ndio taifa la Mungu maana chimbuko la Uislamu na Ukristu ni Ibrahim au Abraham. Ambaye ni myahudi kwa hiyo Mungu wa wayahudi ndiye mwenye nguvu kuliko Allah ?

Ishu ni kuamka na kutumia common reasoning ya kuelewa kwamba kuna dini inalemaza ubongo. Israel wapo wachache sana na wamezungukwa na nchi nyingi ambazo ni maadui kwao lakini bado wanaishi hapo toka 1948. Namalizia kwa kukuuliza kwa nini waaarabu wameshindwa kuwaondoa toka 1948 ? Kiufupi baada ya Marais watatu wa Tanzania Israel itafikisha miaka mia hatika ardhi ya palestine. Wapalestina sio wa kwanza kunyanganywa Jerusalem. Watumie hekima na waondoke na wakajipange jinsi ya kuichukua ardhi yao baadae. Hata hao waisraeli walikuwa hapo wakafukuzwa wakatapa tapa kwa miaka na wakajipanga na leo wanaishi hapo. Wanapizidi kukaA hapo wanazidi kupoteza vizazi. Maisha hayampendelei asiye nacho hata siku moja.
 
Kila mwaka inapewa misaada ya kijeshi yenye thaman zaidi ya $3 Bil....nenda kabadirishe kwa ela za madafu ndo utajua ni kiasi gan... Bado nika nchi kadogo sana kenye population ya 10M wakati nchi km Turkey au Iran zina watu wa kutosha hivo tegemea ajira kua changamoto...Israel ata manpower tu hawana wanaajili watu toka India uko au Philipine
 

Wewe kumbe ndiyo hamna kitu kabisa yaani eti Nabii Ibrahim alikuwa Myahudi au wewe ni mlokole masalia? Nani alikulisha matango pori kuwa Nabii Ibrahim alikuwa Myahudi? Halafu unasema Israel imebarikiwa , yaani unachanganya Jina Israel na hili Taifa la mashoga la wasioamini Mungu Israeli .
Unahitaji elimu kijana usiburuzwe na matapeli akina Gwajima na yule shoga Nabii wenu Tito
 
Kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel hakifikii hata asilimia 3 ya uchumi wake

Ni sawa na Japan kuisaidia milioni 200 Tanzania ijenge vyoo
AId to GDP ratio ni 15% sasa ukipewa kila mwaka kwa miaka 20 unadhani hautapaa kiuchumi? Kingine hako ni kanchi kadogo kama kigamboni tu kapewe matrillion na marekani kila mwaka kivipi kasikuwe? Hata Palestine ikipewa hizo pesa kila mwaka kwa miaka 20 itafika hapo!!
 
Tukibishana kidini wayahudi ndio taifa la Mungu maana chimbuko la Uislamu na Ukristu ni Ibrahim au Abraham. Ambaye ni myahudi kwa hiyo Mungu wa wayahudi ndiye mwenye nguvu kuliko Allah ?
Acha uongo Abraham alitokea Syria huko, hao wayahudi wameitwa hilo jina kutokana na Ufalme wa Judeah ulipogawanyika na ufalme wa northern Israel (Samaria). So waliobaki kusini wakaitwa Jews!! Wa huko juu wakaitwa Samaritans.

Msiwe mnapotosha historia, Abraham hakuwahi kuwa myahudi in fact alikua na watoto wa kiume 5 kwa hiyo kama alikua myahudi ina maana ismael na watoto wote aliozaa na keturah ni wayahudi? Yaani Iran ya leo ni wayahudi? Kuna watu mna reasoning ndogo sana.
 
Hao Maadui Waiozunguka Israel Ni Akina Nani Mbona sisi Hatuwajui Tunachojua Sisi Israel Imepakana Na Marekani Nje ya Mipaka Ya Israel na Ndani Wamejaa Wamarekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…