Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyerere alitaka mataifa mawili
Waislamu wanataka israel usiwepo kabisa wauliwe wote huoni ni utofauti huo
FIMBO YA ENZI HAITANDOKA KATIKA YUDA View attachment 2931394
BRAIN FORMAT NISIE TAKA KUSIKIA ISRAEL AKIKOSOLEWA MIMI NI MYAHUDI TOKA NYANDA ZA JUU KUSINI
Kayatupie mshipi uyavuwe ni mboga nzuri sanaMajini matajiri yako Baharini
Hawa kinawauma mnoo wakisikia Israel yupo hapo alipo sabab ya juhudi akili na maarifa waliyo nayo wanatamani Israel iwe taifa duni kwenye kila nyanja.
unaongea kwa mihemko kiasi ca kuanza kudanganya kitoto, hili ni jukwa la great thinkers peleka huo uongo wako kwa watoto wako mkiwa sebleni
Weka chanzo
dini umekulevya , unatafuta mahali pa kushinda wakati jamaa thread yake ipo wazi , unaumia kusoma ubora wa Israel , na huu ndo ujinga wavaa vipedo wanafundishana , FULL CHUKI HAKUNA KUELEWA WALA HAWATAKI ELEWA LOLOTE ZURI LA KAFIR
Hawawezi kuelewa watu wanazaliana kama panya. Watoto wanakazaniwa madrasa kuliko shule. Unategemea utampiga Israel ? Hao wa-Iran wenyewe wanaikimbia nchi yao. Na cha kuongeza waarabu wote wakimbizi wanakimbilia Marekani na Ulaya.
Dah maneno ya maana kabisaa haya lakini waarab weusi kutoka mchambawima, makunduchi watabishaHiyo commitment imewasaidia nini. Israel kakaaa hapo toka 1948. Mmechukua hatua gani. Waarabu wanabaguana kimatabaka. Kuna nchi za kiarabu hazitaki wakimbizi kutoka Palestina. Kuswali swala tano na kujazana kujifunza kiarabu haisaidii. Kazanieni shule watoto wasome. Tukiseme tubishane kidini matokeo yake yatakuwa Mungu wa Wayahudi ana nguvu kuliko Mungu wa waislamu. Hii hapa chini ni video ya mtoto wa kiongozi wa Hamas akisema kuwa hata wapalestina wanabaguana wao kwa wao. 👇 👇 👇 👇
Tatizo watanzania hatusafiri, Ukikutana na waaarabu wanakuambia kabisa bora western countries kuliko nchi zao. Na wengi wao waliofanikiwa kimaisha ni waislamu kimazoea. Lakini wameu-dilute uislamu na uzungu. Ndio maana wamefanikiwa ukisikiliza stori za uarabuni utashangaa. Nashangaa hawa jamaa tumewapa hadi bandari.Dah maneno ya maana kabisaa haya lakini waarab weusi kutoka mchambawima, makunduchi watabisha
Israel wanajua matumizi sahihi ya pesa na sio AnasaHizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions
Dondoo muhimu:
vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel..
Saudi Arabia ni kubwa kuzidi Israel mara 96, ina watu wengi mara 4 zaidi kuzidi Israel, ina visima vingi vya mafuta ni kuyachota tu
Saudi Arabia $876.150
Israel $520
UAE $501.354
Egypt $438.348
Iran $367
Iraq $250.070
Qatar $236.257
Kuwait $118.271
Oman $110.127
Syria $77.460
Jordan $42.609
Bahrain $41.46
Yemen $28.134
Lebanon $19.008
Palestina 5
Hiyo commitment imewasaidia nini. Israel kakaaa hapo toka 1948. Mmechukua hatua gani. Waarabu wanabaguana kimatabaka. Kuna nchi za kiarabu hazitaki wakimbizi kutoka Palestina. Kuswali swala tano na kujazana kujifunza kiarabu haisaidii. Kazanieni shule watoto wasome. Tukiseme tubishane kidini matokeo yake yatakuwa Mungu wa Wayahudi ana nguvu kuliko Mungu wa waislamu. Hii hapa chini ni video ya mtoto wa kiongozi wa Hamas akisema kuwa hata wapalestina wanabaguana wao kwa wao. 👇 👇 👇 👇
kwani wakristo hawabaguani ?? Tatizo lako unachanganya uislamu na uarabu wakati ni vitu viwili tofauti.
kwani unafikiri hao wakimbizi kutoka israeli wanatakiwa na wazungu wa Ulaya ??
Mungu wa waislamu na wayahudi na wakristo ni mmoja tu ni Allah , ukitaka ushahidi nitakuwekea
View: https://youtube.com/shorts/j7C36kQJrNo?si=ONyXrFY8d5I7AgH0
View: https://youtube.com/shorts/Cc1SqQDJn9E?si=8ZcpX-AquADq2SDv
Mungu wa waislamu na wayahudi na wakristo ni mmoja tu ni Allah , ukitaka ushahidi nitakuwekea
Thibitisha kibiblia kwamba mungu wa wakristo au wayahudi anaitwa allah, onyesha ni wapi kwenye biblia kuna neno allah
Kila mwaka inapewa misaada ya kijeshi yenye thaman zaidi ya $3 Bil....nenda kabadirishe kwa ela za madafu ndo utajua ni kiasi gan... Bado nika nchi kadogo sana kenye population ya 10M wakati nchi km Turkey au Iran zina watu wa kutosha hivo tegemea ajira kua changamoto...Israel ata manpower tu hawana wanaajili watu toka India uko au PhilipineHizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions
Dondoo muhimu:
vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel..
Saudi Arabia ni kubwa kuzidi Israel mara 96, ina watu wengi mara 4 zaidi kuzidi Israel, ina visima vingi vya mafuta ni kuyachota tu
Saudi Arabia $876.150
Israel $520
UAE $501.354
Egypt $438.348
Iran $367
Iraq $250.070
Qatar $236.257
Kuwait $118.271
Oman $110.127
Syria $77.460
Jordan $42.609
Bahrain $41.46
Yemen $28.134
Lebanon $19.008
Palestina 5
Mimi sibishani kidini nabishana kwa facts na ukweli. Ukienda marekani na Ulaya kuna matajiri na watu wakubwa katika jamii ambao ni wahindi, waislamu na hata wachina. Hawa watu wana dini na tamaduni tofauti. Huko Uarabuni hata siku moja hauwezi kukuta mtu aiye mwarabu wa ukoo au tabaka fulani yupo juu. Mimi sijaja kubishana kidini. Tukibishana kidini wayahudi ndio taifa la Mungu maana chimbuko la Uislamu na Ukristu ni Ibrahim au Abraham. Ambaye ni myahudi kwa hiyo Mungu wa wayahudi ndiye mwenye nguvu kuliko Allah ?
Ishu ni kuamka na kutumia common reasoning ya kuelewa kwamba kuna dini inalemaza ubongo. Israel wapo wachache sana na wamezungukwa na nchi nyingi ambazo ni maadui kwao lakini bado wanaishi hapo toka 1948. Namalizia kwa kukuuliza kwa nini waaarabu wameshindwa kuwaondoa toka 1948 ? Kiufupi baada ya Marais watatu wa Tanzania Israel itafikisha miaka mia hatika ardhi ya palestine. Wapalestina sio wa kwanza kunyanganywa Jerusalem. Watumie hekima na waondoke na wakajipange jinsi ya kuichukua ardhi yao baadae. Hata hao waisraeli walikuwa hapo wakafukuzwa wakatapa tapa kwa miaka na wakajipanga na leo wanaishi hapo. Wanapizidi kukaA hapo wanazidi kupoteza vizazi. Maisha hayampendelei asiye nacho hata siku moja.
View attachment 2961644
AId to GDP ratio ni 15% sasa ukipewa kila mwaka kwa miaka 20 unadhani hautapaa kiuchumi? Kingine hako ni kanchi kadogo kama kigamboni tu kapewe matrillion na marekani kila mwaka kivipi kasikuwe? Hata Palestine ikipewa hizo pesa kila mwaka kwa miaka 20 itafika hapo!!Kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel hakifikii hata asilimia 3 ya uchumi wake
Ni sawa na Japan kuisaidia milioni 200 Tanzania ijenge vyoo
Acha uongo Abraham alitokea Syria huko, hao wayahudi wameitwa hilo jina kutokana na Ufalme wa Judeah ulipogawanyika na ufalme wa northern Israel (Samaria). So waliobaki kusini wakaitwa Jews!! Wa huko juu wakaitwa Samaritans.Tukibishana kidini wayahudi ndio taifa la Mungu maana chimbuko la Uislamu na Ukristu ni Ibrahim au Abraham. Ambaye ni myahudi kwa hiyo Mungu wa wayahudi ndiye mwenye nguvu kuliko Allah ?