Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Mungu wa wayahudi ndiye mwenye nguvu kuliko Allah ?
Kingine Mungu wa wayahudi ni yupi huyo? Maana wakristo tunaamini Yesu ndiye Mungu hao wayahudi wanasema Yesu sio Mungu ni padri fulani tu..
ikimaanisha Mungu wa wayahudi na wakristo ni tofauti? Je unakiri kwamba Mungu wa wayahudi ana nguvu kuliko Mungu wa wakristo?
 
Israel wapo wachache sana na wamezungukwa na nchi nyingi ambazo ni maadui kwao lakini bado wanaishi hapo toka 1948. Namalizia kwa kukuuliza kwa nini waaarabu wameshindwa kuwaondoa toka 1948 ?
Marekani ndio sababu, ila marekani akikaa pembeni zipigwe mbona wanamfuta siku moja tu!!

Mfano Syria hapo si unaona Israel kashindwa mtoa Al Assad kisa kakutana na Mrusi na Iran ila angekua Assad vs Israel angetolewa kitambo na pengine leo Damascus ingekua sehemu ya Israel.
 
Umenijibu vizuri sana Marekani anamsaidia Israel kwa sababu top officials wa serikali ya Marekani na wafanyabiashara wakubwa wa nchi ni wayahudi. Marekani na Ulaya sio marafiki wa israel bali ni waisrael. Sijui umenipata kijana ? Wayahudi wamesha-infiltrate serikali zote za magharibi.
 
Nimesema tukibishana kidini tutaulizana kwa nini Allah anaruhusu watu wafe ? wanyang'anywe ardhi yao toka 1948 ? Ndio uniambie Je Allah ana nguvu kuliko Mungu wa wayahudi ( יהוה) ?
 
Uislamu na Ukristu ni chimbuko la uyahudi . Watu wote kwenye biblia kabla ya yesu kristu ni wayahudi. Rudi tena usome biblia vizuri na ufuatilie chimbuko la dini.
 
Watu wote kwenye biblia kwenye agano la kale ni wayahudi kasome biblia upya. Unavyotukana ndio unanipa raha. Unasema ni taifa la mashoga ndio tujiulize kwa nini Mungu hawasaidii hao wapalestina. Watu wamejipanga Yakhe. Hawakuamka na kuivamia palestina. Mimi sio mlokole mimi ni mkatoliki kindaki kindaki.
 
Umeitoa kutoka biblia yako ya QJV? Watu wote yaani hata wapalestina ni wayahudi??
 
Uislamu na Ukristu ni chimbuko la uyahudi . Watu wote kwenye biblia kabla ya yesu kristu ni wayahudi. Rudi tena usome biblia vizuri na ufuatilie chimbuko la dini.
View attachment 2962094
Acha uongo we jamaa unatuonaje sijui, Jews imetokana na Judaism watu wa Southern Kingdom. Na kama Abraham ni Jew mbona kila siku hapa mnasema Ishmael ni muarabu n.k?

Abraham alitokea Syria huko wala hana connection yoyote na wayahudi. Uyahudi unapitia huko kwa Yakobo kwenda mbele hata Esau tu sio myahudi sijui mnadanganywa makanisa gani hayo!!!

Then sio kila mtu kwenye Bible alikua myahudi mfano Ayubu, nabii Obadiah, Enoch etc hakuna myahudi hapo sijui unatoa wapi huu uongo!!
 
Huyu jamaa hajitambui kabisa eti kila mtu alikua myahudi.
 
Nitajie top official mmoja tu ambaye ni muisrael hapo serikalini US!! mnadanganyana kwenye vijiwe vya kahawa na kwenye makanisa ya manabii uchwara alafu unakuja kudanganya humu unadhani sisi ni watoto wadogo? Embicile
 
Nimesema tukibishana kidini tutaulizana kwa nini Allah anaruhusu watu wafe ? wanyang'anywe ardhi yao toka 1948 ? Ndio uniambie Je Allah ana nguvu kuliko Mungu wa wayahudi ( יהוה) ?
Hata mungu wa wayahudi kwanini aliruhusu wayahudi million 6 wachinjwe kama kuku wakati tunaambiwa ni taifa teule? Ina maana Hitler ana nguvu kuliko mumgu wa wayahudi?
 
Chimbuko la dini ya Uislamu na Ukristu ni dini gani ndugu yangu ? Labda mimi ni mjinga na sijui historia ya dini naomba unisaidie ?
 
Hata mungu wa wayahudi kwanini aliruhusu wayahudi million 6 wachinjwe kama kuku wakati tunaambiwa ni taifa teule? Ina maana Hitler ana nguvu kuliko mumgu wa wayahudi?
Ndio maana nikasema tusibishane kidini maana tukibishana kidini wapalestina wanaswali kuliko wayahudi. Lakini wanapokea kichapo daily katika ardhi yao. Tubishane kifacts nani ana mipango thabiti kuliko mwenzake ? Kati ya wapalestina na wayahudi ?
 
Chimbuko la dini ya Uislamu na Ukristu ni dini gani ndugu yangu ? Labda mimi ni mjinga na sijui historia ya dini naomba unisaidie ?

Ukristo Si dini , Hakuna mahali katika biblia imeandikwa kuwa ukristo ni dini, hilo ni jina la kupanga walilolitumia wapagani wa Antokia
 
Top officials wa Marekani wengine ambao ni Jews 👇 👇 👇

Na hapo sijakuonesha waliopo katika senate. Marekani sio rafiki wa waisrael bali ni waisraeli. Hii kauli naisema kwa sababu wanaoinfluence maamuzi ya marekani ni waisraeli waliopo katika goverment.
 
Ukristo Si dini , Hakuna mahali katika biblia imeandikwa kuwa ukristo ni dini, hilo ni jina la kupanga walilolitumia wapagani wa Antokia
Asante baba 😅😅😅😅ndio maana nasema tubishane kwa facts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…