Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Ndio ni suala la Muda ndio wapalestina waondoke na wajipange Upya. Unakazana kujilipua huku mtu ana teknolojia ukiua mmoja analipa kisasi. Halafu usilinganishe Afghanistan na Israel, Israel ina settlers ambao ni wayahudi. Huko afghanistan USA na NATO hawakuwa settlers. Wayahudi wameamua kuishi hapo Israel na kupafanya makazi ya kudumu. Hii ni tofauti na Afghanistan.USA na Nato yake ilikuwaje wakashindwa Afghanistani na ilhali wana technology na hizo drones ? ni suala la muda tu
Na ww saidiwaIsrael ni uchumi wa misaada.
kwani wa Afghanistan waliondoka baada kuja Mmarekani na Nato yake na technology na drone zao??Ndio ni suala la Muda ndio wapalestina waondoke na wajipange Upya. Unakazana kujilipua huku mtu ana teknolojia ukiua mmoja analipa kisasi.
Hauwezi kufanikiwa kwa kumshusha mtu ili wewe uwe juu, Maisha hayana formula hio. Unaweza ukafanikiwa kwa kujijenga na kujitafuta then ukiwa na nguvu unachukuwa unachotaka kuweka katika himaya yako. Napingana na hiyo video kwa kuwa wanasema wayahudi waliuwa watzu wenye akili ili wabaki wao kuwa na akili. Hii haiwezekani maana utauwa wangapi ?Kwani wewe kumbe unaamini huwezi kufanikiwa kwa kuwaangamiza wengine ??
Kwani Wamarekani na NATO wwalitaka kuishi Afghanistan ? Wakiamua wataweza na wataondoka dunia inambeba mwenye uwezo ndugu yangu. Israel ni sehemu ambayo wayahudi wameamua kuishi tofauti na Afghanistan usilinganishe ndugu yangu.kwani wa Afghanistan waliondoka baada kuja Mmarekani na Nato yake na technology na drone zao??
swali lilikuwa niHauwezi kufanikiwa kwa kumshusha mtu ili wewe uwe juu, Maisha hayana formula hio. Unaweza ukafanikiwa kwa kujijenga na kujitafuta then ukiwa na nguvu unachukuwa unachotaka kuweka katika himaya yako. Napingana na hiyo video kwa kuwa wanasema wayahudi waliuwa watzu wenye akili ili wabaki wao kuwa na akili. Hii haiwezekani maana utauwa wangapi ?
Walioamua kuishi Israeli ni wazayuni si wayahudi wote uliwasikia wayahudi wenyewe wanavyosema ?? hawa ni viongozi wa diniKwani Wamarekani na NATO wwalitaka kuishi Afghanistan ? Wakiamua wataweza na wataondoka dunia inambeba mwenye uwezo ndugu yangu. Israel ni sehemu ambayo wayahudi wameamua kuishi tofauti na Afghanistan usilinganishe ndugu yangu.
Kwamba uingereza alipokua anakoloni la Palestine akaamua kuwapa Israel ndio mnamsakazia Mungu? Acheni utapeli, Mungu huwa hasaidiwi, angetaka kuwarejesha angewapa hata nabii awapeleke sio eti wazungu wanaosupport ushoga, ukoloni na utumikishaji eti ndio wamsaidie. Kwanini mnapenda kufuru za ajabu?
Ndio, hauwezi kuwa juu kwa kuuumiza wengine lakini kufanikiwa unawezaswali lilikuwa ni
Kwani wewe kumbe unaamini huwezi kufanikiwa kwa kuwaangamiza wengine ??
Utaleta video mpaka uchoke lakini mimi naleta facts tu na ninakuelimishaWalioamua kuishi Israeli ni wazayuni si wayahudi wote uliwasikia wayahudi wenyewe wanavyosema ?? hawa ni viongozi wa dini
View: https://youtu.be/Apq0Jw1a-Ao?t=11
Hivi unaelewa huu utabiri wa Mungu anaousema kwenye Ezekiel 34:13
Nitawatoa kutoka kwa watu wa mataifa. Nitawakusanya kutoka nchi za mbali na kuwaleta katika nchi yao wenyewe maana yake nini, na umetimia lini?
Na Ezekiel 37 kwa ujumla wake na specifically 21 unaielewa?
waambie kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitawatoa Waisraeli kutoka mataifa walikokwenda; nitawakusanya toka pande zote na kuwarudisha katika nchi yao.
zitto junior unasema Yes na ndio maana wayahudi walinyanganywa hiyo neema sababu walimkataa kristo so kuzimu inawahusu. Biblia ipo clear huendi kwa Baba bila kupita kwa Yesu hakuna shortcut nyingine cha ajabu mnawaita taifa teule and all that crap
Sasa jibu hili swali zitto junior Unaposema wayahudi wamenyang'anywa neema unamaanisha nini kwamba wanapomkiri Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao na wanapoacha dhambi, makosa, na uovu na kutubu Mungu hawaokoi? au unamaanisha nini hasa?
Facts za maneno ya kichwani mwako hizo si facts , mimi nakuletea maneno ya wayahudi wenyewe kwa vinywa vyaoUtaleta video mpaka uchoke lakini mimi naleta facts tu na ninakuelimisha
Ndio, hauwezi kuwa juu kwa kuuumiza wengine lakini kufanikiwa unaweza
Kama mtu umemzidi kila kitu na ni kikwazo katika malengo yako unamweka sawa ili mipango yako iende. Hakuna mtu atakayekuja kukuonea huruma. Inabidi ujijali wewe kwanza na mipango yako. Na kama mtu amekuzidi uwezo inabidi umpishe. Sio kila vita ni ya kupigana nyingine ni za kuziacha na kuwekeza muda katika vitu vingine.Kwa hivyo unaamini unaweza kufanikiwa kwa kuwaumiza wengine ??
Bado hiyo aya uliquote haionyeshi kuwa eti wayahudi wanapotubu dhambi zao Mungu hawasamehi na kuwaokoa.Kwa hivyo maneno haya ya Bwana Yesu ni uongo
“Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lenye kuzaa matunda yake. (Kutoka Biblia ya KJV, Mathayo 21:43)”
Bado hiyo aya uliquote haionyeshi kuwa eti wayahudi wanapotubu dhambi zao Mungu hawasamehi na kuwaokoa.
na ndiyo maana maana biblia inasema
Rum 1:16
Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myunani pia.
Jagina Kuondolewa ufalme sio kuondoa upendo wa Mungu 100% kwa wayahudi kiasi ya kwamba eti wakitubu Mungu hatawaokoa, au unabisha kuwa hakujawahi kuwa na wayahudi waliomrudia Mungu na Mungu akawapokea je unabisha? au unabisha kuwa hata sasa kuna wayahudi wengi tu walokole?
Jagina Ukisoma kitabu cha ufunuo au Danieli iko wazi sana jinsi Yesu atakavyorudi kuwa mfalme wa wayahudi na dunia nzima au na hii unabisha?
Kama mtu umemzidi kila kitu na ni kikwazo katika malengo yako unamweka sawa ili mipango yako iende. Hakuna mtu atakayekuja kukuonea huruma. Inabidi ujijali wewe kwanza na mipango yako. Na kama mtu amekuzidi uwezo inabidi umpishe. Sio kila vita ni ya kupigana nyingine ni za kuziacha na kuwekeza muda katika vitu vingine.
Usilete dini katika maisha. Kuna vitu unaweza ku-apply dini na kuna vingine inabidi u-apply sheria za maisha. Hauwezi kushindana na mtu mwenye uwezo. Mimi kuonewa kipindi nikiwa sina ndio kulinifanya nijitafute. Na hadi leo nimefanikiwa kiasi lakini najua kuna watu ambao sio level zangu. Siwezi kushindana na mtu aliyenizidi uwezo. Vile vile siwezi kukubali kuonewa na mtu niliyemzidi uwezo. Kujitetea ni lazima lakini ninapogundua kuwa anayenionea amenizidi uwezo, nakubali na nampisha. Ninaenda kujipanga na kujiongezea thamani.Hivyo ndivyo Mungu aliwaamuru wayahudi wafanye ili wafanikiwe ??
umesahau maneno yako ya taifa teule ??Usilete dini katika maisha. Kuna vitu unaweza ku-apply dini na kuna vingine inabidi u-apply sheria za maisha. Hauwezi kushindana na mtu mwenye uwezo. Mimi kuonewa kipindi nikiwa sina ndio kulinifanya nijitafute. Na hadi leo nimefanikiwa kiasi lakini najua kuna watu ambao sio level zangu. Siwezi kushindana na mtu aliyenizidi uwezo. Vile vile siwezi kukubali kuonewa na mtu niliyemzidi uwezo. Kujitetea ni lazima lakini ninapogundua kuwa anayenionea amenizidi uwezo, nakubali na nampisha. Ninaenda kujipanga na kujiongezea thamani.
Naona unataka kuleta ubishi as if tupo kwenye mihadhara ya uswahilini na unaitafsiri biblia namna unavyotaka wewe na unabishia mpaka neno la Mungu. ok ndo elimu akhera inavyokuongoza hivyo bakia na msimamo wako na tafsiri zakoAya hii haisemi kuhusu kusamehewa dhambi wayahudi
“Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lenye kuzaa matunda yake. (Kutoka Biblia ya KJV, Mathayo 21:43)”
Sasa tuekee aya bwana yesu anasema kuondolewa ufalme sio kuondolewa upendo , usituletee injili yako
halafu umetuwekea aya ya paulo inayosema
Rum 1:16
Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myunani pia.
Hapo Bwana Paulo amekusudia injili ipi , kati ya hizi ??
Una mistari inayoonyesha kwamba Paulo alikuwa akihubiri Injili yake mwenyewe...
Warumi 2:16
16 Hili litatukia siku ile Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu kwa njia ya Yesu Kristo, kama Injili yangu inavyotangaza.
Warumi 16:25
Sasa atukuzwe yeye awezaye kuwathibitisha ninyi kwa Injili yangu na uhubiri wa Yesu Kristo, sawasawa na ufunuo wa ile siri iliyofichwa tangu zamani za kale;
Una mistari inayoonyesha kwamba Paulo alikuwa akihubiri Injili ya Mungu...
Warumi 15:16
16 niwe mhudumu wa Kristo Yesu kwa watu wa mataifa, mwenye wajibu wa ukuhani wa kutangaza Habari Njema ya Mungu, ili watu wa mataifa mengine wawe dhabihu inayokubalika kwa Mungu, iliyotakaswa na Roho Mtakatifu.
2 Wakorintho 11:7
7 Je, ni dhambi kwangu kujishusha ili nipate kuwainua ninyi kwa kuwahubiria Habari Njema ya Mungu bila malipo?
Una mistari inayoonyesha kwamba Paulo alikuwa akihubiri Injili ya Kristo...
1 Wakorintho 9:13
Lakini hatukutumia haki hii. Badala yake, tunavumilia chochote badala ya kuizuia Injili ya Kristo. 13 Je!
2 Wakorintho 2:12
12 Nilipokwenda Troa kuhubiri Habari Njema ya Kristo, nikaona kwamba Bwana amenifungulia mlango.
2 Wakorintho 9:13
13 Kwa sababu ya utumishi mliojionyesha wenyewe, watu watamtukuza Mungu kwa ajili ya utii unaoambatana na kukiri kwenu Injili ya Kristo, na kwa ukarimu wenu katika kushiriki pamoja nao na pamoja na watu wengine wote.
2 Wakorintho 10:14
14Hatuendi mbali sana katika kujisifu kwetu, kama ingekuwa hivyo kama hatungekuja kwenu, kwa maana tulifika kwenu kwa Habari Njema ya Kristo.
Warumi 1:9
9 Mungu, ambaye ninamtumikia kwa moyo wangu wote katika kuihubiri Habari Njema ya Mwanawe, ni shahidi wangu jinsi ninavyowakumbuka daima.
Mstari wa mwisho unaonyesha tofauti kati ya Mungu na Mwana wake (ikimaanisha Yesu).
Je, Paulo alikuwa akihubiri injili yake mwenyewe, injili ya Yesu au Injili ya Mungu?