Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

USA na Nato yake ilikuwaje wakashindwa Afghanistani na ilhali wana technology na hizo drones ? ni suala la muda tu
Ndio ni suala la Muda ndio wapalestina waondoke na wajipange Upya. Unakazana kujilipua huku mtu ana teknolojia ukiua mmoja analipa kisasi. Halafu usilinganishe Afghanistan na Israel, Israel ina settlers ambao ni wayahudi. Huko afghanistan USA na NATO hawakuwa settlers. Wayahudi wameamua kuishi hapo Israel na kupafanya makazi ya kudumu. Hii ni tofauti na Afghanistan.
 
Kwani wewe kumbe unaamini huwezi kufanikiwa kwa kuwaangamiza wengine ??
Hauwezi kufanikiwa kwa kumshusha mtu ili wewe uwe juu, Maisha hayana formula hio. Unaweza ukafanikiwa kwa kujijenga na kujitafuta then ukiwa na nguvu unachukuwa unachotaka kuweka katika himaya yako. Napingana na hiyo video kwa kuwa wanasema wayahudi waliuwa watzu wenye akili ili wabaki wao kuwa na akili. Hii haiwezekani maana utauwa wangapi ?
 
kwani wa Afghanistan waliondoka baada kuja Mmarekani na Nato yake na technology na drone zao??
Kwani Wamarekani na NATO wwalitaka kuishi Afghanistan ? Wakiamua wataweza na wataondoka dunia inambeba mwenye uwezo ndugu yangu. Israel ni sehemu ambayo wayahudi wameamua kuishi tofauti na Afghanistan usilinganishe ndugu yangu.
 
Hauwezi kufanikiwa kwa kumshusha mtu ili wewe uwe juu, Maisha hayana formula hio. Unaweza ukafanikiwa kwa kujijenga na kujitafuta then ukiwa na nguvu unachukuwa unachotaka kuweka katika himaya yako. Napingana na hiyo video kwa kuwa wanasema wayahudi waliuwa watzu wenye akili ili wabaki wao kuwa na akili. Hii haiwezekani maana utauwa wangapi ?
swali lilikuwa ni

Kwani wewe kumbe unaamini huwezi kufanikiwa kwa kuwaangamiza wengine ??
 
Kwani Wamarekani na NATO wwalitaka kuishi Afghanistan ? Wakiamua wataweza na wataondoka dunia inambeba mwenye uwezo ndugu yangu. Israel ni sehemu ambayo wayahudi wameamua kuishi tofauti na Afghanistan usilinganishe ndugu yangu.
Walioamua kuishi Israeli ni wazayuni si wayahudi wote uliwasikia wayahudi wenyewe wanavyosema ?? hawa ni viongozi wa dini

View: https://youtu.be/Apq0Jw1a-Ao?t=11
 
Kwamba uingereza alipokua anakoloni la Palestine akaamua kuwapa Israel ndio mnamsakazia Mungu? Acheni utapeli, Mungu huwa hasaidiwi, angetaka kuwarejesha angewapa hata nabii awapeleke sio eti wazungu wanaosupport ushoga, ukoloni na utumikishaji eti ndio wamsaidie. Kwanini mnapenda kufuru za ajabu?

Hivi unaelewa huu utabiri wa Mungu anaousema kwenye Ezekiel 34:13
Nitawatoa kutoka kwa watu wa mataifa. Nitawakusanya kutoka nchi za mbali na kuwaleta katika nchi yao wenyewe maana yake nini, na umetimia lini?

Na Ezekiel 37 kwa ujumla wake na specifically 21 unaielewa?
waambie kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitawatoa Waisraeli kutoka mataifa walikokwenda; nitawakusanya toka pande zote na kuwarudisha katika nchi yao.

zitto junior unasema Yes na ndio maana wayahudi walinyanganywa hiyo neema sababu walimkataa kristo so kuzimu inawahusu. Biblia ipo clear huendi kwa Baba bila kupita kwa Yesu hakuna shortcut nyingine cha ajabu mnawaita taifa teule and all that crap

Sasa jibu hili swali zitto junior Unaposema wayahudi wamenyang'anywa neema unamaanisha nini kwamba wanapomkiri Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao na wanapoacha dhambi, makosa, na uovu na kutubu Mungu hawaokoi? au unamaanisha nini hasa?
 
Kwa hivyo maneno haya ya Bwana Yesu ni uongo

“Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lenye kuzaa matunda yake. (Kutoka Biblia ya KJV, Mathayo 21:43)”

Tuje kwenye aya hii

Mimi ndimi njia, ... mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi."

Inaonekana kuna idadi kubwa ya Wakristo ambao wanaposoma mstari huu wanafasiri kwamba Yesu ni Mungu na kwamba hakuna mtu atakayeingia mbinguni isipokuwa tu kumwabudu Yesu. Hata hivyo, kwa kuwa unaletwa mara nyingi sana katika mijadala inaonekana kuwa inafaa kuujadili hapa.

Mtazamo maarufu kwamba mstari huu unadai kwamba Yesu anahitaji ibada yetu ili tupate wokovu sio maana iliyokusudiwa ya mstari huu. Walakini, ili tuweze kutambua ukweli huu ni muhimu kusoma muktadha wake.

Ikiwa tungeunga mkono kidogo na kusoma tangu mwanzo wa sura hii, tungeona kwamba kabla tu ya Yesu kusema maneno haya, alisema;

"Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; kwa maana naenda kuwaandalia kasri (makao)."

Yohana 14:2

Taarifa hapo juu iko wazi kabisa. Inalingana kabisa na mafundisho ya Qur'an.

Katika Kurani tunaelezwa jinsi Mungu alivyotuma wajumbe kwa makabila na mataifa yote.

Tunaambiwa kwamba ujumbe wa msingi ambao ulitolewa kwa kila kabila hili ulikuwa ni uleule:

"Mwabuduni Mungu peke yake na msimuabudu yeyote mwingine."

Baadhi ya maelezo ya pili ya ibada hii yanaweza kutofautiana kutoka kabila moja au taifa hadi lingine kulingana na hekima isiyo na kikomo ya Mungu na ujuzi wake juu ya watu hao. Iliwekwa wazi kabisa kwa kila nabii kwamba hapaswi kuhubiri kwa mtu yeyote ila watu wake mwenyewe.

Zaidi ya hayo iliwekwa wazi kwa watu wa mjumbe huyu kwamba kama watamtii watapata ujira wa Mwenyezi Mungu.
Mungu hangewawajibisha kwa yale ambayo kabila au taifa lingine lilifanya au halikufanya.

Hili lingeendelea mpaka mjumbe wa mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad (SAW) angetumwa kwa wanadamu wote kama muhuri wa Mitume.

Hiki ndicho hasa anachosema Yesu hapa. Alisema kuwa katika jumba la Mungu kuna vyumba "nyingi". Yesu alitumwa kuongoza kwa mmoja tu wao.

Vyumba vingine visivyohesabika vilitengwa kwa ajili ya makabila na mataifa mengine ikiwa wangewatii wajumbe wao.

Hata hivyo, Yesu alikuwa akiwaambia wafuasi wake kwamba hawakuhitaji kuhangaikia vyumba vingine. Yeyote kutoka miongoni mwa watu wake ambaye alitaka kuingia katika chumba ambacho walikuwa wametengewa angeweza tu kufanya hivyo ikiwa wangemfuata Yesu na kutii amri yake.

Kwa hiyo Yesu alithibitisha kwamba alikuwa anaenda kuandaa "nyumba" ya kifahari na sio "nyumba zote" za "nyumba ya Baba yangu".

Zaidi ya hayo, mstari huo unasema waziwazi kwamba Yesu alikuwa “NJIA” ya kuelekea kwenye jumba la kifahari.

Hakusema kwamba yeye ndiye “MAKUSUDI” ambayo ingekuwa hivyo ikiwa angekuwa Mungu. Je, ni kitu gani kingine tungetarajia nabii wa Mungu aseme isipokuwa “Mimi ndiye ‘njia’ ya rehema ya Mungu”?

Hiyo ndiyo kazi yake. Hivyo ndivyo nabii hufanya. Ndiyo maana Mungu alimchagua kwanza; ili kuongoza kwa rehema za Mungu.

Hili kwa hakika limethibitishwa katika Yohana 10:9 ambapo Yesu anatuambia kwamba yeye ndiye “mlango” wa “malisho”. Kwa maneno mengine, yeye ndiye “nabii” anayewaongoza watu wake “mbinguni” (ona pia Yn. 12:44). Kwa mara nyingine tena, huu ni ujumbe wa Uislamu.

Hatimaye, kumbuka

"Si kila mtu aniambiaye (Yesu); Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni."

Mathayo.7:21
 
Kwa hivyo unaamini unaweza kufanikiwa kwa kuwaumiza wengine ??
Kama mtu umemzidi kila kitu na ni kikwazo katika malengo yako unamweka sawa ili mipango yako iende. Hakuna mtu atakayekuja kukuonea huruma. Inabidi ujijali wewe kwanza na mipango yako. Na kama mtu amekuzidi uwezo inabidi umpishe. Sio kila vita ni ya kupigana nyingine ni za kuziacha na kuwekeza muda katika vitu vingine.
 
Kwa hivyo maneno haya ya Bwana Yesu ni uongo

“Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lenye kuzaa matunda yake. (Kutoka Biblia ya KJV, Mathayo 21:43)”
Bado hiyo aya uliquote haionyeshi kuwa eti wayahudi wanapotubu dhambi zao Mungu hawasamehi na kuwaokoa.
na ndiyo maana maana biblia inasema

Rum 1:16​

Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myunani pia.

Jagina Kuondolewa ufalme sio kuondoa upendo wa Mungu 100% kwa wayahudi kiasi ya kwamba eti wakitubu Mungu hatawaokoa, au unabisha kuwa hakujawahi kuwa na wayahudi waliomrudia Mungu na Mungu akawapokea je unabisha? au unabisha kuwa hata sasa kuna wayahudi wengi tu walokole?

Jagina Ukisoma kitabu cha ufunuo au Danieli iko wazi sana jinsi Yesu atakavyorudi kuwa mfalme wa wayahudi na dunia nzima au na hii unabisha?
 
Aya hii haisemi kuhusu kusamehewa dhambi wayahudi

“Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lenye kuzaa matunda yake. (Kutoka Biblia ya KJV, Mathayo 21:43)”

Sasa tuekee aya bwana yesu anasema kuondolewa ufalme sio kuondolewa upendo , usituletee injili yako

halafu umetuwekea aya ya paulo inayosema

Hapo Bwana Paulo amekusudia injili ipi , kati ya hizi ??

Una mistari inayoonyesha kwamba Paulo alikuwa akihubiri Injili yake mwenyewe...

Warumi 2:16

16 Hili litatukia siku ile Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu kwa njia ya Yesu Kristo, kama Injili yangu inavyotangaza.

Warumi 16:25

Sasa atukuzwe yeye awezaye kuwathibitisha ninyi kwa Injili yangu na uhubiri wa Yesu Kristo, sawasawa na ufunuo wa ile siri iliyofichwa tangu zamani za kale;

Una mistari inayoonyesha kwamba Paulo alikuwa akihubiri Injili ya Mungu...

Warumi 15:16

16 niwe mhudumu wa Kristo Yesu kwa watu wa mataifa, mwenye wajibu wa ukuhani wa kutangaza Habari Njema ya Mungu, ili watu wa mataifa mengine wawe dhabihu inayokubalika kwa Mungu, iliyotakaswa na Roho Mtakatifu.

2 Wakorintho 11:7

7 Je, ni dhambi kwangu kujishusha ili nipate kuwainua ninyi kwa kuwahubiria Habari Njema ya Mungu bila malipo?

Una mistari inayoonyesha kwamba Paulo alikuwa akihubiri Injili ya Kristo...

1 Wakorintho 9:13

Lakini hatukutumia haki hii. Badala yake, tunavumilia chochote badala ya kuizuia Injili ya Kristo. 13 Je!

2 Wakorintho 2:12

12 Nilipokwenda Troa kuhubiri Habari Njema ya Kristo, nikaona kwamba Bwana amenifungulia mlango.

2 Wakorintho 9:13

13 Kwa sababu ya utumishi mliojionyesha wenyewe, watu watamtukuza Mungu kwa ajili ya utii unaoambatana na kukiri kwenu Injili ya Kristo, na kwa ukarimu wenu katika kushiriki pamoja nao na pamoja na watu wengine wote.

2 Wakorintho 10:14

14Hatuendi mbali sana katika kujisifu kwetu, kama ingekuwa hivyo kama hatungekuja kwenu, kwa maana tulifika kwenu kwa Habari Njema ya Kristo.

Warumi 1:9

9 Mungu, ambaye ninamtumikia kwa moyo wangu wote katika kuihubiri Habari Njema ya Mwanawe, ni shahidi wangu jinsi ninavyowakumbuka daima.

Mstari wa mwisho unaonyesha tofauti kati ya Mungu na Mwana wake (ikimaanisha Yesu).

Je, Paulo alikuwa akihubiri injili yake mwenyewe, injili ya Yesu au Injili ya Mungu?

Kama mtu umemzidi kila kitu na ni kikwazo katika malengo yako unamweka sawa ili mipango yako iende. Hakuna mtu atakayekuja kukuonea huruma. Inabidi ujijali wewe kwanza na mipango yako. Na kama mtu amekuzidi uwezo inabidi umpishe. Sio kila vita ni ya kupigana nyingine ni za kuziacha na kuwekeza muda katika vitu vingine.

Hivyo ndivyo Mungu aliwaamuru wayahudi wafanye ili wafanikiwe ??
 
Usilete dini katika maisha. Kuna vitu unaweza ku-apply dini na kuna vingine inabidi u-apply sheria za maisha. Hauwezi kushindana na mtu mwenye uwezo. Mimi kuonewa kipindi nikiwa sina ndio kulinifanya nijitafute. Na hadi leo nimefanikiwa kiasi lakini najua kuna watu ambao sio level zangu. Siwezi kushindana na mtu aliyenizidi uwezo. Vile vile siwezi kukubali kuonewa na mtu niliyemzidi uwezo. Kujitetea ni lazima lakini ninapogundua kuwa anayenionea amenizidi uwezo, nakubali na nampisha. Ninaenda kujipanga na kujiongezea thamani.
 
umesahau maneno yako ya taifa teule ??
 
Aya hii haisemi kuhusu kusamehewa dhambi wayahudi

“Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lenye kuzaa matunda yake. (Kutoka Biblia ya KJV, Mathayo 21:43)”

Sasa tuekee aya bwana yesu anasema kuondolewa ufalme sio kuondolewa upendo , usituletee injili yako

halafu umetuwekea aya ya paulo inayosema

Rum 1:16​

Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myunani pia.

Hapo Bwana Paulo amekusudia injili ipi , kati ya hizi ??

Una mistari inayoonyesha kwamba Paulo alikuwa akihubiri Injili yake mwenyewe...

Warumi 2:16

16 Hili litatukia siku ile Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu kwa njia ya Yesu Kristo, kama Injili yangu inavyotangaza.

Warumi 16:25

Sasa atukuzwe yeye awezaye kuwathibitisha ninyi kwa Injili yangu na uhubiri wa Yesu Kristo, sawasawa na ufunuo wa ile siri iliyofichwa tangu zamani za kale;

Una mistari inayoonyesha kwamba Paulo alikuwa akihubiri Injili ya Mungu...

Warumi 15:16

16 niwe mhudumu wa Kristo Yesu kwa watu wa mataifa, mwenye wajibu wa ukuhani wa kutangaza Habari Njema ya Mungu, ili watu wa mataifa mengine wawe dhabihu inayokubalika kwa Mungu, iliyotakaswa na Roho Mtakatifu.

2 Wakorintho 11:7

7 Je, ni dhambi kwangu kujishusha ili nipate kuwainua ninyi kwa kuwahubiria Habari Njema ya Mungu bila malipo?

Una mistari inayoonyesha kwamba Paulo alikuwa akihubiri Injili ya Kristo...

1 Wakorintho 9:13

Lakini hatukutumia haki hii. Badala yake, tunavumilia chochote badala ya kuizuia Injili ya Kristo. 13 Je!

2 Wakorintho 2:12

12 Nilipokwenda Troa kuhubiri Habari Njema ya Kristo, nikaona kwamba Bwana amenifungulia mlango.

2 Wakorintho 9:13

13 Kwa sababu ya utumishi mliojionyesha wenyewe, watu watamtukuza Mungu kwa ajili ya utii unaoambatana na kukiri kwenu Injili ya Kristo, na kwa ukarimu wenu katika kushiriki pamoja nao na pamoja na watu wengine wote.

2 Wakorintho 10:14

14Hatuendi mbali sana katika kujisifu kwetu, kama ingekuwa hivyo kama hatungekuja kwenu, kwa maana tulifika kwenu kwa Habari Njema ya Kristo.

Warumi 1:9

9 Mungu, ambaye ninamtumikia kwa moyo wangu wote katika kuihubiri Habari Njema ya Mwanawe, ni shahidi wangu jinsi ninavyowakumbuka daima.

Mstari wa mwisho unaonyesha tofauti kati ya Mungu na Mwana wake (ikimaanisha Yesu).

Je, Paulo alikuwa akihubiri injili yake mwenyewe, injili ya Yesu au Injili ya Mungu?
Naona unataka kuleta ubishi as if tupo kwenye mihadhara ya uswahilini na unaitafsiri biblia namna unavyotaka wewe na unabishia mpaka neno la Mungu. ok ndo elimu akhera inavyokuongoza hivyo bakia na msimamo wako na tafsiri zako
 
Back
Top Bottom