Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Wapi nimesema Israel ni taifa teule ? Mimi nimesema kuwa hawa wahýahudi wamejipanga na huu mpango wa kuanzisha Israel ni wa miaka mingi. Haujaaanza kwa pupa bali kwa malengo ya muda mrefu. Nimekaa na wayahudi wao wenyewe wanasema wanatumia juhudi na hela nyingi kuishi hapo Israel. Na sio kwamba wameteuliwa kuwa hapo bali wamepambana na kila siku wanajizatiti kuishi hapo. Naomba uniletee post ambayo nimesema Israel ni Taifa teule.umesahau maneno yako ya taifa teule ??
Wapi nimesema Israel ni taifa teule ? Mimi nimesema kuwa hawa wahýahudi wamejipanga na huu mpango wa kuanzisha Israel ni wa miaka mingi. Haujaaanza kwa pupa bali kwa malengo ya muda mrefu. Nimekaa na wayahudi wao wenyewe wanasema wanatumia juhudi na hela nyingi kuishi hapo Israel. Na sio kwamba wameteuliwa kuwa hapo bali wamepambana na kila siku wanajizatiti kuishi hapo. Naomba uniletee post ambayo nimesema Israel ni Taifa teule.
Mimi sijatafsiri hata aya moja hapo , nimeleta nukuu kanma zilivyo , usinipakazie bure , anayetafsiri ni wewe bila kutuwekea ushahidi wa ayaNaona unataka kuleta ubishi as if tupo kwenye mihadhara ya uswahilini na unaitafsiri biblia namna unavyotaka wewe na unabishia mpaka neno la Mungu. ok ndo elimu akhera inavyokuongoza hivyo bakia na msimamo wako na tafsiri zako
😂 😂 😂 😂 Aje kuishi bongo kwani yeye Muhindi au Mwarabu ? Hawa wayahudi wana umoja kuliko unavyofikiria. Nipo Ingolstadt Ujerumani nimeenda katika masynagogue yao Munich. Wamejipanga sana sio kitoto tatizo media za dunia hazituambii ukweli. Tunaona forbes wanaweka mabilionea kuwa watu mmoja mmoja. Nakuhakikishia kufanikiwa kunahitaji team ya watu makini. Maana Jews wanafanikiwa kwa sababu wanapiga hatua kwa pamoja. Wamiliki wa Google, Facebook, Oracle na Chanel wote ni wayahudi. Hawa wote walipata support kutoka kwa wayahudi wenzao. Media zinatudanganya watu baki kuwa tunaweza kufanikiwa independently. Jua kwamba kuna limit ya kufanikiwa independently.Ukitaka kuwa bilionea wa dola ni lazima uwe na a loyal team inayoku-support. Na cha kuongezea waarabu wanabaguana kimatabaka hawana umoja. Unaweza kuwa na hela lakini mwenye Idea nzuri ni mtu ambaye hana hela. Hapo ndio wayahudi walipotuzidi.wacha kujipakazia , mimi nimesoma nao miaka karibu 6 mwisho kuna mmoja alitaka nimfanyie mpango aje kuishi bongo , halafu unatuletea yale yale ya kuteuliwa kuja hapo , nani aliyewateuwa ??wewe?
😂 😂 😂 😂 Aje kuishi bongo kwani yeye Muhindi au Mwarabu ? Hawa wayahudi wana umoja kuliko unavyofikiria. Nipo Ingolstadt Ujerumani nimeenda katika masynagogue yao Munich. Wamejipanga sana sio kitoto tatizo media za dunia hazituambii ukweli. Tunaona forbes wanaweka mabilionea kuwa watu mmoja mmoja. Nakuhakikishia kufanikiwa kunahitaji team ya watu makini. Maana Jews wanafanikiwa kwa sababu wanapiga hatua kwa pamoja. Wamiliki wa Google, Facebook, Oracle na Chanel wote ni wayahudi. Hawa wote walipata support kutoka kwa wayahudi wenzao. Media zinatudanganya watu baki kuwa tunaweza kufanikiwa independently. Jua kwamba kuna limit ya kufanikiwa independently.Ukitaka kuwa bilionea wa dola ni lazima uwe na a loyal team inayoku-support. Na cha kuongezea waarabu wanabaguana kimatabaka hawana umoja. Unaweza kuwa na hela lakini mwenye Idea nzuri ni mtu ambaye hana hela. Hapo ndio wayahudi walipotuzidi.
Naona unataka kuleta ubishi as if tupo kwenye mihadhara ya uswahilini na unaitafsiri biblia namna unavyotaka wewe na unabishia mpaka neno la Mungu. ok ndo elimu akhera inavyokuongoza hivyo bakia na msimamo wako na tafsiri zako
Thibitisha hapa ni wapi na kanisa lipi liliambiwa lisijihusishe na riba?Kuna Documentary niliona katika tv ya Documentary kuhusu wayahudi wa Italy kabla vita kuu ya kwanza waliwekwa kwenye mji mmoja nimeusahau na hawakuruhudiwa kutoka . Huko wakaanza kukamuana kwa kukopeshana pesa kwa riba matokeo yake waliporuhusiwa kutoka wakaiambikiza Europe nzima kwa hii biashara na kuwafanyia wakristo kuanzia kwenda kinyume na maamrisho ya kanisa ya kutokujihusisha na riba.
Hujui kitu.Kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel hakifikii hata asilimia 3 ya uchumi wake
Ni sawa na Japan kuisaidia milioni 200 Tanzania ijenge vyoo
We jamaa sikuelewi kabisa una nia gani maana unasema eti kujihusisha riba imekatazwa na Kanisa. Hivi utaishije bila pesa ? Maana kila kitu ni pesa.Kuna Documentary niliona katika tv ya Documentary kuhusu wayahudi wa Italy kabla vita kuu ya kwanza waliwekwa kwenye mji mmoja nimeusahau na hawakuruhudiwa kutoka . Huko wakaanza kukamuana kwa kukopeshana pesa kwa riba matokeo yake waliporuhusiwa kutoka wakaiambikiza Europe nzima kwa hii biashara na kuwafanyia wakristo kuanzia kwenda kinyume na maamrisho ya kanisa ya kutokujihusisha na riba.
Hapo kabla ya kujiingiza kwenye riba watu waliishije?We jamaa sikuelewi kabisa una nia gani maana unasema eti kujihusisha riba imekatazwa na Kanisa. Hivi utaishije bila pesa ? Maana kila kitu ni pesa.
Pia ungejiuliza vipi nchi zote za Africa wapitwe na kampuni moja tu ya US, apple.Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions
Dondoo muhimu:
vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel..
Saudi Arabia ni kubwa kuzidi Israel mara 96, ina watu wengi mara 4 zaidi kuzidi Israel, ina visima vingi vya mafuta ni kuyachota tu
Saudi Arabia $876.150
Israel $520
UAE $501.354
Egypt $438.348
Iran $367
Iraq $250.070
Qatar $236.257
Kuwait $118.271
Oman $110.127
Syria $77.460
Jordan $42.609
Bahrain $41.46
Yemen $28.134
Lebanon $19.008
Palestina 5
Thibitisha hapa ni wapi na kanisa lipi liliambiwa lisijihusishe na riba?
Mwanangu maisha ni kupambana na kujitafuta ningekuwa na fikra zako kama serikali ingekuwa imenisaidia kufika hapa nilipo. Mimi nipo nao bega kwa bega na wayahudi kuna mengi nimejifunza kupitia wao. Mitandao na Media zinatudanganya kuhusu kufanikiwa kujua ukweli inabidi uishi na watu wakufunze.Hapo kabla ya kujiingiza kwenye riba watu waliishije?
Wayahudi wanaomba almas, dhahabu nk Afrika huku wakisababisha mauwaji , kila mahali huku wakiwasaidia wauwaji
US ni wezi tu wameisambaratisha Kongo na Sasa wameambiwa waondoke kule west Africa hawataki kuondokaPia ungejiuliza vipi nchi zote za Africa wapitwe na kampuni moja tu ya US, apple.
Kwa nilichosoma humo ni kwamba mikopo inaruhisiwa lakini haitakiwi iwe kausha damu yenye riba kubwa kupitiliza.Soma hapo utamjua historia ya riba
US hawajawahi kukoloni nchi yoyote AfricaUS ni wezi tu wameisambaratisha Kongo na Sasa wameambiwa waondoke kule west Africa hawataki kuondoka
Nakubali hawajawahi kuwa na koloni Afrika, lakini hivi sasa wameingoa tokea wakati wa Obama na hawataki kuondoka. Jana kulikuwa na maandamano Niger ya kuwataka waondoke. Waliambiwa zamani waondoke lakini hawataki kuondokaUS hawajawahi kukoloni nchi yoyote Africa
US hawajawahi kukoloni nchi yoyote Africa
Mimi nakubalina na wewe US ukija kwenye maslahi yao hawana huruma na mtu ni wanyama hili hakuna ubishi lakini bado wao ni bora sana kuliko nchi za ulaya. Nchi za ulaya wamenufaika sana na uporaji wa bara la Africa mpaka leo hii France wapo tu, wanajuwa wao kuwepo pale ni sababu ya ujambazi wao Africa. Lakini wakulaumu ni sisi wenyewe.Nakubali hawajawahi kuwa na koloni Afrika, lakini hivi sasa wameingoa tokea wakati wa Obama na hawataki kuondoka. Jana kulikuwa na maandamano Niger ya kuwataka waondoke. Waliambiwa zamani waondoke lakini hawataki kuondoka