Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Nyerere alitaka mataifa mawili
Waislamu wanataka israel usiwepo kabisa wauliwe wote huoni ni utofauti huo
Acha uongo kujifanya unajua kila kitu na kuwasema Waislam, muasisi wa Hamas unajua alichokuwa anasema kuhusu Israel?
 
Nyerere alitaka mataifa mawili
Waislamu wanataka israel usiwepo kabisa wauliwe wote huoni ni utofauti huo
Una ushahidi gani kama waislamu wanataka Israel ipotee?
Kama wanataka Israel wapotee wangewapokea 1947 na kuwasamehe wayahudi wafanya mapinduzi 1946 Jerusalem??
 
Alisema anataka kuwaua israel wote au wabadilishe dini wawe waislamu
Hivi unajua kama ndani ya Palestina/Gaza kuna wakristo na kuna makanisa??
Mfano wa mkristo wa kipalestina alouliwa na jeshi la Israel kimakusudi 2022 ni Sheriin Abu Akleh ni Mu Anglican huyu mama alipigwa risasi ya kichwa akiwa katika majukumu ya uandishi wa habari Gaza na jeshi la Israel KIMAKUSUDI.
Kama Hamas walitaka waisrael wote wasilimu ndani ya Gaza Anglicans wametokea wapi??
 
Ukweli yaami unalazimisha kujifariji
Hivi kwanini waislamu mnapenda kulazimisha mambo

Furaha yako ni watu wakussuport israel ni taifa maskini unaakili za kitoto
Israel ni taifa maskini haya waislamu furahini na mchekeleee
Kwann usiumie kwa nchi yako kuitwa masikini ila uumie kwa Israel kuitwa masikini ya kwamba nchi Israel ina thamani kuliko nchi yako ? hichi tu kinakuonesha jinsi ulivyo mpumbavu.
Kuna tajiri anayepokea misaada hapa duniani ?
Huna akili.
 
Ewe muislamu wa Tanzania kwanini unaichukia sana israel
 
Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions

Dondoo muhimu:

vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel..

Saudi Arabia ni kubwa kuzidi Israel mara 96, ina watu wengi mara 4 zaidi kuzidi Israel, ina visima vingi vya mafuta ni kuyachota tu

Saudi Arabia $876.150
Israel $520
UAE $501.354
Egypt $438.348
Iran $367
Iraq $250.070
Qatar $236.257
Kuwait $118.271
Oman $110.127
Syria $77.460
Jordan $42.609
Bahrain $41.46
Yemen $28.134
Lebanon $19.008
Palestina 5
Sasa ww upo jamii forum vizuri tafiti Kwanzaa, Israel =marekan =israel =NATO=israel=EU=israel=marekani=israel . Sasa hii collaboration mwarabu ataweza
 
Hapo ushaona Saudi Arabia kampita Israel.
Tukija kwa Iran naweza sema ni taifa lenye nguvu za kiuchumi kuliko taifa lolote hapo middle east kwasababu licha ya vikwazo vya kiuchumi toka 1980 mpaka leo hii ni middle upper income country.
Jiulize kama Iran isingewekewa vikwazo ingekua wapi.
Israel ni nchi inayolelewa na haina uchumi imara kama udaivyo.
Vita ya miezi mitano tu imeiangusha kiuchumi Israel kuliko udhaniavyo.
Zaidi irani ni brain sio hata rasilimali congo kishasa inarasilimali nyingi kuliko ulaya yote tatizo BRAIN HAKUNA
 
FIMBO YA ENZI HAITANDOKA KATIKA YUDA
images%20(64).jpg

BRAIN FORMAT NISIE TAKA KUSIKIA ISRAEL AKIKOSOLEWA MIMI NI MYAHUDI TOKA NYANDA ZA JUU KUSINI
 
Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions

Dondoo muhimu:

vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel..

Saudi Arabia ni kubwa kuzidi Israel mara 96, ina watu wengi mara 4 zaidi kuzidi Israel, ina visima vingi vya mafuta ni kuyachota tu

Saudi Arabia $876.150
Israel $520
UAE $501.354
Egypt $438.348
Iran $367
Iraq $250.070
Qatar $236.257
Kuwait $118.271
Oman $110.127
Syria $77.460
Jordan $42.609
Bahrain $41.46
Yemen $28.134
Lebanon $19.008
Palestina 5
Hapo ndio utajua umuhimu wa shule. Maana huyo Saudia amewakaribisha wamarekani waweke kambi tano za kijeshi nchini mwake. Cha kuongezea waaarabu wanabaguana kimatabaka wao kwa wao hawana umoja.
 
Attachments

  • rapidsave.com_mosab_hassan_yousef_son_of_a_hamas_founder-rrwhealhdgsc1.mp4
    18.6 MB
Ok kwa kuwa umekaza mshipa wacha nikutwange na facts.

Israel ni nchi inayoongoza kwa density ya startups za teknolojia ya kilimo, Nchi ndogo lakini kuna starups 400 zimeminyana humo

Netafim ni kampuni ya Israel inaongoza duniani kwa teknolojia za umwagiliaji na kilimo cha kidijitali

Katika ukanda wa nchi za kiarabu, Israel pekee ndio nchi iliyomo kwenye orodha kibao za nchi duniani kiujumla zinazofanya vizuri kwenye teknolojia za kilimo, hata Iran hasogelei.
Hawawezi kuelewa watu wanazaliana kama panya. Watoto wanakazaniwa madrasa kuliko shule. Unategemea utampiga Israel ? Hao wa-Iran wenyewe wanaikimbia nchi yao. Na cha kuongeza waarabu wote wakimbizi wanakimbilia Marekani na Ulaya.
 
Back
Top Bottom