Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

wacha kujipakazia , mimi nimesoma nao miaka karibu 6 mwisho kuna mmoja alitaka nimfanyie mpango aje kuishi bongo , halafu unatuletea yale yale ya kuteuliwa kuja hapo , nani aliyewateuwa ??wewe?
Ungempa dada yako amuoe aje bongo au kama alikuwa demu si ungeoa Mkuu uje naye huku.
 
Kayatupie mshipi uyavuwe ni mboga nzuri sana
Utajiri wa majini hauna tija. Angalia misaada ya wapalestina kule Gaza inatoka ulaya na marekani, majini yana kula bata wala hayana habari na watu wake.
Wakisha vimbewa utasikia makafir tu wale.
 
Kwa nilichosoma humo ni kwamba mikopo inaruhisiwa lakini haitakiwi iwe kausha damu yenye riba kubwa kupitiliza.

Mfano mtu kaja kukopa milioni 1 ni vema umtoze riba ya asilimia 10 maana hio pesa inaweza kupoteza thamani mda ataorudisha, wewe umejibana usifanye mambo yako umpe yeye atatue shida zake, n.k. Lakini sio sawa kumchaji asilimia 50 ama zaidi.

Pia si vema kumkopa lwa riba mtu ambae unajua wazi hawezi kulipa hio riba, mfano mtu anaenda kutumia pesa kulisha familia yake ni tofauti na anaeenda kuwekeza.

View: https://youtu.be/bfxnVQ27wY0?si=P9hE9oNqu4d5agd3
 
Utajiri wa majini hauna tija. Angalia misaada ya wapalestina kule Gaza inatoka ulaya na marekani, majini yana kula bata wala hayana habari na watu wake.
Wakisha vimbewa utasikia makafir tu wale.
Śasa kwa nini hawataki kuiwachia ?
 
Wayahudi ni mashoga jee mbona unatutia wasiwasi kwa kusema upp nao bega kwa bega?

Mimi nipo nao bega kwa bega kwa sababu nachukia umasikini. Naomba pia nikuambia hapa Ujerumani ninapofanyia kazi boss wangu nae ni shoga. Mimi Mchaga nimetumwa hela najua nini maana ya hela. Nauogopa umasikini kuliko kitu chochote kile. Niko Tayari kufanya kazi na mtu yeyote sijali dini, kabila aua mitazamo. Ili mradi unanisaidia kutimiza malengo yangu. Ningekuwa napewa hela bure bure ningechagua wa kufanya nae kazi. SIna hela ya kuchagua wa kufanya nae kazi. Nikifika hio stage ya kuwa na hizi hela ndio nitaweza kuchagua wa kufanya naye kazi. Na sina uhakika nitafika maana inflation imekuwa juu sana.
 
Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions

Dondoo muhimu:

vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel..

Saudi Arabia ni kubwa kuzidi Israel mara 96, ina watu wengi mara 4 zaidi kuzidi Israel, ina visima vingi vya mafuta ni kuyachota tu

Saudi Arabia $876.150
Israel $520
UAE $501.354
Egypt $438.348
Iran $367
Iraq $250.070
Qatar $236.257
Kuwait $118.271
Oman $110.127
Syria $77.460
Jordan $42.609
Bahrain $41.46
Yemen $28.134
Lebanon $19.008
Palestina 5
Maadui wepi walioizingira Israel?
 
Umejuaje kama ni shoga mkuu, usikute una msingizia tuu.

Haya mkuu hizo ni nchi tajiri duniani kwa data za 2024, tunaona kuna nchi mbili za kiarabu top ten ila israel haipo

Unaongea nini wewe, unadhani nchi kuwa na uchumi mkubwa hadi iwe na mafuta tu ? hakuna kitu chenye thamani hii dunia kama akili.

Israel ndio nchi inayoongozea kwa teknolojia ya kilimo duniani, kampuni inayoongoza kwa hizi ishu ni netvic ya Israel

Israel inaongoza kwa kuwa na start ups nyingi zinazofanikiwa duniani kiasi kwamba inaitwa the startup nation.

israel inaongoza kwa teknolojia ya maji safi ya bombani wanayouzia hadi nchi za waarabu

kwa uchache tu
Sahihi
 
Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions

Dondoo muhimu:

vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel..

Saudi Arabia ni kubwa kuzidi Israel mara 96, ina watu wengi mara 4 zaidi kuzidi Israel, ina visima vingi vya mafuta ni kuyachota tu

Saudi Arabia $876.150
Israel $520
UAE $501.354
Egypt $438.348
Iran $367
Iraq $250.070
Qatar $236.257
Kuwait $118.271
Oman $110.127
Syria $77.460
Jordan $42.609
Bahrain $41.46
Yemen $28.134
Lebanon $19.008
Palestina 5
Na wewe ukaamini izo maneno
 
Ona ulivyo na akili finyu.
Kwani nimesema ni mafuta pekee yanamtajirisha Saudi Arabia??
Na kwani uongo kuwa Saudia amempita Israel kiuchumi??
Iran ina nyenzo nyingi za kiuchumi mafuta,madini,bidhaa za viwandani mbalimbali,silaha pia anauza n.k n.k.
Hayo yote unayotaja kuhusu technology ni bleeeh bleeeh bleeeh za kumfanya Israel aonekane yuko vizuri.
Mataifa yaliyo mbele kiteknolojia ya aina zozote yanajulikana.
Nenda China kuna TEKNOLOJIA BORA YA KILIMO AMBAYO ISRAEL HATA ROBO HAIFIKII.
Misri tu ilianza teknolojia ya kilimo cha jangwani kwa hekari ndogo kuzalisha mazao mengi way back hata Israel hajalifikiria hilo.
Kwa hiyo misri anamzidi Israel Kwenye teknolojia ya kilimo?
 
Waache waedelee kukesha na swala tano wanadhani maisha ni marahisi
 
Attachments

  • m2-res_720p.mp4
    2.5 MB
Back
Top Bottom