KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Seven hundred years ago; and then, what happened?Hii ndio ilikuwa Africa hakuna cha beberu wala nyani
View attachment 1748521
Na Mjerumani nia yake ilikuwa kuijenga Tanganyika ifanane na Ujerumani. Walianza na mji wa Tanga. Waingereza hawakuipenda Tanga kwani iliwakimbusha utawala wa Mjerumani.Mkuu at least mjerumani ametuachia reli,madaraja n.k,muingereza alipoingia alichota tu mali zetu,hamna alichotujengea yule selfish
Wewe waongelea kiujumla.Ukiona mtu anatumia sana neno 'mabaleberu', uwe na mashaka naye sasa juu ya uelewa wake kuhusiana develipment na civilization dynamics za Dunia.
Sidhani kama kuna content kwenye hii mada inayopnekana inastahili kujadiliwa na great thinkers.
Imekaa kama ndoto isiyoeleweka imeanzia wapi na inashia wapi. Haina hata source wala analysis yoyote. Ni hadirhi ya kufikirika.
ECONOMY ECONOMICS
10 Countries With The Most Natural Resources
By
CRAIG ANTHONY
Updated Jun 25, 2019
TABLE OF CONTENTS
CLOSE
10. Australia
9. The DRC
8. Venezuela
7. The United States
6. Brazil
5. Russia
4. India
3. Canada
2: Saudi Arabia
1: China
Natural resources or commodities are the raw inputs used to manufacture and produce all of the products in the world. These resources are found in the earth including those extracted from the earth and those that have yet to be extracted. They grow naturally without any help from humans. Commodities are either renewable or nonrenewable. Renewable resources are those whose supply is infinite—such as solar power—while nonrenewable ones have a limited supply and can no longer be used once the supply is exhausted like
Tanzania na Angola are not even among the top 10.
Mabeberu wote tunao ushirikiano lakini wa kutoaminiana kwenye masuala fulani.Nitajie beberu mmoja tu ambaye Tanzania haina ushirika naye na ambaye tunapaswa kutokuwa na uhusiano naye kwa ubaya alionao. Taja beberu mmoja tu tafadhali
Mkuu 'eliakeem', kwa kusoma tu kichwa cha habari ya andiko hilo, tayari nimekwishatambua ni habari ya aina ambazo kikawaida huwa sizipi uzito sana.
Lakini nakuahidi, nitatafuta muda niisome hiyo habari, baada ya hapo ntakupa mrejesho juu yake.
Hata hiyo mikataba tukipewa tuisome yachosha hivyohivyo na ndo twaishia kusaini bila kusoma hadi mwisho na kuelewa.
Je, wakti ule awamu ya 3 na 4 si kuna mikataba ambayo ilibidi watu waende London na miji mingine ambako ndiko walisaini au umeamua kusahau?Acha uongo wewe! Mikataba yote ya maliasili za nchi inafichwa hata Wabunge hawaioni. Kwanini unaandika uongo kiasi hiki? MABEBERU waliwahi kuingia nchini na majeshi yao ili kutupora rasilimali hizo? Jibu ni kwamba tuna Viongozi Wapumbavu, wezi na mafisadi ambao wakishikishwa kitu basi maslahi ya Taifa hawayajali kabisa.
Wabunge mwaka 2000 walikuja juu ili kutaka kuiona mikataba ya dhahabu au wangekwamisha bajeti yote. Mkapa alifunga safari na kufanya kikao cha siri na Wabunge wa maccm ambao nao walikuwa wamegoma kupitisha bajeti bila kuona mkataba. Baada ya kikao cha siri Wabunge wa maccm wakawageuka Chadema ná kupiga ukelele wao wa ndiyooooooo. Acha kuwa muongo kiasi hiki.
Ndugu yangu hiyo habari umeiokota wapi. Tanzania katila miaka ya karibuni kwenye uzalishaji dhahabu imeshuka sana.Tanzania kwa sasa ni ya pili Afrika kwa kuzalisha dhahabu pekee baada ya Afrika Kusini.
Wafahamu hilo?
Seven hundred years ago; and then, what happened?
Surely I have come across something like this before. Why didn't it hit me hard as it has done now?
We should read more of this!
Je, wakti ule awamu ya 3 na 4 si kuna mikataba ambayo ilibidi watu waende London na miji mingine ambako ndiko walisaini au umeamua kusahau?
Nilikuwa namaanisha reserve ya dhahabu na si uzalishajiNdugu yangu hiyo habari umeiokota wapi. Tanzania katila miaka ya karibuni kwenye uzalishaji dhahabu imeshuka sana.
Wazalishaji wakubwa wa dhahabu Afrika:
1. Ghana
2. South Africa
3. Sudan
4. Mali
5. Burkina Faso
From Ghana to Burkina Faso we profile the leading gold producers across the African continent.
Ghana – 142.4 tonnes. ...
South Africa – 118.2 tonnes. ...
Sudan – 76.6 tonnes. ...
Mali – 71.1 tonnes. ...
Burkina Faso – 62 tonnes.
28 Aug 2020

Home - NS Energy › ...
Top five gold mining countries of Africa from Ghana to Burkina Faso
Wakati wa uongozi wa awamu ya 5, Tanzania imeanguka kwenye ukuaji wa sekta zote za uchumi. Bahati mbaya Watanzania wengi hawaujui ukweli huu.
Hizi nchi hazikupigi wala kukutisha ila hukuanzia mbali sana.Sasa kwenda huko ni kuruhusu Wabunge kuiona mikataba au MABEBERU waliwapiga na kuwatisha hao walioenda ili wakubali kusaini mikataba ambayo haina maslahi kwa Taifa? Acha KUKURUPUKA na kuandika uongo. Viongozi mafisadi na majizi na Bunge DHAIFU ndiyo chanzo cha huo upumbavu.
Hizi nchi hazikupigi wala kukutisha ila hukuanzia mbali sana.
Hapa Kibondo na Kasulu zinahusika, sio kwa dongo lile jekundu.Kiwango cha elimu waliyokuwanayo wakati wanatutawala kilikua ni cha juu sana kulinganisha na uelewa wetu wa mambo. Wakiona udongo tu wanafahamu madini yanayopatikana katika udongo ule.
Kuna siku mmoja nilimjonyesha picha ya Tanzania sehemu yenye udongo mwekundu. Aliniambia chini ya hii ardhi kuna copper nyingi sana.
Wanakaa juu ya utajiriHapa Kibondo na Kasulu zinahusika, sio kwa dingo lile jekundu.
Mistari hii mitatu inaeleweka sana, na ina maana haswa.Mimi nimeongela specifics yaani maeneo husika, logistics na future economic war zone.
Lengo la hawa wakubwa ni kupunguza influence ya mmojawao yaani China kwa Afrika.
Hii ni geopolitics sasa tumeingia new era.
Afu ww umezidi matusi sana hapa jamvini, alafu hunaga mambo ya maana ni upumbavu tu na kulobulobu kwenye hojaUnaonekana ni mzuri wa kusoma vitabu vya kijasusi, ana kuangalia filamu za kijasusi. Sasa ukipandwa na hizo hisia ndio unatengeneza habari za kufikirika kama hizi. Toka wakoloni wameondoka katika nchi hii, ni lini hao mabeberu wamewahi kurudi kuchukua rasilimali zetu kwa njia za kijasusi, bila kuingia mkataba na hawa hawa viongozi wetu wezi wa kura? Acha story za kwenye vijiwe vya wachovu, huenda kuna mahali huko mtaani huwa unawapigia hizi story, na wanakuona unajua mambo kumbe ni muhuni tu.
"Tunaweza kufanya mengi sana kama tutaamua kwa uadilifu na kufuata sheria madhubuti"And a massive library [emoji432]
What went wrong?
That’s the question
Mkuu watu wanaanini kuwa wazungu wanatubania vingi ila ukweli ujinga wa baadhi ya viongozi na wanaopenda kujimilikisha mali bila kuangalia maslahi ya Taifa ndio tatizo
Tunaweza kufanya mengi sana kama tutaamua kwa uadilifu na kufuata sheria madhubuti
Mwizi wa kuku anapewa adhabu kali ila anaeiba billions na kuibaka katiba anatamba