Nchi za mabeberu wana Ramani zinazoonyesha maliasili ilipo Tanzania na nchi nyingine mbili. Wao wanaamini walitukabidhi tuwatunzie lakini si zetu

Nchi za mabeberu wana Ramani zinazoonyesha maliasili ilipo Tanzania na nchi nyingine mbili. Wao wanaamini walitukabidhi tuwatunzie lakini si zetu

Mabeberu wote tunao ushirikiano lakini wa kutoaminiana kwenye masuala fulani.

Hii ni kwasababu tunapokea misaada yao na wakti huohuo twazungumza vingine kuonyesha ukigeugeu wetu.

Ndo maana nchi zote za kibeberu hutazama ni kiongozi yupi awafaa wao kwa ushirikiano na asiwe hardliner au asie na chembechembe za kijamaa.

Kiongozi wa aina hiyo hatakiwi na mabeberu.

Siwezi taja nchi moja moja kwani nchi hizi zina foreign policy ambazo hazitofautiani sana.

Nchi za kibeberu ni zote huitwa imperialist powers.
Ni ujinga na kutupotezea muda kuendelea kulalama, mabeberu, mabeberu. Mkiambiwa tajeni hadharani angalau beberu moja tu mnajificha chumbani Lumumba.
 
Nyie acheni utoto, mabeberu mabeberu wamewahi kuja na bunduki hapa kumpora mtu madini? Si mnawaita wenyewe. Sheria ya madini 1997 wametunga wao? Mbona Nyerere aliye yaacha huko chini hawakumfanya kitu njaa zenu mnaingia mikataba mibovu halafu mnalia Lia. Wanawashangaa mjue?
Umeona eeee! MaCCM majinga kweli. Hata ukiwaomba wakutajie beberu mmoja tu ambaye hatuna shirika naye hawataji.
 
Back
Top Bottom