Nchi za Magharibi zimemtumia Putin barua ya onyo kwa mara ya kwanza

Ila mim silaumu upande wowote coz hii vita ni baina ya mataifa yenye nguvu kijeshi, kiuchumi, kitekinolojia n.k
Akili kubwa lazima itumike kupigana, ukiingia kichwa kichws unaumbuka
 
Adithi za kutunga nyingiii - ni wapi mataifa ya magharibi waliwahi kutangazia Dunia kwamba wamempa onyo Putin, wapi?? Eti maghara yake yote ya silaha yamelipuliwa nchini Ukraine - uongo mtupu, tunacho jua sisi kuna base moja iliwahi kupata madhara lakini hakuna ushahidi wowote wa kudhibitisha kwamba jeshi la Ukraine lilinahusika moja kwa mojar - adithi nyingi ni za kuchonga tu, na kukuzwa na media za magharibi na Ukraine Pravda - tukio moja la kizembe wamelikuza as if wamekwisha shinda vita - hata akili za kutambua kwa is still a thermonuclear super power, akili hizo Jeshi la Senselessky na like mind wenzake hawana kabisa, hisipo kuwa Merikani na baadhi ya Viongozi wa EU ndio usema kwenye vyombo vya habari mara kwa mara kwamba hawataki kujiingiza kwenye mgogoro wa Ukraine na Urusi - hao ndio wenye akili timamu ya kutambuwa kiundani uwezo WA jeshi la Urusi likuhamua kufanya kweli-nyie endeleeni na kuwabeza beza kutokana na matukio madogo dogo tu ndani ya Ukraine.
 
Yani we tukikufuatilia vyema hata sec pengine hujamaliza, Bado stress za mpenzi na Familia yenu duni. Mara unaamka na uchovu wa kiakili unaanza kuleta Uzi kama huu jitafakari Mkuu. Hujui lolote Kaa kimya.
 
Nyie vp?Rais wa taifa kubwa kama Russia Unadhani ulinzi wake ni WA mchezo mchezo!Unaijua bajeti ya kumlinda Biden Kwa siku wewe?
Muhoji msafara wa Biden anapokuwa safarini nchi za nje uongozwa na magari mangapi - je, ndege za mizigo za kijeshi za kubeba magari na mizingo huwa ni ngapi. Je, safari za nje za Putin amewahi kuona mbwebwe kama hizo - hivi sasa at least ulinzi wa Putin imehimarishwa kutokana na vita ya Ukraine, lakini hata siku moja hauwezi kufikia wa Biden.
 
Wanajitia uendawazimu ila wanajua haya yote!
 
Mmemzidi hadi Shigongo Kwa kutinga hadithi ... Hongereni Kwa Ushindi mkubwa sanaaa mnaopata ProNatoMashogaz
 
Nyie vp?Rais wa taifa kubwa kama Russia Unadhani ulinzi wake ni WA mchezo mchezo!Unaijua bajeti ya kumlinda Biden Kwa siku wewe?
Hata kama anahitaji ulinzi mkali, kinachoonekana hapa ni kuwa mashaka yamezidi
 
Hata kama anahitaji ulinzi mkali, kinachoonekana hapa ni kuwa mashaka yamezidi
Hamjui kuwa Russia Yuko vitani na maadui zake ni NATO Kwa ujumla?
Kama wanausalama wameona ni muhimu sana kuchukua tahadhari zote,wewe mwenzangu na Mimi wa huko Tandale unataka kusemaje?
Au mnataka wapuuze Ili mje siku Moja kushangilia Putin akidhurika na kuwaona Wana usalama wazembe???
 
Yani me huwa sijui kuna vita mpaka niingie kwenye internet,
Mpaka nawaza hii ni vita ya kisaikolojia au πŸ€”
 
Je tuendelee kusubiri kifo Cha Bwana Putin kama ulivyotuambia awali au kifo kimesitishwa.?
Naomba utupe kabisa tarehe,siku,saa na aina ya kifo ili tuweke kwenye kumbukumbu.
Maana kwa ule utabiri wako tunaona Putin Hafi.
Zaidi ya hapo umeibuka kua mtu mjanjamjanja sana na mwongo usie na haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…