Nchi za Mashariki ya kati huwenda zisisimame Milele wakimruhusu Marekani kutumia Anga zao

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
Marekani siku zote inalinda Maslahi yake kwa nguvu Kubwa katika kujilinda huku ameigawanya Dunia katika angle za kijographia ili kuhisisha mawasiliano na kuendelea kumiliki uchumi wa Dunia na kuendelea kujitanua pitia ardhi za wengine Kupitia sera za kimataifa.

Katika ugawaji huu wa Maeneo kijiographia imezibainisha baadhi ya nchi kuwa maadui,na baadhi ya Maeneo Korofi imeweka Direct Control.

Mashariki ya Kati imepewa Israeli lengo ni kuvuruga kabisa upatanisho wa hili eneo la kijographia,hivyo hata katika hesabu zake imeamua kuwagawa kabisa kwa kutaka kushambulia jambo litawafanya Irani kuchukua hatua dhidi ya Ardhi zilizokuwa karibu naye,kitu ambacho kitaathiri Maendeleo ya kiuchumi pamoja kuzua uadui wa wenyewe kwa wenyewee jambo ambalo linaendq kutimiza Malengo yake ya Kimkakati (Make Israel Great Again).

Ikitokea waarabu wamepambana na Irani ikashindwa Huwenda Kuna Mfumo mpya wa kuongoza ukawekwa badala wa ule wa Kimataifa kushindwa.

Nawasisha
 
Waarabu wote vibaraka wa U.S,U.K na Israel kuanzia hapo Mecca mpaka Doha hawa hata bila Iran kushindwa japo sio muarabu kama wenzake ila hao wenzake waarabu wamekwisha jisalimisha siku nyingi tu kwa Greater Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…