Salama humu🙂
Anaejua uchumi was hizi nchi za ecowas atujuze jamani au gdp.
Ninavyojua Mimi nchi za afrika zote ni maskini na wananchi wake wengi wanaishi maisha ya kifukara sana has vijijini.
Ni nchi ombaomba na zinaishi kwa kutegemea misaada kutoka nchi zilizoendelea.
Sasa kinachoniajabisha Ni huu uwezo was hizi nchi maskini kuweza kutoa jeshi na kuligharamia kwenda kupigana na nchi nyingine wakati kwenye nchi zao Kuna wanachi maskini na huduma mbovu za kijamii. Hivi ni nani alitoa wazo hili kwa hizi nchi na walifikiria nini?
Ninavyojua mimi ni wababe tu wa West ndio wana ubavu wa kufanya hivi wakiongozwa na yule mbabe mkuu.Sasa hivi vinchi vya afrika na vyenyewe vinaiga huu ubavu vinautoa wapi?
Kwanza ni kwenda kupoteza bure maisha ya wanajeshi wenye familia zao huko nyumbani kwa kutaka kujitutumua kwenda kuvamia nchi nyingine.
Au kwa sababu wameona kanchi ka Niger Ni kadogodogo ndio wanataka kujipa kichwa.
Mi nilitegemea kwanza hizi nchi zishughulike na matatizo ya nchi zao angalau wananchi wao wawe na uchumi mzuri ndio waanze kuhangaika na mambo mengine .
Vita huwa haitabiriki jamani unawezapelekwa mputamputa na kanchi kadogo tu ukatoka nduki.
Sasa sijui hawa ecowas hili wazo la kutumia jeshi nani alilipendekeza kwenye umoja wao.Ninavyojua Mimi majeshi ya afrika kazi yake ni kulinda amani tu na sio kupigana.