Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Wanaojiitaga kisiwa cha amani wapi?Kwa mujibu wa Africa fact zone hii hapa ndio Orodha ya nchi zenye Amani ya moyo
Africa's Most Peaceful Countries1. Mauritius2. Botswana 3. Sierra Leone 4. Ghana 5. Senegal 6. Madagascar 7. Namibia 8. The Gambia 9. Zambia 10. Liberia 11. Malawi 12. Tunisia 13. Equatorial Guinea 14. Angola 15. Morocco Source: 2023 Global Peace Index.
Hasa ukikosa mwanaume wa kukuoaTanzania hatuna amani tunaishi kwa mawazo sana nchi zenyefuraha hazikosi mahitaji muhimu kama sukari ,maji na umeme
Uoga sio amani. Watu huwa wanachanganya majoga na amani.Geita na Njombe wanatuharibia sana
???????????Kwa mujibu wa Africa fact zone hii hapa ndio Orodha ya nchi zenye Amani ya moyo
Africa's Most Peaceful Countries
1. Mauritius
2. Botswana
3. Sierra Leone
4. Ghana
5. Senegal
6. Madagascar
7. Namibia
8. The Gambia
9. Zambia
10. Liberia
11. Malawi
12. Tunisia
13. Equatorial Guinea
14. Angola
15. Morocco
Source: 2023 Global Peace Index.
Waitoe wapi?πππππNchi zenye Amani ni Tanzania na Rwanda Zambia Malawi.