Nchi zenye uchumi imara Africa 2023

Nchi zenye uchumi imara Africa 2023

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Top 10 largest economies on the continent 2023

1)- Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ - $477 Billion

2)- Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ - $477 Billion

3)- South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ- $406 Billion

4)- Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ - $192 Billion

5)- Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ - $134 Billion

6)- Ethiopia ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น - $127 Billion

7)- Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช - $113 Billion

8)- Angola ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด - $107 Billion

9)- Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ- $75.71 Billion

10)- Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ - $72.84 Billion

Source: Trading Economics
 
si lazima. Misri kwa mfano, makampuni makubwa yanayoilisha nchi na kuuingiza kipato cha maana ni makapuni ya jeshi. tatizo kubwa kwa tz ni ccm na sera zake za kipuuzi za kulindana na kuvimbisha matumbo yao tu
Kwahiyo hii nchi wakipewa CHADEMA itakuwa mukide?
 
si lazima. Misri kwa mfano, makampuni makubwa yanayoilisha nchi na kuuingiza kipato cha maana ni makapuni ya jeshi. tatizo kubwa kwa tz ni ccm na sera zake za kipuuzi za kulindana na kuvimbisha matumbo yao tu
Hilo ni jeshi la misri.
How about jeshi la TZ.
Je ni kiasi gani cha fedha unachojua JWTZ wanachukua kama bajeti.
Kwanini waTZ wanaona jeshini kwa sasa ni kama neema na ukifanikiwa kuingia tu umeula wewe na ukoo wako.
Ukijibu maswali hayo basi utanielewa kwanini nimesema privatization ya hali ya juu.
 
maswali yako yote umejijibu wewe mwenyewe katika mstari wa nne. kwamba jeshini kuna pesa ya kutosha (neema kama ulivyoiita), kwa nini sasa jeshi lisijikite katika uzalishaji mali? limekalia kuajiri na kupandishana vyeo tu
 
Jeshini pesa ipo ila unajua kazi yake.
Pesa hizo ni mafao mzee watu wanajilipa pesheni kabla ya kuzeeka.
Ok my point sio kuanzisha mjadala wa matumizi ya pesa za jeshi.
But nadhani ni wakati wa kuiondoa serikali ya sasa madarakani lakini hata tukiitoa ni nani atakaye kaa akatuongoza katika uelekeo sahihi au ndo tutakua tumeruka mkojo na kukanyaga mavi.
 
si lazima. Misri kwa mfano, makampuni makubwa yanayoilisha nchi na kuuingiza kipato cha maana ni makapuni ya jeshi. tatizo kubwa kwa tz ni ccm na sera zake za kipuuzi za kulindana na kuvimbisha matumbo yao tu
Ni kweli kabisa. Miradi ya kimkakati kama ule wa bandari tuwape vijana wa JKT. Hizo automated cranes na mifumo ya tehama inunuliwe na kufungwa na JWTZ. Tasisi ambazo zina poor performance ziendeshwe kijeshi jeshi.
 
Here is the List of top 10 Largest Economies on African Continent with Tanzania standing at number 9 with other fellow giants.

1. Nigeria
2. Egypt
3. South Africa
4. Algeria
5. Morocco
6. Ethiopia
7. Kenya
8. Angola
9. Tanzania
10. Ghana.

My Take
Chini ya Rais Samia Kila rekodi itawekwa na kuvunjwa.

Ikumbukwe WB ilitabiri Uchumi wa Tanzania kufikia $85 bilion mwaka huu wa 2023.
 
Una uhakika na ulichoandika?

Nigeria thamani ya sarafu yake imeshuka kwa zaidi ya asilimi 50 kutoka 6.0-3.0 kwa Mabadilisho na Tsh
Currency haiusiani na uchumi

GDP (ready to use product or services) na forex wapi na wapi
 
Ni kweli kabisa. Miradi ya kimkakati kama ule wa bandari tuwape vijana wa JKT. Hizo automated cranes na mifumo ya tehama inunuliwe na kufungwa na JWTZ. Tasisi ambazo zina poor performance ziendeshwe kijeshi jeshi.
Hii ndio yenyewe sababu tumewaamini kama wazalendo namba moja
 
Back
Top Bottom