ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Top 10 largest economies on the continent 2023
1)- Nigeria 🇳🇬 - $477 Billion
2)- Egypt 🇪🇬 - $477 Billion
3)- South Africa 🇿🇦- $406 Billion
4)- Algeria 🇩🇿 - $192 Billion
5)- Morocco 🇲🇦 - $134 Billion
6)- Ethiopia 🇪🇹 - $127 Billion
7)- Kenya 🇰🇪 - $113 Billion
8)- Angola 🇦🇴 - $107 Billion
9)- Tanzania 🇹🇿- $75.71 Billion
10)- Ghana 🇬🇭 - $72.84 Billion
Source: Trading Economics
Hizo ni takwimu za 2022 sio 2023 ambazo WB ndio walisema tutafika 85blnTanzania ni 85b
JPM alizivunja kwa sababu tulikuwa tunaliwa. Ni afadhali kulipa hizo gharama za kuivunja kuliko kuendelea kuliwa.Hizi kesi hii mikataba aliivunja JPM. Mtu tuliyekosea sana kumpa Urais
Sera hatari ni sera za ujamaa ambazo ndio mindset za watu wengi hapa Tanzania matokeo yake ni umaskini uliotopea.si lazima. Misri kwa mfano, makampuni makubwa yanayoilisha nchi na kuuingiza kipato cha maana ni makapuni ya jeshi. tatizo kubwa kwa tz ni ccm na sera zake za kipuuzi za kulindana na kuvimbisha matumbo yao tu
Unaliwaje acha ujinga wako wewe mjamaa..JPM alizivunja kwa sababu tulikuwa tunaliwa. Ni afadhali kulipa hizo gharama za kuivunja kuliko kuendelea kuliwa.
Tuprivatize serikali yenyewe tutafikaTuna safari ndefu sana na ili tufike pale juu basi privatization ya maana inabidi ifanyike
Here is the List of top 10 Largest Economies on African Continent with Tanzania standing at number 9 with other fellow giants.
1. Nigeria
2. Egypt
3. South Africa
4. Algeria
5. Morocco
6. Ethiopia
7. Kenya
8. Angola
9. Tanzania
10. Ghana.
My Take
Chini ya Rais Samia Kila rekodi itawekwa na kuvunjwa.
Ikumbukwe WB ilitabiri Uchumi wa Tanzania kufikia $85 bilion mwaka huu wa 2023.
Wajamaa sio watuTUSHUKURU SANA MUNGU,ANGEKUWEPO HAYATI MAGUFULI TUNGEKUWA WA 35 AFRICA,HAKIKA MUNGU NI MWEMA NA TAIFA LINASONGA MBELE,NAAMINI BAADA YA MIAKA 3,TANZANIA ITAKUWA KWENYE TOP 5.
Uchumi mkubwa sio uchumi imara.Top 10 largest economies on the continent 2023
1)- Nigeria 🇳🇬 - $477 Billion
2)- Egypt 🇪🇬 - $477 Billion
3)- South Africa 🇿🇦- $406 Billion
4)- Algeria 🇩🇿 - $192 Billion
5)- Morocco 🇲🇦 - $134 Billion
6)- Ethiopia 🇪🇹 - $127 Billion
7)- Kenya 🇰🇪 - $113 Billion
8)- Angola 🇦🇴 - $107 Billion
9)- Tanzania 🇹🇿- $75.71 Billion
10)- Ghana 🇬🇭 - $72.84 Billion
Source: Trading Economics
Unaliwaje acha ujinga wako wewe mjamaa..
Yule mjamaa na Uchumi wapi na wapi zaidi ya propaganda na vitisho?
Ona kazi nzuri hii ya Rais Samia ambayo ilimshinda Mwendazake wako
View attachment 2698655View attachment 2698656
Unajua gharama ya huo mradi au ukisikia neno flyover unachanganyikiwa?Sasa hivyo vinalingana na Fly over ya pale Ubungo, tanzanite bridge ya salender, stendi ya bus ya pale Mbezi, njia ya barabara kumi kimara hadi kibaha? Achilia mbali SGR ya umeme, JNHPP na kadhalika.
GDP haipimi welfare Bali Ukubwa wa Uchumi wa Nchi husika.Welfare Iko determined na HDI ambayo inatumia per Capita income against population.Kwa hio tumeizidi hadi Libya na Tunisia!!! Sasa najiuliza kweli Maisha yetu kuanzia kula yetu, elimu, matibabu nk tumewazidi Tunisia na Libya
GDP/Population ndio inaamua hayo malalamiko YakoKwamba Nigeria inaizidi SA...Hawa wachumi hawa.Hatuskii watu wakizamia kwenda Nigeria au Egypt kutafuta fursa za maisha na biashara..lkn kutwa kuchwa tunaona wanigeria na waafrika wengine wanamiminika SA...Viwanda pia SA kina mtu anajua jinsi walivyo na nini wanafanya...miji yao inatoa taswira ya maendeleo ya kiuchumi waliyonayo.
Hawa Nigeria na Egypt wana nini cha ziada??
Nigeria hawana fursa nyingi kwasababu ya overpopulation, Ila mafuta ya waingizia kipato kikubwa zaidiKwamba Nigeria inaizidi SA...Hawa wachumi hawa.Hatuskii watu wakizamia kwenda Nigeria au Egypt kutafuta fursa za maisha na biashara..lkn kutwa kuchwa tunaona wanigeria na waafrika wengine wanamiminika SA...Viwanda pia SA kina mtu anajua jinsi walivyo na nini wanafanya...miji yao inatoa taswira ya maendeleo ya kiuchumi waliyonayo.
Hawa Nigeria na Egypt wana nini cha ziada??